Uncategorized

DKT. BITEKO MGENI RASMI MAHAFALI YA 26 CHUO KIKUU CHA MTAKATIFU AGUSTINO CHA TANZANIA (SAUT) JIJINI MWANZA

Written by mzalendo

Leo tarehe 16 Disemba 2023, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko anashiriki Mahafali ya 26 ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania ( SAUT) yanayofanyika katika Viwanja vya Raila Odinga jijini Mwanza.

Mara baada ya kuwasili katika Mahafali hayo, Dkt. Biteko alipokewa na viongozi wa Chuo hicho wakiongozwa na Mkuu wa Chuo, Mhashamu Baba Askofu Mkuu, Gervas Nyaisonga ambaye ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).

About the author

mzalendo