Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kimataifa

TANZANIA YAIHAKIKISHIA UAE MAZINGIRA SALAMA YA BIASHARA, UWEKEZAJI

Written by mzalendo

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akizungumza wakati wa hafla ya kumbukizi ya miaka 52 ya Siku ya Taifa ya Umoja wa Falme za Kiarabu yaliyofanyika jana jioni Jijini Dar es Salaam

………………

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeuhakikishia Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) mazingira salama ya biashara na uwekezaji nchini.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.) amebainisha hayo aliposhiriki katika kumbukizi ya miaka 52 ya Siku ya Taifa ya Umoja wa Falme za Kiarabu yaliyofanyika jana jioni Jijini Dar es Salaam na kuwasihi kuendelea kufanya biashara na kuwekeza kwa wingi nchini.

Balozi Mbarouk alisema kuwa, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi Imara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya jitihada mbalimbali katika kuhakikisha kuwa mazingira ya biashara na uwekezaji yanaboreshwa ili kutoa fursa kwa wawekezaji wengi kuwekeza nchini.

“Serikali imechukua hatua mbalimbali ikiwemo kuweka sera imara, sheria na taratibu rafiki pamoja na kuweka misingi thabiti ya kustawisha mazingira ya biashara,” alisema Balozi Mbarouk

Balozi Mbarouk aliongeza kuwa Tanzania na Falme za Kiarabu zina ushirikiano mzuri wa kiuchumi katika eneo la biashara na uwekezaji ambapo UAE ni mshirika wa saba (7) wa kibiashara wa Tanzania kwa kiasi cha biashara baina ya nchi hizo kinachofikia Dola za Marekani bilioni 3.2. Kadhalika, kuhusu uwekezaji, UAE ni miongoni mwa nchi zilizowekeza kwa kiasi kikubwa nchini.

Balozi Mbarouk alipongeza juhudi za viongozi wa mataifa hayo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa UAE, Mheshimiwa Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan, kwa uongozi wao imara wenye maono na juhudi za kuimarisha na kudumisha uhusiano baina ya nchi hizi mbili

Kwa Upande wake, Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu nchini, Mhe. Khalifa Abdulrahman Al Marzouqi alisema kuwa tangu kuanzishwa kwa uhusiano baina ya UAE na Tanzania mwaka 1974, nchi hizo zimejitahidi kuendeleza na kuimarisha uhusiano huo katika nyanja mbalimbali kwa maslahi ya pande zote mbili.

“Katika jitihada ya kuonesha azma ya ushirikiano kati ya nchi zetu mbili, mikataba mbalimbali imesainiwa katika nyanja za kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiutamaduni kwa lengo la kuendeleza na kuimarisha uhusiano baina ya nchi zetu. Ambapo ushirikiano huu umesababisha ongezeko la kiasi cha kubadilishana biashara kati ya nchi hizi mbili kufikia Dola za Marekani Bilioni 2.2,” alisema Balozi Marzouqi

Aidha, Balozi Marzouqi aliishukuru Serikali ya Tanzania kwa ushirikiano ambao imekuwa ikiutoa kwa UAE ambapo umesaidia kwa kiasi kikubwa kuboresha uhusiano baina ya mataifa hayo.

Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu nchini, Mhe. Khalifa Abdulrahman Al Marzouqi akizungumza wakati wa hafla ya kumbukizi ya miaka 52 ya Siku ya Taifa ya Umoja wa Falme za Kiarabu yaliyofanyika jana jioni Jijini Dar es Salaam

Sehemu ya Mabalozi, Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa na Viongozi mbalimbali wakishiriki katika hafla ya kumbukizi ya miaka 52 ya Siku ya Taifa ya Umoja wa Falme za Kiarabu yaliyofanyika jana jioni Jijini Dar es Salaam

 

Mabalozi pamoja na viongozi mbalimbali wakimsikiliza Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu nchini, Mhe. Khalifa Abdulrahman Al Marzouqi katika hafla ya kumbukizi ya miaka 52 ya Siku ya Taifa ya Umoja wa Falme za Kiarabu yaliyofanyika jana jioni Jijini Dar es Salaam

Sehemu ya Mabalozi, Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa na Viongozi mbalimbali wakishiriki katika hafla ya kumbukizi ya miaka 52 ya Siku ya Taifa ya Umoja wa Falme za Kiarabu yaliyofanyika jana jioni Jijini Dar es Salaam

About the author

mzalendo