Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

jojobet

holiganbet

jojobet

sahabet giriş

betsat

https://www.newstrendline.com/

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

piabellacasino

setrabet

jojobet giriş

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino giriş

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

mavibet

piabellacasino giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

mavibet giriş

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

mariobet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

maxwin

sahabet

dinamobet giriş

casibom

vaycasino

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

vaycasino

ultrabet

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betzula

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

betixir

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

casibom

royalbet

casibom

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

maxwin

betsat

sahabet

vdcasino

jojobet

casibom

matbet

Jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

betwoon

giftcardmall/mygift

royalbet

pashagaming

artemisbet

sahabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

Featured Kitaifa

MFUKO WA JIMBO WAWEKA ALAMA – MTATURU

Written by Alex Sonna

MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu amewaongoza wajumbe wa mfuko wa jimbo kukagua miradi iliyotengewa na kutekelezwa kwa fedha za mfuko huo kiasi cha Sh 67,498,970 kwa mwaka 2022/2023.

Ziara hiyo ameifanya baada ya kumaliza kikao cha kupokea na kujadili maombi ya fedha za mfuko huo.

Akizungumza mara baada ya ziara hiyo Mbunge Mtaturu amesema Kamati ya mfuko wa Jimbo baada ya kutembelea miradi hiyo imeridhishwa na hatua ya utekelezaji.

“Kamati hii iligawa miradi katika Kata 13 na tumepata nafasi ya kuitembelea baadhi ya miradi hiyo na tumeridhika na hatua ya utekelezaji iliyofikiwa,na tukiendelea na kasi hii tutakuwa tumeunga mkono kwa kiasi kikubwa dhamira ya Rais wetu mpendwa Dkt Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha wananchi wanapata maendeleo,tunafahamu Rais wetu halali kwa ajili ya watanzania,hivyo na sisi tulio chini yake tunawajibu wa kumuunga mkono kwenye jukumu hilo,”.amesema.

Mtaturu ameainisha miradi waliyotembelea kuwa ni pamoja na ujenzi wa M
Matundu ya vyoo katika shule ya Msingi Ulyampiti ambayo utekelezaji wake imetengewa Sh 2,000,000.

“Tumetembelea na kujionea ujenzi wa Zahanati Kijiji cha Ighuka iliyotengewa Sh 2,000,000 ambayo kwa sasa wamekamilisha ufungaji wa renta na Serikali Kuu imetenga Sh Milioni 50 kwa ajili ya umaliziaji ili huduma zianze kutolewa,Kamati pis imetembelea ujenzi wa vyumba viwili vya maabara ambapo walitengewa Sh Milioni 5,katika ujenzi huu tayari wameshajenga msingi na kufunga mkanda wa renta chini na sasa wanatarajia kuanza kunyanyua ukuta,”amebainisha.

Mbali na miradi hiyo amesema wametembelea pia ujenzi wa nyumba ya Mganga Zahanati ya Ujaire ambayo ilitengewa Sh Milioni 1.5 na wameshajenga boma na kufunga renta.

Aidha,wametembelea na kujionea ujenzi na
ukarabati wa madarasa ya Shule ya Msingi Ujaire ambayo ilitengewa Sh Milioni 2 na kwa sasa ukarabati na ujenzi wa maboma ya madarasa umekamilika ambapo pia serikali kuu ilipeleka Sh Milioni 41 kumalizia madarasa mawili na ofisi.

Mtaturu amewapongeza wananchi wakiongozwa na viongozi kwa kujitolea kwenye miradi hiyo na kuishawishi serikali kupeleka fedha za umaliziaji.

“Ndugu zangu niwatie moyo na kuwahimiza kuwa tuendeleze juhudi hizi tulizozianza na jitihada tulizozionyesha katika kiradi hii tuziendeleze katika miradi mingine tunayoisimamia,”amesema.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti Madiwani wa Kata za Ikungi na Lighwa wamempongeza Mbunge na Kamati yake kwa kuwatengea fedha za kusaidia miradi kwenye sekta ya elimu na afya ambayo sasa matunda yake yanaonekana kwa kuwa baadhi ya miradi imeanza kufanya kazi.

About the author

Alex Sonna