Featured Kitaifa

MASAUNI ATETA NA MABALOZI WA NCHI TATU JIJINI DAR ES SALAAM

Written by mzalendo

 

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ufaransa hapa nchini, Nabil Hajlaoui(kushoto) muda mfupi baada ya kumaliza mazungumzo yaliyohusu Ushirikiano juu ya Masuala ya Ulinzi na Usalama kati ya wizara na nchi hiyo.Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisi Ndogo ya wizara, jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Kenya hapa nchini, Isaac Njenga(kushoto) muda mfupi baada ya kumaliza mazungumzo yaliyohusu Ushirikiano juu ya Masuala ya Ulinzi na Usalama kati ya wizara na nchi hiyo.Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisi Ndogo ya wizara, jijini Dar es Salaam

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Qatar hapa nchini,Fahad Rashid Al-Marekhi(kushoto) muda mfupi baada ya kumaliza mazungumzo yaliyohusu Ushirikiano juu ya Masuala ya Ulinzi na Usalama kati ya wizara na nchi hiyo.Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisi Ndogo ya wizara, jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

About the author

mzalendo