Burudani Featured

VIDEO YA INJILI : ROZAA – ANAJIBU

Written by mzalendo

Huyu ni Mwimbaji wa nyimbo za injili anayejulikana kwa jina la Rozalia Magige au (ROZAA)
Na ni miongoni wa waimbaji mahiri na anaendelea kufanya vizuri,
Hizi ni baadhi ya nyimbo zake ambazo hakika zinafanya vizuri na zinabariki sana nakwambia hutajuta kuziangalia.
Usisahau Ku subscribe Kushare, Ku comment na Ku like🙏🏽
Share kwa marafiki bila kuchoka
Barikiwa sana🙏🏽

Rozaa – Nashukuru

Rozaa – Wa Thamani

Rozaa – Ni Ujumbe

About the author

mzalendo