Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha Kamati Elekezi ya Kitaifa ya kuwekeza katika Afya na Maendeleo ya Vijana Balehe (NAIA) pamoja na Programu Jumuishi ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto(PJT- MMMAM) kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi hiyo Tarehe 19 Disemba, 2023 Jijini Dodoma.