Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

MRADI WA UBORESHAJI USALAMA WA MILKI ZA ARDHI WACHANGIA ONGEZEKO LA WANAWAKE KUMILIKI ARDHI NCHINI

Written by mzalendo

Mratibu Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) Bw. Joseph Shewiyo akifungua kikao kazi cha Asasi za kiraia kujadili utekelezaji wa mradi huo Januari 16, 2024 jijini Dodoma.

Mtaalamu wa masuala ya Maendeleo ya Jamii kutoka Benki ya Dunia Bw. Nicholas Soikan akisisitiza kuwa asasi za kiraia zina mchango mkubwa katika Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) na kuchangia kuinua uchumi wa mtu binafsi, familia, jamii na taifa kwa ujumla ili kufikia malengo ya mradi huo.

Na Eleuteri Mangi WANMM

Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) unaotekelezwa na Serikali kwa kushirikiana na Benki ya Dunia umeongeza idadi ya wanawake wanaomiliki ardhi nchini kutoka asilimia 25 hadi 35 hatua inayosaidia kuinua kiuchumi wao na taifa kwa ujumla.

Kauli hiyo imetolewa na Mratibu Mradi LTIP Bw. Joseph Shewiyo unaotekelezwa chini ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakati akifungua kikao kazi cha Asasi za kiraia kujadili utekelezaji wa mradi huo Januari 16, 2024 jijini Dodoma.

“Mna jukumu kubwa, mnapaswa kuongeza wigo katika kutekeleza majukumu yenu kufanikisha kutoa hati milki za kimila ili kuinua uchumi wa wananchi, mna mchango mkubwa kwa ongezeko la wanawake wanaomiliki ardhi kutoka asilimia 25 hadi 35, mkafanye kazi yenu kwa weledi msiharibu ndoa za watu” amesema Bw. Shewiyo.

Mradi huo unaotekelezwa na Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kushirikiana na Benki ya Dunia unalenga kuimarisha mifumo ya utawala wa ardhi, kuongeza usalama wa milki za ardhi kwa wanaume na wanawake na hivyo kukuza uwekezaji wa ardhi nchini.

Majukumu yanayotekelezwa katika mradi huo ni pamoja na kuongeza usalama wa milki za ardhi kwa kupanga, kupima na kumilikisha wananchi ardhi mijini na vijijini, kuboresha mifumo ya usimamizi wa taarifa za ardhi nchini, kuimarisha usimamizi na ufuatiliaji wa mradi.

Aidha, Asasi za Kiraia katika mradi huo zinajukumu la kutoa elimu kwa Jamii kuhusiana na mradi, kutoa elimu kwa makundi maalumu kama vile wanawake, wazee, watoto na watu wenye ulemavu kuhusu haki zao katika umiliki wa ardhi, kushiriki katika utatuzi wa migogoro ya Ardhi, kutoa ushauri wa namna ya kushugulikiamasuala ya Jamii na mazingira yanahusu mradi, kushirikiana na timu ya mradi katika kuandaa taarifa za utekelezaji wa mradi hususani taarifa za masuala ya mazingira na jamii.

Kwa upande wake Mtaalamu Mkuu wa masuala ya Maendeleo ya Jamii kutoka Benki ya Dunia Bw. Nicholas Soikan amesema kikao kazi hicho kina umuhimu mkubwa kwa Uchumi wa mtu binafsi, familia, jamii na taifa kwa ujumla ili kufikia malengo ya mradi huo.

Bw. Soikan ameongeza kuwa Benki ya Dunia kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania wanatambua umuhimu wa asasi za kiraia na zina nafasi ya kutatua migogoro ya ardhi inayojitokeza wanapoishi ili kutekeleza mradi kwa ufanisi.

Kwa upande wao washiriki wa kikao kazi hicho kutoka asasi za kiraia Bw. Jesta Twimanye kutoka Kahama na Bi Mwajumbe kutoka Mbinga wamesema kuwa wamesema wanaendelea kushirikiana na Serikali katika mradi huo na wanaendelea kutoa elimu juu ya haki ya umiliki wa ardhi kwa wanawake na wanaume na mradi umesaidia kuongeza usalama wa ardhi kwa kutoa hati ya umiliki wa ardhi kwa mume na mke.

Kikao kazi hicho kimehudhuriwa na wahamasishaji kutoka asasi za kiraia kutoka Chalinze, Shinyanga, Kahama, Nzega, Kigoma, Mufindi, Mbinga, Songwe, Tanganyika, Maswa, Chamwino, Kaliua, Uyuwi, Nkasi, Chunya, Ludewa, Mkakete, Mvomero, Kilwa, Ruangwa, Kilindi, Mkinga, Handeni, Ngara, Rorya, Iramba na Songea.

About the author

mzalendo