Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

marsbahis

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

starzbet

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

pusulabet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

mislibet giriş

cratosroyalbet

mislibet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

jojobet

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

Featured Kitaifa

MCHENGERWA AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

Written by mzalendo

MWENYEKITI  wa Baraza la wafanyakazi ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.Jaji Dk. Eliezer Feleshi (Kushoto) akimsikiliza Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Mohamed Mchengerwa, wakati akifungua kikao cha baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Serikali linalofanyika kwa siku mbili jijini Dodoma.

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Mohamed Mchengerwa,akizungumza  leo Desemba 19,2023  wakati akifungua kikao cha baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu serikali linalofanyika kwa siku mbili jijini Dodoma.

SEHEMU ya Washiriki wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Mohamed Mchengerwa, wakati akifungua kikao cha baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Serikali kinachofanyika kwa siku mbili jijini Dodoma.

MWENYEKITI  wa Baraza la wafanyakazi ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.Jaji Dk. Eliezer Feleshi ,akizungumza wakati wa  kikao cha baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Serikali kinachofanyika kwa siku mbili jijini Dodoma.

NAIBU Mwanasheria Mkuu wa Serikali Balozi, Prof.Kennedy Gaston,akitoa salama za Baraza wakati wa  kikao cha baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Serikali kinachofanyika kwa siku mbili jijini Dodoma.

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Mohamed  Mchengerwa,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua kikao cha baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Serikali linalofanyika kwa siku mbili jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Mohamed Mchengerwa ,amewataka  watumishi wa umma nchini kuwa wazalendo linapokuja suala linalohusu maslahi ya nchi.

Waziri Mchengerwa ameyasema hayo leo Desemba 19,2023  wakati akifungua kikao cha baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa serikali kinachofanyika kwa siku mbili jijini Dodoma.

 

“Niwapongeze kwa kuwa wazalendo licha ya changamoto mnazokabiliwa nazo katika utumishi wenu hivi sasa watumishi wengi wa umma wamekuwa siyo wazelendo.

“Hata kama kuna jambo litatokea linalohusu kuumiza nchi wao wala haiwagusi, uzalendo ni jambo la msingi lazima kila mmoja wetu awe nalo moyoni”amesema Waziri Mchengerwa

Aidha Waziri  Mchengerwa,amemuelekeza Mwanasheria Mkuu wa serikali kukaa na ofisi yake ili kuandaa mpango kazi ambao utasaidia kupata suluhu ya kero mbalimbali.

“Tukae tuandae mpango mkakati ambao utasaidia kutatua changamoto hizi mlizosema kwani TAMISEMI ni ya wananchi hivyo lazima tuweke mazingira mazuri kwa wananchi kupata huduma hizi kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa serikali”amesema

Hata hivyo, Mhe.Mchengerwa amesema kuwa  tatizo la ukosefu wa vyombo vya usafiri ataifikisha kwa Rais Samia Suluhu Hassan ili kuona ni jinsi gani italifanyia kazi.

Awali Mwenyekiti wa baraza la wafanyakazi ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.Jaji Dk. Eliezer Feleshi amesema ofisi yake inakabiliwa na upungufu wa watumishi 285 hali inayochangia baadhi ya shughuli kushindwa kutekelezwa kwa ufanisi.

Dk.Feleshi amesema ,mahitaji wa watumishi kwenye ofisi yake ni 477 lakini waliopo hivi sasa ni 192 hivyo kufanya upungufu kuwa ni watumishi 285 katika maeneo mbalimbali.

“Tunaishukuru serikali kwa kutoa kibali cha kuajiri watumishi 50 katika mwaka wa fedha 2022/23 ambapo 48 walikuwa mawakili na wawili ni wataalamu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)”amesema Dk. Feleshi

Aidha Dk. Feleshi ameelezea, lengo la kikao hicho cha baraza la wafanyakazi ni kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa mpango wa bajeti.

“Pia kupima mafanikio ya mpango wa bajeti, kujadili hoja mbalimbali zitazoibuliwa na wajumbe wa baraza hili na kuzitafutia ufumbuzi”amesema

About the author

mzalendo