Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

MAJALIWA ASHIRIKI SHEREHE ZA KUAPISHWA RAJOELINA

Written by mzalendo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpogeza Rais wa Madagascar Andry Rajoelina  katika dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa  Ikulu ya Antananarivo. Waziri Mkuu alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye sherehe za kumwapisha Rais huyo zilizofanyika kwenye uwanja wa michezo  wa   Barea uliopo Mahahamasina

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpogeza Rais wa Madagascar Andry Rajoelina  katika dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa   Ikulu ya Antananarivo. Waziri Mkuu alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye sherehe za kumwapisha Rais huyo zilizofanyika kwenye uwanja wa  michezo wa   Barea uliopo Mahamsina, Desemba 16, 2023. Kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa,  wa pili kulia ni Mke wa Rais wa Madagascar, Mialy Rajoelina na kushoto ni  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika  Mashariki anayeshughulikia Masuala ya Afrika  Mashariki, Wakili Stephen Byabato.

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akiwa na Mke wa Rais wa Madagascar, Mialy Rajoelina  katika dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa  Ikulu ya Antananarivo. Mama Majaliwa aliambatana na Waziri Mkuu aliyemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye sherehe za kumwapisha Rais huyo zilizofanyika kwenye uwanja wa   michezo wa  Barea uliopo  Mahamasina, Desemba 16, 2023.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

……….

 

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo (Jumamosi, Desemba 16, 2023) ameungana na Marais kutoka nchi sita barani Afrika kwenye sherehe za kumuapisha Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina.

Waziri Mkuu ambaye amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, alikuwa miongoni mwa marais kutoka Comoro, Angola, Zimbabwe, Msumbiji, Mauritius, Guinea-Bissau na wawakilishi kutoka nchi zaidi ya 10 ambao wameshiriki sherehe za kuapishwa kwa Rais wa nchi hiyo zilizofanyika kwenye uwanja wa Barea, eneo la Mahamasina, jijini Antananarivo.

Viongozi walioziwakilisha nchi zao wanatoka China (CPPCC), Rwanda, Seychelles, Senegal, Côte d’Ivoire, India na mabalozi mbalimbali. Mbali na Marais wa AU na SADC, viongozi wengine walitoka Kamisheni ya Bahari ya Hindi (Indian Ocean Commission), COMESA na Benki ya Maendeleo ya Afrika.

Mapema, akilihutubia Taifa hilo mara baada ya kuapishwa, Rais Andry Rajoelina alisema ana mapenzi ya dhati kwa nchi hiyo na wananchi wake na akawahakikishia kuwa atafanya kila awezalo ili kuendeleza umoja na mshikamano wa Taifa hilo.

Rais huyo ambaye anachukua kiti hicho kwa mara ya tatu alisema: “Hatutaki kuwa nchi ambayo haina utulivu. Tutasonga mbele kuhakikisha kila wilaya inapata maendeleo ya kiuchumi kwani tunayo maono (vision) na malengo tunayotaka kuyafikia.”

Katika hotuba yake iliyochukua dakika 20, Rais Rajoelina aliongea kwa Kimalagasi, ambayo ni lugha ya Taifa ya nchi hiyo. Alipomaliza, akatumia dakika saba kuhutubia kwa Kifaransa kwa ajili ya viongozi wa Kimataifa ambao waliohudhuria sherehe hiyo.

Pia Rais Rajoelina alisisitiza kwamba atakuwa Rais wa watu ambaye anataka kuona ushirikishwaji wa kila mmoja katika kuleta maendeleo ya nchi hiyo.

Kabla ya kuondoka uwanjani, Rais Rajoelina alishuhudia bahati nasibu ikichezeshwa na kisha akakabidhi funguo za nyumba ya kisasa iliyowekewa samani zote iliyoko Lake Village eneo la Ivato, kwa mshindi wa bahati nasibu hiyo. Ujenzi wa makazi bora ni moja ya malengo ya 13 ambayo Rais huyo amejiwekea.

Malengo mengine ni Amani na Ulinzi; Nishati na Maji; Mapambano dhidi ya Rushwa na kuleta Usawa; Elimu na Utamaduni; Afya kwa Wote; Ajira bora kwa wote; Uwekezaji na Viwanda; Mustakabali wa Vijana na Wanawake na Uzalishaji wa Chakula cha Kutosha. Mengine ni Menejimenti Endelevu ya Maliasili; Ujenzi wa Makazi bora na Ukuzaji wa Miji; Uwezeshaji na Uwajibikaji na Michezo kwa Wote.

Rais Rajoelina ambaye alishika madaraka ya nchi hiyo mwaka 2009-2014 na 2019-2023 ni kiongozi wa Chama cha Young Malagasies Determined (TGV) ambacho itikadi yake ni mageuzi (reformism), uwazi wa Serikali (government transparency) na demokrasia ya kijamii (social democracy).

About the author

mzalendo