marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

pusulabet giriş

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

matbet

marsbahis

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

grandpashabet

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

cratosroyalbet

pokerklas

marsbahis

perabet giriş

piabet

betoffice

restbet

imajbet

safirbet

goldenbahis

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

gobahis, gobahis giriş

jojobet giriş

restbet

jojobet giriş

restbet

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

setrabet

starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

kingroyal giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

trendbet

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10 giriş

bets10 giriş

bets10 giriş

Tipobet

jojobet

grandpashabet giriş

casinoroyal

İkimisli

casinofast

holiganbet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10 giriş

casibom

imajbet

imajbet giriş

imajbet

imajbet giriş

perabet

perabet giriş

mislibet

mislibet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

bets10

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

interbahis

kralbet giriş

belugabahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

ultrabet

jojobet

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

Holiganbet

ultrabet

mislibet

interbahis

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

Featured Kitaifa

KODI KUFANYIWA MAREKEBISHO KILA BAADA YA MIAKA MITATU

Written by Alex Sonna

Na. Peter Haule, WF, Mbeya

Serikali imeeleza kuwa itakuwa inafanya marekebisho ya kodi kila baada ya miaka mitatu ili kuwa na Sera ya kodi inayotabirika na kuwafanya wawekezaji kuweka mipango yenye ufanisi.

Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, wakati wa Kongamano la ukusanyaji maoni ya Kodi Kikanda Jijini Mbeya, ikiwa ni mwendelezo wa makongamano kama hayo yanayofanyika Kanda mbalimbali nchini kwa lengo la kuboresha Sera ya Kodi kwa mwaka 2024/25.

Alisema kuwa Utaratibu wa sasa ni kufanya marekebisho ya kodi kila baada ya miaka mitatu, hivyo marekebisho yaliyofanywa mwaka huu hayafanyiki tena hadi miaka mitatu ili kuwa na Sera za Kodi inayotabirika.

“Awali kulikuwa na utratibu ulioasababisha wananchi kusema bajeti ni ya pombe, Sigara na Soda, maana ya kauli hizo ni kuwa kila mwaka Serikali ilikuwa inabadilisha viwango vya kodi vilivyokuwa vinatozwa kwenye bidhaa hizo jambo ambalo kwa sasa halitakuwa linafanyika kila mwaka”, alieleza Bw. Mwandumbya.

Akizungumzia maboresho ya Kodi yaliyofanyika, Bw. Mwandumbya alisema kuwa Serikali imeongeza bidhaa za mtaji (Capital goods) zinazozalishwa nchini katika wigo wa ahirisho la kulipa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kuanzia tarehe Mosi Julai, 2023 na kuondoa katika wigo huo bidhaa za mtaji zinazoingizwa kutoka nje ya nchi kuanzia tarehe Mosi Julai, 2026.

Alieleza kuwa Nchi imebarikiwa kuwa na watu wengi katika sekta ya kilimo, mifugo na uvuvi, bidhaa zinazozalishwa katika sekta hizo zinapaswa ziongezwe thamani ili kuwezesha wananchi kupata bei ambazo zitawanufaisha, ili kufanikisha hilo zinahitajika mashine, viwanda vidogo vidogo na vikubwa vitakavyosaidia kuchakata bidhaa hizo kwa maana ya Capital goods.

Alifafanua kuwa Serikali imesamehe Kodi ya Ongezeko la Thamani kwa utaratibu maalumu kwenye Mashine zinazokwenda kuongeza thamani ya bidhaa ili kuwaongezea wananchi kipato na pia kukuza uchumi wa Taifa.

Bw. Mwandumbya alisema kuwa ikiwa bidhaa ya mtaji imeingizwa kutoka nje ya nchi ushuru wake umesamehewa, lengo likiwa kuwapeleka wananchi waende kwenye uwekezaji wa viwanda vidogo na vikubwa ili kuongeza thamani ya bidhaa na hatimaye kupata mapato mengi zaidi.

Pia alisema kuwa Serikali imeweka utaratibu rahisi wa utozaji kodi ya mapato yatokanayo na biashara ya usafirishaji wa abiria, mizigo na utalii kutegemeana na uzito wa gari, idadi ya abiria wanaobebwa, chombo husika pamoja na biashara inayofanywa.

Alieleza kuwa Gari aina ya Toyota Hiace inayoweza kubeba abiria 18 kodi yake kwa mwaka ni shilingi 550,000 ambayo inalipwa kwa awamu kwa miezi mitatu na Gari aina ya Fuso ya Tani 10 kodi yake ni 750,000 kwa mwaka ambayo pia inalipwa kwa awamu nne.

Maboresho mengine yaliyofanywa ni kusamehe Kodi ya Ongezeko la Thamani kwa vifaa vinavyotumika kubadili mfumo wa magari kutoka matumizi ya mafuta kwenda matumizi ya gesi au umeme na kusamehe kodi hiyo kwenye magari yanayoingia nchini yanayotumia gesi au umeme kwa kuwa nchi inaenda kwenye matumizi ya gesi na umeme kutokana na changamoto kubwa ya mafuta.

Kwa upande wake, Meneja Huduma wa Taasisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi (TOST), Bw. Godwin Barongo, alisema kuwa nia ya Utawala bora kwenye mfumo wa kodi nikutaka mlipa kodi alipe kodi ya haki, asionewe lakini pia asiache kulipa kodi halali ya Serikali.

“Kama kuna mlipa kodi ana malalamiko anayonafasi ya kwenda kwenye Mahakama ya Biashara ambako atakutana na wanasheria, pia anaweza kulalamika kupitia ofisi ya TOST, sisi tutamsikiliza na kuwasiliana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kutatua tatizo ndani ya muda mfupi”, alieleza Bw. Barongo.

Alisema kuwa Taasisi hiyo haipo kwa ajili ya kuichonganisha Serikali na TRA bali ipo kwa kazi ya kuwasaidia walipa kodi na TRA ili kodi ya Serikali iweze kulipwa kwa uhalali.

Naye Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA), mkoa wa Mbeya, Bw. Erick Sichinga, alisema kuwa ufafanuzi wa kisheria unaotolewa kupitia Kongamano la ukusanyaji wa Kodi utawasaidia wafanyabiashara kwa kuwa mara nyingi taratibu zinazotumiwa na wafanyabiashara kufikisha maoni Serikalini zilikuwa na mlolongo mrefu hivyo maoni yanafika ikiwa tayari Sheria zimetungwa.

Bw. Sichinga ameipongeza Wizara ya Fedha kwa uamuzi wa kuwafuata wafanyabiashara katika Kanda zao na kusikiliza maoni yao moja kwa moja na kutoa matumaini ya kufanyiwa kazi kwa kuwa wanauhakika maoni yao yamefika sehemu sahihi na kwa wakati.

Timu ya Wataalam wa Uchambuzi wa Sera za Kodi kutoka Wizara ya Fedha ianendelea na ukusanyaji wa maoni kwa wananchi Kikanda ambapo hadi sasa mkoa wa Arusha, Mwanza na Kigoma na Mbeya imefikiwa.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, akieleza kuwa Serikali imeweka Sera ya Kodi inayotabirika ili Wawekezaji waweze kuweka mipango yao vizuri, wakati wa Kongamano la kukusanya maoni ya Kodi Kikanda lililofanyika Jijini Mbeya, ikiwa ni mwendelezo wa makongamano hayo ya uboreshaji wa Kodi.

Meneja Huduma wa Taasisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi (TOST), Bw. Godwin Barongo, akieleza hatua ambazo mlipakodi anaweza kuzichukua iwapo hatakubaliana na maamuzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ikiwemo kwenda kwenye Taasisi hiyo, wakati wa Kongamano la kukusanya maoni ya Kodi Kikanda lililofanyika Jijini Mbeya.

Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA) Mkoa wa Mbeya, Bw. Erick Sichinga, akitoa maoni kuhusu uboreshaji wa Sera ya Kodi wakati wa Kongamano la kukusanya maoni ya Kodi Kikanda, lililofanyika Jijini Mbeya.

Mkurugenzi wa Livy Afrika, Bw. Chris Mwasambili, akitoa maoni yake ya kuhusu uboreshaji wa Sera ya utozaji Kodi kwa mwaka 2024/25, wakati wa Kongamano la kukusanya maoni ya Kodi Kikanda, lililofanyika Jijini Mbeya.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Mkoa wa Mbeya Bw. Joseph Mwakisu, akieleza kuhusu maboresho ya kodi kwa wafanyabiashara kwa mwaka wa fedha 2024/25, wakati wa Kongamano la kukusanya maoni ya Kodi Kikanda lililofanyika Jijini Mbeya.

Mkulima wa mazao mchanganyiko mkoani Mbeya, Bw. Gidion Siame, akitoa maoni ya maboresho ya Kodi kwa mwaka 2024/25 kwenye sekta ya kilimo, wakati wa Kongamano la kukusanya maoni ya Kodi Kikanda, lililofanyika Jijini Mbeya.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya akisalimiana na Mzee John Bakilile, mkazi wa Mbeya, baada ya kumalizika kwa Kongamano la kukusanya maoni ya Kodi Kikanda lililofanyika Jijini Mbeya.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya (katikati) na wadau wa kodi Jijini Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Ukusanyaji maoni ya Kodi kutoka Wizara ya Fedha na Sekta binafsi, baada ya Kongamano la ukusanyaji maoni ya utozaji kodi kwa mwaka 2024/25, Jijini Mbeya.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Mbeya)

About the author

Alex Sonna