Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

agb99

Hacking forum

deneme bonusu

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

pokerklas, pokerklas giriş

korsan taksi istanbul, istanbul korsan taksi

bets10

tipobet

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

superbetin

jojobet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat

betebet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

marsbahis, marsbahis giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

marsbahis giriş

casibom

Greece Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

casibom giriş

jojobet giriş

sweet bonanza giriş

sweet bonanza

deneme bonusu

amgbahis

holiganbet

superbetin

casinoroyal

casinomilyon

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

marsbahis

jojobet

jojobet

pusulabet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giris

jojobet

jojobet

meritking

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

meritking

marsbahis güncel giriş

meritking güncel giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

cratosroyalbet

Hacklink panel

betpas

holiganbet

Google

jojobet

holiganbet

jojobet telegram

jojobet giris

ikimisli

ikimisli giriş

marsbahis giriş

jojobet güncel giriş

marsbahis giriş

marsbahis

primebahis

tümbet

tümbet giriş

casinomaxi

casinomaxi giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

casinomaxi

casinomaxi giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

pokerklas

pokerklas

tipobet

holiganbet

porno izle

bets10

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas, pokerklas giriş

betsmove

holiganbet

ikimisli

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

betkolik

ikimisli giriş

marsbahis giriş

marsbahis giriş

ikimisli giriş

ikimisli

betkolik

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betkolik giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli

ikimisli giriş

marsbahis

betkolik

betkolik giriş

betkolik giriş

jojobet giriş

betkolik

ikimisli

marsbahis giriş

jojobet giriş

betkolik

marsbahis giriş

betkolik giriş

jojobet mobil

ikimisli giriş

betkolik giriş

nerobet

nerobet

aresbet, aresbet giriş

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

Deneme Bonusu

enjoybet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet giriş

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

jojobet

betbox

casibom

meritking giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

betsat

extrabet giriş

romabet

turkey dental implants

mavibet

artemisbet

setrabet

jojobet

pulibet

süratbet

perabet

nerobet

mavibet güncel giriş

mavibet

mavibet giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

mavibet

mavibet giriş

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

artemisbet

artemisbet giriş

mavibet

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AZINDUA RIPOTI YA UTAFITI VIASHIRIA VYA UKIMWI

Written by mzalendo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua ripoti ya utafiti wa viashiria vya UKIMWI  baada ya kuhutubia katika Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Morogoro, Disemba 1, 2023. Wengine kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu.

……………………..

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua ripoti ya utafiti wa viashiria vya UKIMWI ambayo inaonesha maambukizi mapya miongoni mwa watu wazima wenye umri zaidi ya miaka 15 yanaendelea kupungua.

“Maambukizi mapya miongoni mwa watu wazima wenye zaidi ya miaka 15 yanaendelea kupungua kutoka watu 72,000 waliokuwepo mwaka 2016/2017 hadi watu 60,000 kwa mwaka 2022/2023. Hii ni sawa upungufu wa asilimia 0.18 ambapo asilimia 0.24 ni wanawake na asilimia 0.11 ni wanaume,” amesema. 

Ameyasema hayo leo (Ijumaa, Desemba mosi, 2023) wakati akizungumza na mamia ya wananchi waliohudhuria maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani yaliyofanyika kwenye viwanja vya shule ya sekondari ya Morogoro, mjini Morogoro.

Amesema Serikali iliamua kufanya utafiti kwa lengo la kujua hali ya sasa ya VVU na UKIMWI ilivyo hapa nchini na matokeo yameonesha kuwa Tanzania imepata mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya UKIMWI.

Utafiti huo unaotambulika kama Utafiti wa Viashiria vya UKIMWI kwa mwaka 2022/2023 unapima matokeo ya mwitikio wa kitaifa wa UKIMWI nchini miongoni mwa watu wazima wenye umri wa kuanzia miaka 15 ukiwa na lengo la kukadiria kiwango cha maambukizi mapya ya VVU, ushamiri wa VVU, ufubazaji wa VVU kwa watu wanaoishi na VVU na utumiaji wa dawa kitaifa na kimikoa. 

 

“Utafiti umebaini kuwa kiwango cha kufubaza VVU kimeendelea kukua ambapo kwa sasa ni wastani wa asilimia 78 ambapo kwa upande wa wanawake kiwango kimekua kwa asilimia 80.9 na wanaume asilimia 72.2 ikilinganishwa na asilimia 52 iliyokuwepo kulingana na utafiti wa mwaka 2016/2017.”

“Kiashiria hiki ni muhimu kwa sababu mtu anapokuwa amefubaza VVU anakuwa na afya njema na hatasumbuliwa na UKIMWI pamoja na magonjwa nyemelezi. Pia anapofikia kiwango ambacho virusi havionekani maabara, basi hataweza kuambukiza VVU kwa wengine,” amesema.

Kuhusu kiwango cha ushamiri wa VVU kwa umri kuanzia miaka 15 na zaidi kwa mikoa ya Tanzania bara, Waziri Mkuu amesema utafiti umeonesha kuwa, kinaanzia asilimia 1.7 kwa mkoa wa Kigoma hadi kufikia asilimia 12.7 kwa mikoa ya Njombe, Mbeya na Iringa. “Mkoa wa Njombe una viwango vya ushamiri zaidi ya asilimia 9 sawa na mara mbili ya kiwango cha Taifa. Kwa upande wa Zanzibar, yanaonesha unaanzia asilimia 0.2 katika Mkoa wa Kaskazini Pemba hadi asilimia 0.8 Mkoa wa Kusini Unguja,” amesema.

Akitoa maagizo mahsusi, Waziri Mkuu amewataka vijana wajitambue na kuthamini maisha yao kwa kujikinga na maambukizi mapya ya VVU. “Wadau wote wekeni kipaumbele katika kundi hili muhimu ili kulinusuru na athari za UKIMWI.”

Pia amewataka watu wanaoishi na VVU waendelee kutumia dawa za ARV kwa ufuasi sahihi bila kuacha ili kufubaza VVU na kuimarisha afya zao. “Taifa linawategemea, Serikali itaendelea kuhakikisha huduma za ARV nchini zinapatikana.”

Ameitaka mikoa na wilaya zote nchini itekeleze maelekezo ya kufanya Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani na kutoa huduma stahiki kwa wananchi. “Kila mkoa uandae taarifa ya maadhimisho itakayoainisha huduma mbalimbali za kijamii na kuiwasilisha kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI,” amesisitiza.

Ametumia fursa hiyo kuwaomba viongozi wa dini, wa siasa na wa kimila watumie majukwaa waliyonayo kuendelea kusema na kukemea taarifa za ubaguzi dhidi ya WAVIU na kuhimiza upendo na huruma kwao.

Mapema, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama alisema ofisi yake kwa kushirikiana na ofisi ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) pamoja na Waziri wa Afya watajipanga kuhakikisha wanawalinda vijana wa Tanzania dhidi ya janga la UKIMWI.

Naye, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alisema ili kukabiliana na kasi ya kuenea kwa maambukizi wa VVU, wizara yake imezindua mpango wa kuoanisha VVU, magonjwa ya ngono na homa ya ini kwani kuna ushabihiano mkubwa wa njia za maambukizi za magonjwa hayo.

Amesema hatua hiyo imekuja baada ya kubaini kuwa asilimia 4.4 ya Watanzania wana maambukizi ya magonjwa ya ini.

Akielezea mpango wa wizara kufikisha huduma ya afya kwa ngazi ya jamii, alisema wizara hiyo inatarajia kuajiri wahudumu wa afya ya jamii 137,000 ambao watafanya kazi kuanzia ngazi ya mitaa na vitongoji.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia waandamanaji katika Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani yaliyofanyika  kitaifa kwenye  viwanja vya Shule ya Sekondari Morogoro, Disemba 1, 2023. Wengine kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima na kulia ni Mwenyeki wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Afya na masuala ya UKIMWI, Stanslaus Nyongo.

Waandamaji wakipita mbele ya mgeni rasmi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika  Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye viwanja wa vya Shule ya Sekondari Morogoro,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi alipowasili kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Morogoro kuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Shule ya Sekodari Morogoro, Disemba 1, 2023.  Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima na wa pili kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mtalaamu wa Afya ya Jamii, Makune Makune (kushoto)  wakati alipotembelea banda la maonesho la Programu  ya  Marekani inayojishughulisha na masuala ya UKIMWI (PEPFAR) kabla ya kuhutubia katika Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI  Duniani  kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Morogoro, Disemba 1, 2023. Kulia ni Mratibu wa Programu hiyo, Jesca Green.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Morogoro.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akibonyeza kitufe kuzindua  ripoti ya utafiti wa viashiria vya UKIMWI  baada ya kuhutubia katika Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Morogoro, Disemba 1, 2023. Wa pili kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama na wa tau kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua ripoti ya utafiti wa viashiria vya UKIMWI  baada ya kuhutubia katika Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Morogoro, Disemba 1, 2023. Wengine kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha nakala za ripoti ya utafiti wa viashiria vya UKIMWI  baada ya kuhutubia katika Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari  Morogoro, Disemba 1, 2023. Wengine kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira , Vijana na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu na Mkuu wa mkoa wa Morogoro Adam Malima.

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwaaga wananchi baada ya kuhutubia katika Maadhimisho ya Siku ya UKIMWIi Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye viwanja yha Shule ya Sikondari Morogoro

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi baada ya kuhutubia katika Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI  Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Shule ya Sekodari Morogoro, Disemba 1, 2023. Kutoka Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Adam Malima, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Jenista Mhagama, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana. na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga na Mwenyekiti wa Barcza la Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI. (NACOPHA), Leticia Moris.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendo