Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

casibom giriş

pokerklas

royalbet

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

türk ifşa

pokerklas

İkimisli

onwin

grandpashabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

mobilbahis

casibom

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

artemisbet

mislibet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

matbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

teosbet

vdcasino giriş

zirvebet

mislibet giriş

nerobet

jojobet

nerobet

jojobet giriş

artemisbet giriş

Meritking

jojobet

สล็อตเว็บตรง

bets10

pusulabet

jojobet

jojobet

holiganbet

trust score weak 3

holiganbet

ikimisli

tipobet

mislibet

jojobet adres

casibom

realbahis

ikimisli

queenbet

jojobet

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

casibom giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet giriş

holiganbet giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

interbahis, interbahis giriş

betgar, betgar giriş

monobahis, monobahis giriş

superbetin

meritking

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

roketbet

marsbahis

ligobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

sahabet

jojobet

perabet

ilbet

deneme bonusu

casibom güncel giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

kulisbet, kulisbet giriş

google

ganobet

tophillbet

marsbahis

atlasbet

Doctors | Akdeniz University Hospital

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

casibom güncel giriş

casibom giriş

sweet bonanza

casibom

betflix giriş

betflix

betturkey

grandpashabet

wbahis

sekabet

grandpashabet

betplay

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

ikimisli

queenbet

jojobet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom giriş

casibom

meritking giriş

meritking giriş

meritking

marsbahis

meritking

marsbahis giriş

marsbahis giriş

meritking

jojobet

goldenbahis

holiganbet

galabet

holiganbet

mislibet

casibom

tambet

Hacklink panel

betturkey

jojobet

google giir

jojobet

jojobet

realbahis

casibom giriş

royalbet

jojobet giriş

royalbet

casibom giriş

casibom giriş

casibom

primebahis

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

meritking giriş

marsbahis

betpas

betgaranti

betoffice

timebet

Bet365 Giriş

betturkey

betturkey giriş

atlasbet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

casibom

vdcasino

mislibet giriş

robinbet

kralbet

betpark giriş

betpark

betpark

betpark güncel giriş

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

betine

jojobet

betvole

betvole

betkolik

betkolik

betplay

betplay

aresbet

aresbet

jojobet giriş

alfabahis

gobahis

gobahis

livebahis

livebahis

atlasbet

atlasbet

ultrabet

ultrabet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis

coinbar

coinbar

elitcasino

elitcasino

bahisfair

bahisfair

gonebet

gonebet

betovis

betovis

nerobet

goldenbahis

pokerklas, pokerklas giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

marsbahis

deneme bonusu

casibom

jojobet

https://sjconsultors.com/

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AAGIZA WANANCHI WAHAMASISHWE KUTUMIA HUDUMA RASMI ZA FEDHA.

Written by mzalendo
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb), akihutubia wananchi wa Arusha, waliohudhuria ufunguzi wa Maadhimisho ya Tatu ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Uchumi”, yanayofanyika katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha. Maonesho hayo yanawakutanisha Taasisi ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka mkoa wa Arusha.
Na. Farida Ramadhani na Joseph Mahumi, WF, Arusha
 
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Fedha kuandaa mpango maalum wa kutoa elimu na hamasa kwa Watanzania ili kila mmoja ajenge tabia ya kutumia huduma rasmi za fedha.
 
Alitoa agizo hilo jijini Arusha wakati akizindua Maadhimisho ya Tatu ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yanayoendelea katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid jijini humo, yenye kaulimbiu ya “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Uchumi”.
 
Alisema huduma hizo zinatambulika kisheria na zitawawezesha wananchi kuepuka madhara mbalimbali ya kutumia huduma ambazo sio rasmi ikiwemo kupoteza fedha kwa kudhulumiwa. 
Mhe. Majaliwa pia aliiagiza Wizara hiyo kushirikiana na watoa huduma za fedha kuhakikisha wanaweka mfumo endelevu wa kutoa elimu ya fedha kwa wananchi katika maeneo ya mijini na vijijini. 
 
Alisema elimu hiyo itolewe kwa lugha rahisi inayoeleweka kwa wananchi huku akisisitiza elimu hiyo iangalie yale mambo muhimu ambayo wananchi wanaweza kuyatekeleza. 
 
“Sio tu kutumia maadhimisho haya ambayo yanadumu kwa wiki moja kutoa elimu, inabidi tuwe na mfumo endelevu wa kutoa elimu kwa wananchi, mijini na vijijini. Mtumie matangazo mbalimbali lakini sasa hivi kuna vyombo vingi vya habari na mitandao ya kijamii”, alisema Mhe. Majaliwa.
 
Pia aliitaka Wizara hiyo kuongeza juhudi za kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kudai risiti wanapofanya manunuzi ya bidhaa na huduma mbalimbali.
 
Alisema kila wananchi wanapofanya manunuzi fedha wanayolipia kuna kiasi kinaingia Serikalini hivyo kuchangia katika Pato la Taifa.
 
“Usipodai risiti maana yake fedha hizo hupeleki Serikalini kutunisha mfuko wetu unamuachia mfanyabiashara na wewe unaefanya biashara kuwa mzalendo toa risiti hata kama mtu kasahau mkumbushe kama wafanyabiashara”, alisisitiza.
 
Mhe. Majaliwa pia aliiagiza Wizara hiyo kuwasimamia watoa huduma za fedha nchini kwa kuhakikisha wanapunguza gharama za upatikanaji wa huduma hizo ikiwemo riba na ada ili kuwawezesha wananchi kupata huduma hizo rasmi.
 
Aliitaka Wizara hiyo kuimarisha mifumo ya kuwalinda watumiaji wa huduma za fedha ili baadhi ya watoa huduma wasio waadilifu wasitumie changamoto ya uelewa mdogo wa baadhi ya wananchi kuhusu masuala ya fedha na kuwadhulumu.
 
Aidha, aliiagiza Ofisi ya Rais TAMISEMI kushirikiana na Wizara ya Fedha kukamilisha kwa haraka taratibu za utoaji wa mikopo ya asilimia10 ya halmashauri iliyokuwa imesitishwa.
 
Alitoa muda hadi kufikia Januari 24, 2024 taarifa zote ziwe zimewekwa kwenye mfumo ili wananchi waweze kukopeshwa katika halmashauri zote nchini.
 
“Kwa kuwa tulisitisha mwezi wa nne, naamini kila halmashauri inafedha za kutosha kwa ajili ya kuwakopesha wananchi ikiwemo wajasiriamali“, alibainisha Mhe. Majaliwa.
 
Kwa upande wake Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alitoa rai kwa wananchi kufuata taratibu wakati wa kutoa na kupokea huduma mbalimbali za fedha ili kuwawezesha kujikwamua kiuchumi.
 
Aliziagiza Taasisi za Fedha hususani benki kuwaendeleza wateja wao hususan wafanyabiasha na wananchi kwa ujumla pale wanapoona wanashindwa kujiendeleza na kurejesha mikopo kwa wakati.
 
“Baadhi ya Taasisi zetu zikiwemo Benki pamoja na kazi nzuri wanazofanya lakini inapofika mteja wao analegalega, lile jukumu la kulea linawatoka kabisa. Yaani unakuta mtu ameshalipa robo tatu, amekwama kulipa robo tu, au ameshalipa asilimia 80 amekwama 20, wanachukua dhamana yake yenye thamani kubwa kuliko kile kilichobakia”, alibainisha Mhe. Nchemba.
 
Alisema taasisi hizo zinatakiwa kuwawezesha wateja wao kulipa mikopo ili waendelee kupata faida.
 
Akizungumzia maadhimisho hayo, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-Maamry Mwamba alisema Wizara hiyo inaratibu maadhimisho hayo kwa kushirikiana na wadau wengine wa Sekta ya Fedha wakiwemo Wizara, Idara na Wakala wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Zanzibar, Taasisi za Fedha, Asasi zisizo za Serikali na Sekta Binafsi.
 
Alisema katika maadhimisho wananchi watapata elimu ya masuala ya fedha hususani katika maeneo ya usimamizi wa fedha binafsi, uwekaji wa akiba, mikopo, uwekezaji, bima, kodi na hatifungani. 
 
Dkt. Mwamba alisema elimu hiyo inalenga kuwafikia wadau wote ikiwemo watumishi wa umma, wanafunzi, wanawake, vijana, watu wenye mahitaji maalumu, wajasiriamali, asasi za kiraia, asasi za kidini, wanahabari na wananchi wote kwa ujumla.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb), akihutubia wananchi wa Arusha, waliohudhuria ufunguzi wa Maadhimisho ya Tatu ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Uchumi”, yanayofanyika katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha. Maonesho hayo yanawakutanisha Taasisi ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka mkoa wa Arusha.
Waziri wa Fedha, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akizungumza wakati  akimkaribisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb), kufungua Maadhimisho ya Tatu ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Uchumi”, yanayofanyika katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha. Maonesho hayo yanawakutanisha Taasisi ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka mkoa wa Arusha.
Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maadhimisho ya Tatu ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Uchumi”, iliyofunguliwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb), katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Arusha).

About the author

mzalendo