Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

SERIKALI KUENDELEA KUTHAMINI HAKI NA USTAWI WA WATU WENYE ULEMAVU

Written by mzalendo

 

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi,akizungumza wakati akizindua Kongamano la Kujadili Mada mbalimbali kuhusu Watu Wenye Ulemavu kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu leo Desemba 1,2023 jijini Dodoma.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi,akisisitiza jambo wakati akizindua Kongamano la Kujadili Mada mbalimbali kuhusu Watu Wenye Ulemavu kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu leo Desemba 1,2023 jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma kwa Watu wenye Ulemavu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,Bw.Rasheed Maftah,akizungumza wakati wa  Kongamano la Kujadili Mada mbalimbali kuhusu Watu Wenye Ulemavu kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu leo Desemba 1,2023 jijini Dodoma.

Mwakilishi kutoka Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Dkt.Simon Chacha akitoa salamu za Mkoa wa Dodoma wakati wa  Kongamano la Kujadili Mada mbalimbali kuhusu Watu Wenye Ulemavu kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu leo Desemba 1,2023 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania Bara Ndugu Ernest Kimaya,akizungumza wakati wa  Kongamano la Kujadili Mada mbalimbali kuhusu Watu Wenye Ulemavu kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu leo Desemba 1,2023 jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi (hayupo pichani) ,akizungumza wakati akizindua Kongamano la Kujadili Mada mbalimbali kuhusu Watu Wenye Ulemavu kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu leo Desemba 1,2023 jijini Dodoma.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi,akiwa katika picha ya pmoja mara baada ya kuzindua  Kongamano la Kujadili Mada mbalimbali kuhusu Watu Wenye Ulemavu kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu leo Desemba 1,2023 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

 

SERIKALI  inaendelea kuyapa kipaumbele masuala ya watu wenye ulemavu,kuwapenda,kuthamini haki na ustawi wao kwa kutekeleza shughuli mbalimbali ikiwemo, kufanya mapitio ya Sera ya Taifa ya Maendeleo na Huduma kwa Watu wenye Ulemavu ya mwaka 2004.

Hayo yamesemwa leo Disemba 1,2023 jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi,wakati akizindua  Kongamano la Kujadili Mada mbalimbali kuhusu Watu Wenye Ulemavu kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu

“Lengo kuu la kongamano hili ni kujadili mada mbalimbali zitakazowasilishwa na wataalam wetu na kuweza kutoa michango yetu pamoja na kushauri namna bora ya kuboresha huduma hizo katika maeneo hayo husika. Aidha, nimejulishwa kuwa mada zitakazojadiliwa ni pamoja na Afya ya akili, ujumuishwaji wa masuala ya afya kwa Watu wenye Ulemavu pamoja na afya ya uzazi, fidia kwa Wafanyakazi wanaopata ulemavu kazini, Huduma kwa Watoto wenye kichwa kikubwa na mgongo wazi pamoja na mfumo wa utolewaji taarifa kwa Watu wneye Ulemavu” 
Na kuongeza kuwa “Serikali inaendelea kukamilisha kuandaa Mwongozo wa Ufikivu wa miundombinu, Mwongozo wa uanzishwaji, uendeshaji na usimamizi wa vyuo vya ufundi stadi na marekebisho kwa Watu wenye Ulemavu vya Serikali na watu binafsi pamoja na kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuhusu ujumuishwaji wa masuala ya Watu wenye Ulemavu katika jamii,” amesema Mhe.Katambi
Aidha Mhe.Katambi amesema kuwa wamefanya  Maboresho ya miundombinu katika vyuo sita  vya ufundi stadi na marekebisho kwa Watu wenye Ulemavu vilivyopo Yombo – Dar es Salaam, Sabasaba – Singida, Masiwani –Tanga, Luanzari –Tabora, Mtapika – Masasi na Mirongo- Mwanza na sasa upanuzi wa chuo hicho unafanyika katika eneo la Kisesa ikiwemo Ujenzi wa vyuo vipya vitatu katika Mkoa wa Ruvuma, Songwe na Kigoma. 
Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012, watu milioni 3.2 sawa na asilimia 9.3 ya watu milioni 44.9 wakati huo walikuwa na aina fulani ya ulemavu. Kulingana na Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 idadi ya Watu ni 61,741,120 hivyo inatarajiwa pia idadi ya Watu wenye Ulemavu kuongezeka ikizingatiwa ushirikishwaji wa Watu wenye Ulemavu ulikuwa mkubwa na hivyo kuongeza hamasa ya kushiriki.
Kongamano hilo limewashirikisha watendaji kutoka Idara za serikali na Taasisi zake, mashirika na taasisi zinazotoa huduma kwa Watu wenye Ulemavu, vyama vya Watu wenye Ulemavu, Watu wenye Ulemavu pamoja na vyombo vya habari. Ninatambua kuwa ninyi nyote ni wadau muhimu katika kongamano hili la leo ambalo linaenda kuangazia sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya afya, elimu, ajira, uwezeshwaji wananchi kiuchumi pamoja na huduma kwa Watu wenye Ulemavu.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma kwa Watu wenye Ulemavu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,Bw.Rasheed Maftah, amesema kuwa zoezi la mapitio ya sera ya Maendeleo ya watu Wenye Ulemavu limeanza 

”Zoezi hilo ni shirikishi kwani katika timu inayofanya mapitio ya sera hiyo imejumuisha Makundi yote ikiwemo Kamati za watu Wenye Ulemavu kuanzia ngazi ya Mtaa.”amesema Bw.Maftah

About the author

mzalendo