Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

kulisbet

maxwin, maxwin giriş

maxwin, maxwin giriş

deneme bonusu

casibom giriş

betwoon

paşacasino

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

pusulabet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

deneme bonusu veren siteler

jojobet

holiganbet

jojobet

betsat güncel giriş

meritking

jojobet

pusulabet

atlasbet giriş

lunabet

artemisbet giriş

setrabet

betpas

jojobet

timebet

jojobet

kavbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

holiganbet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

holiganbet giriş

holiganbet

mavibet giriş

artemisbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

maxwin

maxwin

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

betkolik

jojobet

casibom

jojobet

kalebet

casibom

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

luxbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

perabet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

avrupabet

jojobet

betpark

meritking giriş

vdcasino

jojobet

kingroyal

Burudani Featured

MWANAMITINDO JASINTA KUIWAKILISHA TANZANIA MASHINDANO FUTURE FACE 2023

Written by mzalendo

Na Mwandishi Wetu

MWANAMITINDO Jasinta David Makwabe(25) mwenye urefu wa 5’11 Ft ambaye amechaguliwa kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano makubwa ya Future Face 2023 yanayotarajia kufanyika Novemba 25 mwaka huu nchini Nigeria.

Jasinta amechaguliwa baada ya kuibuka mshindi kwa kuwashinda washiriki wengine waliokuwa wakiwania nafasi hiyo ambapo wakati shindano hilo linaanza kulikuwa na washiriki zaidi ya 200 na baada ya kufanyika usahili na kubakia wanamitindo wanne na sasa amepata nafasi hiyo kuiwakilisha nchi kutokana na kukidhi vigezo vinavyotakiwa.

Mashindano ya Future Face kwa nchini Tanzania yamefanyika jijini Dar es Salaam kwa uratibiwa na Mwanamitindo wa kimataifa Millen Happiness Magese aliyeshirikiana na waandaji wa Future Face 2023 duniani.

Majaji ambao ni wabobezi katika masuala ya mitindo na ubunifu wameshiriki katika kuchuja washiriki ili kupata mshindi mmoja mwenye sifa na vigezo vinavyokubalika.

Akizungumza kuhusu mshindi huyo anayewakilisha Tanzania katika mashindano ya Future Face 2023 yaliyofanyika jijini Dar es Salaam , Mwanamitindo wa Kimataifa Millen Happiness Magese amesema Jasinta amechaguliwa baada ya majaji kuangalia sifa na vigezo vya shindano hilo.

Aidha amesema mshindi huyo anatarajia kuondoka nchini usiku wa Novemba 16 kuelekea Nigeria yanakofanyika mashindano hayo ambayo yamekuwa yakifuatiliwa na wanamitindo na watu mashuhuri duniani kote.

“Nawashukuru majaji wote kwa ushiriki na kujitoa kwao kufanikisha jambo hili muhimu ambalo limeandika historia kubwa katika nchi yetu kwani ndio mara ya kwanza Shindano la Future Face kufanyika nchini Tanzania.

” Pia nawashukuru sana vijana wote kwa kujitokeza kwa wingi na hatime tumempata mmoja miongoni mwao kwa ajili ya kwenda kutuwakilisha, amesema Millen wakati akielezea mashindano hayo makubwa duniani ambayo fufanyika kila mwaka.

Pia amevishukuru vyombo vyaa habari nchini ambavyo tangu kuanza kwa usahili ngazi ya wali vimeshiriki kikamilifu na kuripoti kila hatua na hatimaye kupatikana mshindi , hivyo ameedelea kuviomba kuendelea kushirikiana naye katika masuala yanayohusu mitindo na wanamitindo.

Kuhusu shindano hilo, Magese amesema Future Face ni shindano la kipekee lililoandaliwa na Wakala mkubwa zaidi wa wanamitindo barani Afrika Beth Model Management na limekuwa linajivunia utofauti wake wa ukubwa wa kutojali umri, rangi na kabila na kubwa zaidi limejikita katika sera ya fursa sawa.

Kwa upande wake Mwanamitndo Jasinta amesema anamshukuru Mungu kwa kupata nafasi ya kwenda kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Future Face Global yatakayofanyika nchini Nigeria kuanzia Novemba 16 mwaka huu mpaka Novemba 25 ambayo itakuwa fainali.

“Haya mashindano yanahusisha nchi zaidi ya 20 za Afrika , kwa hiyo mimi nimetokea kuwa mwakilishi wa Tanzania , hivyo Watanzania wenzangu naomba maombi yenu , ” amesema na kufafanua mshindi atakayepatikana katika mashindano hayo anaweza kuunganishwa kupata kazi katika kampuni kubwa za kimataifa ambazo ziko Paris nchini Ufaransa, New York nchini Marekan na Millan nchini Italia.

Aidha amesema kwake kama binti mwanamitindo ni fursa na bahati kubwa hivyo ameendelea kuwaomba Watanzania wote kuendelea kumuombea ili aweze kushinda ili aiwakilishe nchi yake vema sambamba na kutimiza ndoto zake kama binti wake wa kitanzania.

About the author

mzalendo