Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Michezo

WASHIRIKI WA TAMASHA LA WORLD HAPPY DEAF FAMILY FESTIVAL 2023 WAFURAHIA VIVUTIO MIKUMI

Written by mzalendo

 

Rais wa Chama cha Viziwi Afrika na Mkurugenzi wa Kituo Cha Sanaa na Utamaduni Kwa Viziwi Tanzania (KISUVITA), Habibu Mrope (kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Miss na Mr Deaf International (MMDI) Bi.  Bonita Ann Leek (kushoto) mara baada ya ziara ya Washiriki wa Tamasha la World Happy Deaf Family Festival 2023 kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Mikumi mkoani Morogoro Novemba 27, 2023 kujionea vivutio adhimu vya  Wanyamapori.

Washiriki wa Tamasha la World Happy Deaf Family Festival 2023 wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kuwasili Hifadhi ya Taifa ya Mikumi mkoani Morogoro Novemba 27, 2023 kujionea vivutio adhimu vya Wanyamapori.

Na Eleuteri Mangi, WUSM

Washiriki wa Tamasha la World Happy Deaf Family Festival 2023 wametembelea Hifadhi ya Taifa ya Mikumi mkoani Morogoro Novemba 27, 2023 kujionea vivutio adhimu vya  Wanyamapori.

Akizungumza mara baada ya ziara hiyo ndani ya Hifadhi ya Mikumi, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Sanaa nchini na Mkuu wa msafara huo Dkt. Emmanuel Ishengoma amesema ziara hiyo ni utekelezaji wa maagizo ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo aliyatoa Januari 22, 2022 ambapo alizielekeza Wizara za Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na Maliasili na Utalii kuunganisha matukio yao katika sekta za Utamaduni, Sanaa na Michezo kimkakati ili kutangaza utalii wa Tanzania.

“Kwa hiyo hawa waliofika hapa Mikumi leo kutoka nchi 43, kila bara hapa limewakilishwa, baada ya kumaliza mashindano, sisi Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na Bodi ya Utalii Tanzania tumekuja hapa kuendendeleza hiyo dhana ya Rais ya kutumia matukio yote ya Wizara kutangaza nchi yetu na utalii wetu” amesema Dkt. Ishengoma.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Miss na Mr Deaf International (MMDI) Bi.  Bonita Ann Leek kutoka nchini Marekani Bi. Bonita Leek amesema mwaka jana 2022 waliichagua Tanzania kuja kufanya mashindano hayo na kukubaliana tena mwaka 2023 mashindano hayo yafanyike tena Tanzania kwa kuwa yalifana sana na kuamua kurudi tena mwaka huu.

“Nimefurahia Tanzania kuwa na mbuga kama hii, nimeona Wanyama tofauti tofauti na jambo hili litasaidia viziwi wengine duniani nao kuvutiwa na kutembelea Tanzania” amesema Bi. Bonita.

Naye Kaimu Meneja wa Habari na Uhusiano Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Bw. Robert Mwasunya amesema ujio wa walimbwende, watanashati na wanamitindi kutoka jamii ya watu wenye chanamoto ya usikivu duniani unaendelea kukuza Sanaa kwenye sekta ya utalii duniani watakaporudi kwenye nchi zao watatangaza utalii wa Tanzania kupitia picha walizopiga katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi na kuzirusha kwenye mitandao mbalimbali duniani ikiwa ni mkakakati wa bodi hiyo kukuza utalii wa ndani, kikanda na kimataifa.

Wakiwa katika hifadhi hiyo washiriki hao wameshuhudia makundi ya Wanyamapori wakiwemo simba, twiga, tembo, nyati, nyumbu na swala chini ya uratibu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Tamasha hilo limehusisha washiriki zaidi ya 160 kutoka mataifa ya Afrika Kusini, Australia, Belarus, Brazil, Ethiopia, Falme za Kiarabu, Guyana, Haiti, Hispania, India, Iran, Italia, Kenya, Kongo DRC, Malasia, Macedonia, Marekani, Mexico, Misri, Morocco, Msumbiji, Nigeria, Pakistan, Poland, Romania, Rwanda, Senegal, Siera Leone, Sudan Kusini, Thailand, Tunisia, Jamhuri ya Czechoslovakia, Ufaransa, Uganda, Ujerumani, Ukraine, Urusi, Zambia, Zimbabwe na wenyeji Tanzania.

About the author

mzalendo