MzalendoBlog
  • Habari
    • Kitaifa
    • Kimataifa
  • Michezo
  • Burudani
  • Makala
Mzalendo
  • Habari
    • Kitaifa
    • Kimataifa
  • Michezo
  • Burudani
  • Makala

Home » WAZIRI MKUU AWASILI ZANZIBAR

Featured • Kitaifa

WAZIRI MKUU AWASILI ZANZIBAR

2 years ago
by mzalendo
6 Views
Written by mzalendo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Idrissa Kitwana Mustafa wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Zanzibar Novemba 25, 2026 ambako kesho anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi katika Mbio za Β Hisani za Kukomesha Ukatili wa Kijinsia ( ‘Stop GBV Marathon) zitakazofanyika Mji Mkongwe Zanzibar. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

    FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn
RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA NAIBU WAZIRI GEKUL
SIMBA SC YAANZA NA SARE LIGI YA MABINGWA AFRIKA UWANJA WA MKAPA

You may also like

Featured • Magazeti

PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JULAI...

Featured • Kitaifa

RAIS SAMIA APONGEZWA KUTEKELEZA MKAKATI WA TAIFA WA...

Featured • Kitaifa

AMREF HEALTH AFRICA YAKABIDHI VITENDEA KAZI KWA...

Featured • Kitaifa

DKT. OMAR AZINDUA MAFUNZO YA UBAINISHAJI NA UPIMAJI WA...

Featured • Kitaifa

π—ͺπ—œπ—­π—”π—₯𝗔 𝗬𝗔 π—˜π—Ÿπ—œπ— π—¨ π—¬π—”π—§π—˜π—§π—” 𝗑𝗔 π—¨π—’π—‘π—šπ—’π—­π—œ 𝗠𝗣𝗬𝗔 π—§π—”π— π—’π—‘π—šπ—¦π—–π—’

Featured • Kitaifa

DKT.MADELE AREJESHA FOMU YA UBUNGE DODOMA MJINI

About the author

mzalendo

View all posts

Copyright © 2025. Mzalendo Blog - Design by Yatosha Web Services.

  • Habari
  • Michezo
  • Burudani
  • Makala