Featured Kitaifa

WIZARA YA FEDHA YATWAA TUZO UANDAAJI BORA HESABU KWA MWAKA WA FEDHA 2022

Written by mzalendo

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Jenifa Omolo, akipokea Tuzo kutoka kwa Mhasibu Mkuu Fungu 50 Wizara ya Fedha CPA Nuru Abdallahmed, baada ya Wizara kuwa mshindi wa kwanza na kufanikiwa kupata Tuzo ya Waandaji bora wa hesabu kwa mwaka wa Fedha ulioishia 30 Juni 2022 katika kundi la Wizara na Idara za Serikali zinazojitegemea. Tuzo hizo zimetolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Tanzania (NBAA), jijini Dar es salaam.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Jenifa Omolo, akionesha tuzo ambayo Wizara imepata baada ya kuwa mshindi wa kwanza na kufanikiwa kupata Tuzo ya Waandaji bora wa hesabu kwa mwaka wa Fedha ulioishia 30 Juni 2022 katika kundi la Wizara na Idara za Serikali zinazojitegemea. Tuzo hizo zimetolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Tanzania (NBAA), jijini Dar es salaam.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Jenifa Omolo, akiwa katika picha ya Pamoja na na Timu ya uandaaji wa Hesabu za mwisho (Final Account), baada ya Wizara kuwa mshindi wa kwanza na kufanikiwa kupata Tuzo ya Waandaji bora wa hesabu kwa mwaka wa Fedha ulioishia 30 Juni 2022 katika kundi la Wizara na Idara za Serikali zinazojitegemea. Tuzo hizo zimetolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Tanzania (NBAA), jijini Dar es salaam.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Jenifa Omolo, na Timu ya uandaaji wa Hesabu za mwisho (Final Account), wakifurahia tuzo baada ya Wizara kuwa mshindi wa kwanza na kufanikiwa kupata Tuzo ya Waandaji bora wa hesabu kwa mwaka wa Fedha ulioishia 30 Juni 2022 katika kundi la Wizara na Idara za Serikali zinazojitegemea. Tuzo hizo zimetolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Tanzania (NBAA), jijini Dar es salaam.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma)

About the author

mzalendo