Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

timebet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

nerobet

betcup

casinofast giris

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

tarafbet

meritbet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

marsbahis

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

betpas

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

Featured Kitaifa

MEGAWATI 197 ZAPUNGUZA MGAO WA UMEME NCHINI

Written by mzalendo

MKURUGENZI  Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mhandisi Gissima Nyamo- hanga,akifafanua jambo kwa  waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa  kuhusu hali ya upatikanaji wa umeme nchini leo Novemba 24,2023 jijini Dodoma.

MKURUGENZI  Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mhandisi Gissima Nyamo- hanga,akizungumza na  waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Novemba 24,2023 jijini Dodoma wakati akitoa taarifa  kuhusu hali ya upatikanaji wa umeme nchini.

MKURUGENZI  Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mhandisi Gissima Nyamo- hanga,akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 24,2023 jijini Dodoma  kuhusu hali ya upatikanaji wa umeme nchini.

Na.Alex Sonna-DODOMA

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema upatikanaji umeme kwa kipindi cha Septemba hadi Novemba mwaka huu imeimarika baada ya kuongeza zaidi ya Megawati 197 kwenye Gridi ya Taifa na kufanya upungufu wa umeme kushuka kutoka Megawati 410 hadi kufikia Megawati 213 hivyo kupunguza makali ya mgao wa umeme nchini.

Hayo yamesemwa leo Novemba 24,2023 jijini Dodoma  na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mhandisi Gissima Nyamo- hanga wakati akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu hali ya upatikanaji wa umeme nchini.

“Takribani megawati zaidi ya 197 zimeongezeka katika mfumo wetu wa gridi ya taifa ndani ya kipindi tajwa kutokana na juhudi mbalimbali za matengenezo ya mitambo, kuongezeka kwa upatikanaji wa gesi asilia kutoka TPDC, sambamba na upatikanaji wa mvua katika ukanda wa vituo vya kuzalisha umeme vya Nyumba ya Mungu,Hale na Pangani”amesema Mhandisi  Nyamo- hanga 

Mhandisi Nyamo- hanga amesema kuwa  hali ya uzalisahaji umeme kwa kutumia vyanzo vya maji bado haujaimarika kutokana na mvua kuchelewa kunyesha katika mikoa ambayo huchangia kwa kiasi kikubwa upatikanaji wa maji katika vituo vya kuzalisha umeme.

“Vyanzo hivyo ni pamoja na Mtera, Kidatu na Kihansi yaani katika mikoa ya Iringa, Mbeya,Tabora, Singida na Dodoma kwa sasa kumekuwepo na dalili ya mvua katika mikoa hiyo jambo ambalo linaashiria kuwepo kwa ongezeko la uzalishaji wa umeme katika vituo hivyo katika kipindi cha muda mfupi kutoka sasa”amesema 

Hata hivyo amesema kuwa  shirika linautaarifu umma kuwa mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo ya ukanda wa Pwani na Tanga na zile za mikoa ya kanda ya ziwa Victoria katika mikoa ya Mara, Mwanza, Simiyu, Shinyanga, Geita na Kagera ni mvua ambazo mtiririko wake wa maji hauelekei viliko vyanzo vya umeme vya Mtera,Kidatu na Kihansi.

“Na hii ndo sababu hasa kuendelea kuwepo kwa mgao wa umeme pamoja na kwamba mvua zinazonyesha katika maeneo ya kanda hizo mbili “amesema 

Vile vile,Mhandisi Nyamo- hanga amesema kuwa  mvua hizo zinazoendelea kunyesha kwa wingi katika kanda hizo zimeleta athari katika miundombinu ya shirika na kuongeza makali ya upatikanaji wa huduma ya umeme kwa baadhi ya ya wateja.

Aidha amesema kuwa shirika linaendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kukabiliana na upungufu huo wa umeme kwa kufanya matengenezo mitambo yake, kuongeza vyanzo zaidi vya kuzalisha umeme, kuongeza upatikanaji wa gesi asilia sambamba na kuimarisha miundombinu ya usafirishaji na usambazaji wa umeme.

“Shirika linaendelea kusimamia kwa umakini zoezi la mgao wa umeme linaendelea hadi sasa ili kupunguza makali ya mgao nchini,”amefafanua 

Pia amesema kuwa  ili kuhakikisha ubora wa huduma kwa wateja unaongezeka shirika litaimarisha ukubwa wa kituo chake cha mawasiliano kwa wateja kwa kuongeza idadi ya watoa huduma wanaopokea na kujibu simu za wateja kutoka 65 hadi 100 ili kumudu ongezeko.

“Shirika linautaarifu umma kwamba hali ya upatikanaji wa umeme itaendelea kuimarika katika miezi ya usoni kutokana na kukamilisha matengenezo ya mitambo iliyokuwa na hitilafu. Kuongezeka kwa uzalishaji wa gesi asilia, kukamilika kwa mradi wa Rusumo utakaotupatia megawati 27 na mradi wa bwawa la kufua umeme la mwalimu Julius Nyerere litakalokuwa na uwezo wa kuzalisha megawati 2115”amesema Mhandisi Nyamo- hanga

About the author

mzalendo