Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua mradi wa usambazaji umeme vijijini na vitongojini unaotekelezwa na Wakala wa Umeme Vijijini (REA). Uzinduzi huo ulifanyika kwenye kijiji cha Kivugulwa wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kuzindua mradi wa usambazajiwa umeme vijijini na vitongojini unaotekelezwa na Wakala wa Umeme Vijijini (REA). Uzinduzi huo ulifanyika kwenye kijiji cha Ivugula wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA) alipowasili kwenye kijiji cha Ivugulwa wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe kuzindua mradi wa usambazaji wa umeme vijijini na vitongojini unaotekelezwa na Wakala wa Umeme Vijijini (REA).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua mradi wa usambazaji umeme vijijini na vitongojini unaotekelezwa na Wakala wa Umeme Vijijini (REA). Uzinduzi huo ulifanyika kwenye kijiji cha Kivugulwa wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwasha umeme kuzindua mradi wa usambazaji umeme vijijini na vitongojini unaotekelezwa na Wakala wa Umeme Vijijini (REA) uzinduzi huo ulifanyika katika kijiji cha Kivugulwa wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe, Novemba 24, 2023. Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum Juliana Shonza na wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Dkt.Francis Michael. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)