marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

izmit escort

izmit escort

izmit escort

pusulabet

matbet

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

ultrabet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

1win

marsbahis

ngsbahis

betlike

parmabet

mislibet

mislibet

jojobet giriş

nitrobahis

jojobet

jojobet

kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

betcio

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

enjoybet giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

vdcasino

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Featured Kitaifa

WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA INALENGA KUWAFIKIA WADAU MBALIMBALI.

Written by mzalendo

Kamishna wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Charles Mwamwaja akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 15,2023 jijini Dodoma kuelekea  Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa,yanayotarajia kuanza Novemba 20 hadi 26,mwaka huu jijini Arusha.

Kamishna wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Charles Mwamwaj,akiwaonyesha  waandishi wa habari Nyenzo ya kufundishia Elimu ya Fedha leo Novemba 15,2023 jijini Dodoma kuelekea  Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa,yanayotarajia kuanza Novemba 20 hadi 26,mwaka huu jijini Arusha.

Kamishna Msaidizi Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha Bi.Dionisia Mjema, akizungumza na waandishi wa habari  kuelekea  Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa,yanayotarajia kuanza Novemba 20 hadi 26,mwaka huu jijini Arusha.

Kamishna wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Charles Mwamwaja akiwa katika picha ya pamoja na  waandishi wa habari leo Novemba 15,2023 jijini Dodoma kuelekea  Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa,yanayotarajia kuanza Novemba 20 hadi 26,mwaka huu jijini Arusha.

Na.Alex Sonna-DODOMA

Serikali kupitia wizara ya Fedha  imekusudia kutekeleza kwa nguvu mpango mkuu wa maendeleo ya sekta ya Fedha wa mwaka 2020/2021/2029/2030 ambapo ifikapo mwaka 2025 takribani Asilimia 80 ya wananchi watakuwa wamepata uelewa wa Masuala ya fedha.
Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dodoma na Kamishna wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Charles Mwamwaja wakati akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu Madhimisho ya wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa ambayo yanatarajiwa kufanyika Jijini Arusha Tarehe 20 na 26 Novemba 2023 katika viwanja vya Shekhe Amri Abeid.
Kamishna Mwamwaja amesema lengo la wiki ya huduma za Fedha ni kujenga uelewa na weledi kwa Umma katika matumizi ya sahihi ya huduma za Fedha zinazotolewa ili kujenga Uchumi na kuondoa umaskini na kutarajiwa kuwa na matokeo chanya Kwa mtu binafsi,kaya, jamii na Taifa kwa  ujumla ili kuongezeka Kwa idadi ya watu wenye kiwango cha ufahamu wa Elimu ya Fedha na maarifa Juu ya upatikanaji na utumiaji wa bidhaa na huduma Rasmi za kifedha.
Ameeleza kuwa utekelezaji wa wiki ya huduma za fedha unatarajiwa kuwa na matokeo chanya kwa mtu binafsi,kaya,jamii na taifa kwa ujumla kwa kuongezeka kwa idadi ya watu wenye kiwango cha ufahamu wa elimu ya fedha na maarifa juu ya upatikanaji na utumiaji wa bidhaa na huduma rasmi za kifedha,kuimarika kwa uelewa na matumizi ya masoko ya fedha.
“Kupitia wiki ya huduma tutaweza kusogeza huduma za fedha karibu zaidi na wananchi,kuimarisha matumizi ya huduma hizo pamoja na kupata maoni na ushauri wa kuboresha huduma hizo,kuwawezesha watumiaji wa huduma za fedha kuelewa haki na wajibu wao,kuwawezesha wananchi kupata maarifa kuhusu namna bora ya kusimamia vizuri rasiliamali fedha pamoja na kuwaunganisha wajasiriamali,”ameeleza
Kwa upande wake Kamishna Msaidizi idara ya Uendelezaji wa Sekta ya fedha Dionisia Mjema ameeleza kuwa fursa mbalimbali zinazotolewa na sekta hiyo ni pamoja na kukuza na kuimarisha biashara kwa wananchi na kupata maarifa na uelewa wa masuala ya fedha na hivyo kuwezesha kujenga utamaduni wa kutumia huduma rasmi za kifedha na kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi.
“Kutokana na utafiti wa Finscope wa mwaka 2023 inaonesha nchini Tanzania ni asilimia 53.8 tu ya nguvu kazi wanatumia huduma rasmi za fedha na hivyo kubaki na kundi kubwa la watanzania ambao hawafaidiki na huduma hizo na kukosa fursa za kuboresha maisha yao kupitia shughuli mbalimbali za uchumi ambazo zingewezesha kuchangia katika kukuza pato la taifa, “amesema
Madhimisho ya wiki ya huduma za Fedha Kitaifa yamepangwa kufanyika katika viwanja vya sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuanzia tarehe 20 mpaka 26 Novemba 2023 yakiongozwa na kauli mbiu isemayo “ELIMU YA FEDHA, MSINGI WA MAENDELEO YA KIUCHUMI”.

About the author

mzalendo