slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bos

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

casibom giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

marsbahis

pusulabet giriş

jojobet giriş

grandpashabet

film izle

1xbet giriş

1xbet

gameofbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

noktabet, noktabet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

casibom

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

celtabet

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

taksimbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

safirbet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

artemisbet giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

meritking

jojobet

trust score weak 3

jojobet

bets10 giriş

slot siteleri

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

meritbet giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betingo, betingo giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

timebet

matbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

radissonbet

sekabet

grandpashabet

matbet

jetbahis

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

queenbet

jojobet

jojobet mobil giriş

Jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

HALI YA UPATIKANAJI WA CHAKULA NCHINI YASAIDIA KUPUNGUZA UMASIKINI

Written by mzalendo

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akifungua Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 15 ya Mradi wa Utafiti wa Kupima Hali ya Maisha zinazojumuisha Tafiti za Kilimo Katika nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, uliofanyika katika Hoteli ya Delta jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa siku mbili umehudhuriwa na watalamu wa uchumi, sera na watafiti kutoka nchi mbalimbali za Kusini mwa Jangwa la Sahara ambapo matokeo ya baadhi ya tafiti zilizofanyika chini ya mradi huo zinawasilishwa.  

Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa, akizungumza wakati akimkaribisha Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), kufungua Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 15 ya Mradi wa Utafiti wa Kupima Hali ya Maisha zinazojumuisha Tafiti za Kilimo Katika nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, uliofanyika katika Hoteli ya Delta jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa siku mbili umehudhuriwa na watalamu wa uchumi, sera na watafiti kutoka nchi mbalimbali za Kusini mwa Jangwa la Sahara ambapo matokeo ya baadhi ya tafiti zilizofanyika chini ya mradi huo zinawasilishwa.  

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) (wapili kulia), akifuatilia mada iliokuwa ikitolewa na Meneja Miradi kutoka Benki ya Dunia, Bw. Gero Carletto (hayupo pichani), wakati wa Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 15 ya Mradi wa Utafiti wa Kupima Hali ya Maisha zinazojumuisha Tafiti za Kilimo Katika nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, unaofanyika katika Hoteli ya Delta jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa siku mbili umehudhuriwa na watalamu wa uchumi, sera na watafiti kutoka nchi mbalimbali za Kusini mwa Jangwa la Sahara ambapo matokeo ya baadhi ya tafiti zilizofanyika chini ya mradi huo zinawasilishwa.  

Baadhi ya wataalamu wa uchumi, sera na utafiti, wakifuatilia hotuba ya Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), wakati akifungua Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 15 ya Mradi wa Utafiti wa Kupima Hali ya Maisha zinazojumuisha Tafiti za Kilimo Katika nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, unaofanyika katika Hoteli ya Delta jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa siku mbili umehudhuriwa na watalamu wa uchumi, sera na watafiti kutoka nchi mbalimbali za Kusini mwa Jangwa la Sahara ambapo matokeo ya baadhi ya tafiti zilizofanyika chini ya mradi huo zinawasilishwa.  

Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi, Mhe. Anna Makinda, akizungumza jambo wakati wa Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 15 ya Mradi wa Utafiti wa Kupima Hali ya Maisha zinazojumuisha Tafiti za Kilimo Katika nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, unaofanyika katika Hoteli ya Delta jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa siku mbili umehudhuriwa na watalamu wa uchumi, sera na watafiti kutoka nchi mbalimbali za Kusini mwa Jangwa la Sahara ambapo matokeo ya baadhi ya tafiti zilizofanyika chini ya mradi huo zinawasilishwa.  

Meneja Miradi kutoka Benki ya Dunia, Bw. Gero Carletto, akizungumza wakati wa Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 15 ya Mradi wa Utafiti wa Kupima Hali ya Maisha zinazojumuisha Tafiti za Kilimo Katika nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, ambao umefunguliwa na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), katika Hoteli ya Delta jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa siku mbili umehudhuriwa na watalamu wa uchumi, sera na watafiti kutoka nchi mbalimbali za Kusini mwa Jangwa la Sahara ambapo matokeo ya baadhi ya tafiti zilizofanyika chini ya mradi huo zinawasilishwa.  

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) (wa sita kushoto), Meneja Miradi kutoka Benki ya Dunia, Bw. Gero Carletto (wa tano kulia), Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa (wa tano kushoto), Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi, Mhe. Anna Makinda (wa sita kulia) na Mtakwimu Mkuu wa Serikali – Zanzibar, Bw. Salum Kassim Ali, wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi kutoka Benki ya Dunia na Serikali, baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 15 ya Mradi wa Utafiti wa Kupima Hali ya Maisha zinazojumuisha Tafiti za Kilimo Katika nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, ambao umefunguliwa na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), katika Hoteli ya Delta jijini Dar es salaam.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dar es Salaam)

……….

Na. Josephine Majura na Joseph Mahumi, WF, Dar es Salaam.

Tanzania imekuwa kwenye kiwango kizuri cha upatikanaji wa chakula kutokana na kuwepo kwa takwimu sahihi za hali ya Maisha katika kaya, hali iliyopolekea kiwango cha umasikini wa chakula kushuka nchini.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), wakati akifungua Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 15 ya Mradi wa Utafiti wa Kupima Hali ya Maisha zinazojumuisha Tafiti za Kilimo Katika nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara (Living Standards Measurement Study-Intergrated Survey on Agriculture (LSMS-ISA), katika Hoteli ya Delta, jijini Dar es Salaam.

Amesema Programu hiyo ya utafiti iliyoanza 2008 ambayo ilifadhiliwa na Benki ya Dunia imeweka alama sio tu katika uzalishaji wa takwimu muhimu za hali ya maisha katika kaya bali pia takwimu zilizozalishwa zimekuwa nyenzo muhimu za kutathmini sera na programu zinazotekelezwa na Serikali, taasisi binafsi na wadau wa maendeleo.

“Kiwango cha umasikini kwa sasa kimepungua hasa umasikini wa upatikanaji wa chakula, chakula kipo kwa wingi cha kutosha ambapo sisi watanzania leo tunalisha mpaka nchi jirani” amesema Chande.

Kwa upande wake Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt Albina Chuwa, amesema miaka 15 ya mradi huo umeleta mafanikio makubwa nchini na barani Afrika kwa ujumla.

“Wakati utafiti unaanza 2008 katika Bara la Afrika nchi nyingi zilikua zinafanya utafiti kwa kutumia karatasi lakini sasa teknolojia imekuwa na sasa utafiti unafanywa kwa kutumia vishkwambi” amesema Dkt. Chuwa.

Naye, Meneja Miradi kutoka Benki ya Dunia, Bw. Gero Carletto, ameipongeza Tanzania kwa kuendelea kutoa ushirikiano katika programu hiyo na juhudi zinazochukuliwa na Serikali katika kupunguza umasikini wa chakula.

“Kumekuwa na maendeleo makubwa sio tu katika kupunguza umaskini bali pia katika viashiria vingine vingi. Jopo la kitaifa la utafiti, limekuwa makini katika kuelewa vyema mienendo ya umaskini”. Bw. Carletto.

Naye, Kamisaa wa Sensa, Mhe. Anna Makinda, amewataka watafiti kurudisha tafiti hizo kwa wananchi kwa maana wao ndio wahusika wakuu.

Amesema utafiti huu umefanikiwa kwa sababu umeweza kumfikia mtu mmoja mmoja na kuelezea ukweli kuhusu maisha yake jambo ambalo si rahisi.

“Hawa wataalam wa takwimu tunasema sasa wakati umefika utafiti wao uenze kuwatumikia hawa wananchi lakini pia utasaidia utendaji wa serikali katika kuwahudumia wananchi wake” amesema Makinda.

Mkutano huo wa siku mbili umehudhuriwa na watalamu wa uchumi, sera na watafiti kutoka nchi mbalimbali za Kusini mwa Jangwa la Sahara ambapo matokeo ya baadhi ya tafiti zilizofanyika chini ya mradi huo zinawasilishwa.  

About the author

mzalendo