Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

RAIS DKT SAMIA AUPONGEZA UONGOZI WA WILAYA YA KIGAMBONI KWA KUWATUMIKIA WANANCHI KWA VITENDO

Written by mzalendo
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kulia), Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Bi. Halima Bulembo (katikati), na Mbunge wa Kigamboni, Mhe. Faustine Ndugulile (kushoto), wakisikiliza ujumbe baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kumpigia Simu Dkt. Nchemba na kuzungumza na Wakazi wa Kigamboni, wakati wa hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Mjimwema, Dar es Salaam, ambapo Mhe. Rais ameipongeza Serikali ya Wilaya ya Kigamboni, kwa kutoa majiko ya gesi kwa Mama na Baba Lishe ili wayatumie kupikia kwa kutumia nishati safi, kugawa kadi za Bima kwa Baadhi ya Wazee wa Kigamboni, Makoti ya Kujilinda kwa Madereva Bodaboda (Reflectors), kukabidhi vibanda vya kujikinga mvua na jua kwa waendesha bodaboda pamoja na Vifaa Tiba vya Kujifungulia akina Mama Wajawazito.
Na Benny Mwaipaja, Kigamboni
 
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempongeza Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni mkoani Dar es Salaam, Bi. Halima Bulembo na viongozi wenzake kwa kuzipatia ufumbuzi changamoto zinazoikabili jamii katika Wilaya hiyo kwa vitendo.
 
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa pongezi hizo leo alipompigia simu Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), wakati akihutubia Wakazi wa Kigamboni katika eneo la Mji Mwema, akimwakilisha Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, katika hafla ya kupokea na kukabidhi vifaa mbalimbali kwa makundi maalum katika Wilaya ya Kigamboni.
 
Akizungumza kwa njia hiyo ya simu huku akishangiliwa na Wakazi wa Kigamboni waliohudhuria hafla hiyo iliyobeba kaulimbiu ya “Kigamboni Salama na Mama Samia”, alisema kuwa ameguswa na hatua ya uongozi wa Wilaya hiyo kuwatembelea wananchi mahali waliko, kuwasikiliza na kutatua shida zao.
 
“Nimeambiwa kwamba hapo mtatoa majiko yanayotumia gesi kwa akina mama na baba lishe, vitimwendo kwa watu wenye ulemavu, vifaa vya kujifungulia kwa akina mama, mavazi ya kuwatambulisha waendesha pikipiki bodaboda (reflactors), na vituo vya kujikinga na jua pamoja na mvua kwa ajili ya waendesha bodaboda, nimefurahishwa na hatua hiyo na ninawapongeza sana” alisema Mhe. Rais Dkt. Samia.
 
Akizungumza kwa niaba ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) alitoa pia pongezi kwa Uongozi wa Wilaya ya Kigamboni kwa kubeba kwa vitendo ajenda za Rais wa Nchi, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyedhamiria kwa dhati kuwahudumia wananchi ili wafikie maendeleo.
 
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, kupitia kwa Dkt. Nchemba aliwataka Viongozi wa Mikoa na Wilaya kote nchini, kuiga mfano wa mipango na mikakati ya Wilaya ya Kigamboni, ya kuwatembelea wananchi katika maeneo yao na kutatua shida zao badala ya kusubiri wananchi washike mabango ya malalamiko na wanapotembelewa na Viongozi Wakuu wa Nchi.
 
Akielezea namna Serikali ilivyojipambanua kuleta maendeleo ya wananchi kwa haraka, Dkt. Nchemba alisema katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita, maendeleo makubwa yameshuhudiwa ikiwemo kuimarika kwa huduma za jamii kama vile elimu, afya, maji, kilimo, mifugo, miundombinu ya barabara na mambo mengine kadha wa kadha.
 
Dkt. Nchemba, alifafanua kuwa Serikali imeongeza bajeti kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika sekta zote nchini ambapo kiwango cha fedha hizo hakijawahi kuwa kikubwa kama ilivyo sasa katika kipindi chochote kilichopita.
 
Alitolea mfano fedha za Mfuko wa Barabara Vijijini-TARURA, ambapo alisema bajeti imeongezwa kutoka shilingi bilioni 200 kwa mwaka hadi kufikia zaidi ya shilingi trilioni 1.3, na mikopo ya elimu ya juu kutoka shilingi bilioni 400 hadi kufikia shilingi trilioni 1.
 
Aidha, aliwaagiza watumishi wa umma, kuwahudumia wananchi kwa upendo katika maeneo yao ya kazi ili kuondoa manung’uniko kutoka kwa jamii.
 
“Wadau wa Sekta binafsi endeleeni kujitokeza ili kuiunga mkono Serikali ya awamu ya sita katika kutekeleza mipango, mikakati pamoja na afua za kuinua ustawi wa jamii ya Watanzania” Alisema Dkt. Nchemba.
 
Aidha, aliwataka Watumishi wanaosimamia miradi katika halmashauri zote wazingatie ubora wa miradi inayotekelezwa ili iwiane na thamani halisi ya fedha inayotolewa na Serikali kwa kuwa fedha hizo ni kodi ya wananchi, hivyo wahakikishe wananchi wanafaidika kutoka na huduma zinazotolewa kupitia kodi zao.
 
Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Bi. Halima Bulembo, alisema kuwa Uongozi wa Wilaya hiyo umetembelea kata zote za Wilaya hiyo na kusikiliza kero na mahitaji ya wananchi na kuja na mpango na mikakati ya ndani ya kutatua changamoto hizo.
 
Alisema kuwa makundi mbalimbali ya kijamii yalifikiwa katika maeneo husika ambapo ilibainika kuwa wakina baba, wanawake, vijana, na makundi maalumu yanauhitaji mkubwa wa mitaji, miundombinu ya kufanyia biashara pamoja na zana zinazoweza kuwarahisishia maisha.
 
Bi. Bulembo alisema kuwa walibaini uwepo wa vijana zaidi ya 5,470 waliojiajiri katika sekta ya usafirishaji abiria kwa njia ya bodaboda, akina baba na mamalishe zaidi ya 2,000, wazee 4895 na watu wenye ulemavu 789 wametambuliwa, ambao kwa pamoja wilaya imekuja na mpango wa kutatua kero zao kupitia kampeni ya Kigamboni Salama na Mama Samia.
 
Naye Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile, aliiomba Serikali kuifanya Kigamboni kuwa kama Dubai au Guangzhou ya China, kwa kujenga miundombinu ya kuvutia uwekezaji wa viwanda na biashara, lakini pia kwa kujenga miundombinu ya barabara.
 
Alieleza kuwa wawekezaji wengi wameonesha nia ya kuwekeza katika Wilaya ya Kigamboni lakini baadhi yao wanakwazwa na miundombinu ya barabara na kwamba Serikali ikitatua changamoto hizo, eneo hilo litakuwa kitovu cha biashara na mapato ya Serikali na hatimaye kuboreshwa kwa maisha ya watu.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (watatu kulia), akikata utepe wakati wa hafla ya kupokea na kukabidhi vifaa kwa ajili ya makundi mbalimbali, vilivyotolewa na wadau kupitia uongozi wa Wilaya ya Kigamboni kwa ajili ya makundi ya wanawake, wazee, vijana pamoja na watu wenye mahitaji maalum, alipomwakilisha Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa katika hiyo, iliyofanyika katika Uwanja wa Mjimwema, Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Bi. Halima Bulembo (wa tatu kushoto), Mbunge wa Kigamboni, Mhe. Faustine Ndugulile (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni, Bw. Erasto Kiwale (wa kwanza kushoto).

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kushoto), akiwasalimia baadhi ya Mama na Baba Lishe wa wilaya ya Kigamboni baada ya kukata utepe na kuwakabidhi majiko ya gesi ili wayatumie kupikia kwa kutumia nishati safi, wakati wa hafla ya kupokea na kukabidhi vifaa kwa ajili ya makundi mbalimbali, vilivyotolewa na wadau kupitia uongozi wa Wilaya ya Kigamboni kwa ajili ya makundi ya wanawake, wazee, vijana pamoja na watu wenye mahitaji maalum, alipomwakilisha Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa katika hafla hiyo, iliyofanyika katika Uwanja wa Mjimwema, Dar es Salaam.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kulia), Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Bi. Halima Bulembo (katikati), na Mbunge wa Kigamboni, Mhe. Faustine Ndugulile (kushoto), wakisikiliza ujumbe baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kumpigia Simu Dkt. Nchemba na kuzungumza na Wakazi wa Kigamboni, wakati wa hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Mjimwema, Dar es Salaam, ambapo Mhe. Rais ameipongeza Serikali ya Wilaya ya Kigamboni, kwa kutoa majiko ya gesi kwa Mama na Baba Lishe ili wayatumie kupikia kwa kutumia nishati safi, kugawa kadi za Bima kwa Baadhi ya Wazee wa Kigamboni, Makoti ya Kujilinda kwa Madereva Bodaboda (Reflectors), kukabidhi vibanda vya kujikinga mvua na jua kwa waendesha bodaboda pamoja na Vifaa Tiba vya Kujifungulia akina Mama Wajawazito.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akihutubia wakazi wa Kigamboni, katika Uwanja wa Mjimwema, Dar es Salaam, alipomwakilisha Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, katika hafla ya kupokea na kukabidhi vifaa kwa ajili ya makundi mbalimbali, vilivyotolewa na wadau kupitia uongozi wa Wilaya ya Kigamboni kwa ajili ya makundi ya wanawake, wazee, vijana pamoja na watu wenye mahitaji maalum.Hafla hiyo iliyobeba kaulimbiu ya “Kigamboni Salama na Mama Samia, imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa wilaya, Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, pamoja na Viongozi wa Dini.

Baadhi ya Wakazi wa Kigamboni wakifuatilia kwa umakini hotuba iliyokuwa inatolewa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), wakati akihutubia wakazi hao, alipomwakilisha Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, katika hafla ya kupokea na kukabidhi vifaa kwa ajili ya makundi mbalimbali, vilivyotolewa na wadau kupitia uongozi wa Wilaya ya Kigamboni kwa ajili ya makundi ya wanawake, wazee, vijana pamoja na watu wenye mahitaji maalum. Hafla hiyo iliyobeba kaulimbiu ya “Kigamboni Salama na Mama Samia, imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa wilaya, Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, pamoja na Viongozi wa Dini.

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Bi. Halima Bulembo, akizungumza wakati akitoa hotuba ya kumkaribisha Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ambayealimwakilisha Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, katika hafla hiyo ya kupokea na kukabidhi vifaa kwa ajili ya makundi mbalimbali, vilivyotolewa na wadau kupitia uongozi wa Wilaya ya Kigamboni kwa ajili ya makundi ya wanawake, wazee, vijana pamoja na watu wenye mahitaji maalum. Hafla hiyo iliyofanyika katika Uwanja wa Mjimwema, Dar es Salaam, ilibeba kaulimbiu ya “Kigamboni Salama na Mama Samia, imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa wilaya, Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, pamoja na Viongozi wa Dini.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb)(kulia), akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Bi. Halima Bulembo, wakati wa hafla ya kupokea na kukabidhi vifaa kwa ajili ya makundi mbalimbali, vilivyotolewa na wadau kupitia uongozi wa Wilaya ya Kigamboni kwa ajili ya makundi ya wanawake, wazee, vijana pamoja na watu wenye mahitaji maalum, iliyofanyika katika Uwanja wa Mjimwema, Dar es Salaam. Hafla hiyo iliyobeba kaulimbiu ya “Kigamboni Salama na Mama Samia, imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa wilaya, Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, pamoja na Viongozi wa Dini.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kulia), akiwa ameshika bango lililoandaliwa na Wamachinga wa Wilaya ya Kigamboni, wakati wa hafla ya kupokea na kukabidhi vifaa kwa ajili ya makundi mbalimbali, vilivyotolewa na wadau kupitia uongozi wa Wilaya ya Kigamboni kwa ajili ya makundi ya wanawake, wazee, vijana pamoja na watu wenye mahitaji maalum, iliyofanyika katika Uwanja wa Mjimwema, Dar es Salaam. Hafla hiyo iliyobeba kaulimbiu ya “Kigamboni Salama na Mama Samia, imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa wilaya, Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, pamoja na Viongozi wa Dini.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kulia), akiwaaga Wakazi wa Kigamboni, baada ya kumwakilisha Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, katika hafla ya kupokea na kukabidhi vifaa kwa ajili ya makundi mbalimbali, vilivyotolewa na wadau kupitia uongozi wa Wilaya ya Kigamboni kwa ajili ya makundi ya wanawake, wazee, vijana pamoja na watu wenye mahitaji maalum.Hafla hiyo iliyobeba kaulimbiu ya “Kigamboni Salama na Mama Samia, imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa wilaya, Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, pamoja na Viongozi wa Dini.
 
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dar es Salaam)

About the author

mzalendo