Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

deneme bonusu

mavibet

superbetin

superbetin

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

avrupabet, avrupabet giriş

gameofbet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

casibom

betpas

betcup

casinofast giris

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

tambet

padişahbet giriş

mavibet

kavbet

setrabet

betpas

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

coinbar

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

cratosroyalbet giriş

betlike giriş

kavbet giriş

cratosroyalbet

mavibet

mavibet

artemisbet giriş

imajbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

bets10 giriş

dinamobet giriş

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

jojobet

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

kingroyal

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

betpas

royalbet

Betpas

betface

betface

imajbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

Featured Kitaifa

WATENDAJI WA UBORESHAJI WA MAJARIOBIO WA DAFTARI LA WAPIGA KURA KUVISHIKISHA VYAMA VYA SIASA

Written by mzalendo
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi Jaji wa Rufaa Mhe. Mwanaisha Kwariko akifungua mafunzo kwa watendaji
hao yaliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya. 

Mwakilishi
wa Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambaye ni Mkurugenzi wa
Idara ya Usimamizi wa Uchaguzi Bw. Grayson Orcado akizungumza kwenye mafunzo
kwa watendaji wa uboreshaji wa majaribio wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura
katika Halmashauri ya Wilaya ya Rorya.

Baadhi
ya washiriki wa mafunzo kwa watendaji hao yaliyofanyika ukumbi wa mikutano wa
Halmashauri ya Wilaya ya Rorya, wakisaini viapo kabla ya kuanza mafunzo. 

Mjumbe wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi Jaji wa Rufaa Mhe. Mwanaisha Kwariko, akiwa kwenye picha ya pamoja na
washiriki wa mafunzo kwa watendaji hao yaliyofanyika ukumbi wa mikutano wa
Halmashauri ya Wilaya ya Rorya.
**************
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewataka Watendaji wa Uboreshaji wa Majaribio wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Mkoa wa Mara kuweka utaratibu mzuri utakaoviwezesha vyama vya siasa na wadau wengine wa uchaguzi kushiriki katika uboreshaji katika Kata ya Ikoma.
 
Akifungua mafunzo kwa
watendaji hao yaliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya
Rorya, Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Rufaa Mhe. Mwanaisha Kwariko
alisema vyama vya siasa vinaruhusiwa kuweka mawakala katika uboreshaji huo.

Aliwataka watendaji hao
kuvishirikisha vyama vya siasa katika masuala yote ambayo wanastahili
kushirikishwa kwani jambo hilo litawarahisishia utekelezaji wa majukumu yao
katika uboreshaji huo.

“Niwakumbushe kuwa, vyama vya
siasa vinaruhusiwa kuweka mawakala katika vituo vya uandikishaji. Nitumie
nafasi hii kuwasisitiza kuweka utaratibu mzuri utakaoviwezesha vyama vya siasa
na wadau wengine wa uchaguzi kushiriki kikamilifu katika zoezi hili” alisema
Jaji wa Rufaa Mhe. Mwanaisha Kwariro.

Mjumbe huyo wa Tume ya Taifa
ya Uchaguzi alitoa wito kwa watendaji hao wa uboreshaji wa majaribio
kuhakikisha kuwa wanafanya kazi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Maelekezo ya
Tume watakayopewa.
“Vilevile mhakikishe
mnasimamia utunzaji wa  vifaa vyote
vitakavyotumika katika zoezi hili kwani vimenunuliwa kwa gharama kubwa”
aliongeza Jaji wa Rufaa Mhe. Mwanaisha Kwariko.

Mafunzo hayo kwa watendaji wa
uboreshaji wa majaribio wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unajumuisha Mratibu
wa Uandikishaji wa Uchaguzi wa Mkoa wa Mara, Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la
Rorya, maafisa waandikishaji wasaidizi, maafisa ugavi, maafisa TEHAMA na
maafisa wanaoshughulikia masuala ya uchaguzi katika Jimbo la Rorya.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi
itafanya uboreshaji wa majaribio wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika
Kata ya Ikoma iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Rorya, Mkoa wa Mara na
Kata ya Ng’ambo iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora, Mkoa wa
Tabora, kuanzia tarehe 24 hadi 30 Novemba, 2023.

About the author

mzalendo