RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kuaga, baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan, alipowasili Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalum ya mlango wa Zanzibar mgeni wake Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu