Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

timebet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

avrupabet, avrupabet giriş

gameofbet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

betpas

betcup

casinofast giris

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritbet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

marsbahis

ultrabet

mavibet

kavbet

setrabet

betpas

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

cratosroyalbet giriş

betlike giriş

kavbet giriş

cratosroyalbet

mavibet

mavibet

artemisbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betface

betface

Featured Kitaifa

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA MAWAZIRI WA AFRICA – FEDHA NA JINSIA

Written by mzalendo
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akizungumza na wanahabari kuhusu Mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka nchi 22 wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF Afritac East), utakaofanyika jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana, kuanzia tarehe 15 hadi 17, Novemba, 2023. Mkutano huo unaolenga kujadili kuhusu ufadhili wa usawa wa kijinsia unatarajiwa kuhudhuriwa na Nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania, Burundi, Burkina Faso, Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo, Eritrea, Ethiopia, Guinea, Ivory coast, Nigeria, Senegal, Kenya, Liberia, Madagascar, Malawi, Msumbiji, Somalia, Afrika Kusini, Rwanda, Sudan ya Kusini, Zambia, Zimbabwe na Uganda.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Doroth Gwajima (Mb), akizungumza na wanahabari kuhusu Mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka nchi 22 wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF Afritac East), utakaofanyika jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana, kuanzia tarehe 15 hadi 17, Novemba, 2023. Mkutano huo unaolenga kujadili kuhusu ufadhili wa usawa wa kijinsia unatarajiwa kuhudhuriwa na Nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania, Burundi, Burkina Faso, Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo, Eritrea, Ethiopia, Guinea, Ivory coast, Nigeria, Senegal, Kenya, Liberia, Madagascar, Malawi, Msumbiji, Somalia, Afrika Kusini, Rwanda, Sudan ya Kusini, Zambia, Zimbabwe na Uganda.
Mkurugenzi wa IMF – Afritac East, Bi. Xiangming LI, akizungumza wakati wa Mkutano na wanahabari kuhusu Mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka nchi 22 wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF Afritac East), utakaofanyika jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana, kuanzia tarehe 15 hadi 17, Novemba, 2023. Mkutano huo na wanahabari umehudhuriwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Doroth Gwajima (Mb), Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Wanawake (UN Women), Bi. Hodan Addou na Maafisa mbalimbali wa Serikali.
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Wanawake (UN Women), Bi. Hodan Addou, akizungumza wakati wa Mkutano na wanahabari kuhusu Mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka nchi 22 wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF Afritac East), utakaofanyika jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana, kuanzia tarehe 15 hadi 17, Novemba, 2023. Mkutano huo na wanahabari umehudhuriwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Doroth Gwajima (Mb), Mkurugenzi wa IMF – Afritac East, Bi. Xiangming LI na Maafisa mbalimbali wa Serikali.
Wanahabari, Maafisa mbalimbali wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Wanawake (UN Women), Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF Afritac East) na Serikali, wakimsikiliza Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), wakati wa mkutano na wanahabari kuhusu Mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka nchi 22 wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF Afritac East), utakaofanyika jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana, kuanzia tarehe 15 hadi 17, Novemba, 2023. Mkutano huo unaolenga kujadili kuhusu ufadhili wa usawa wa kijinsia unatarajiwa kuzishirikisha Nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania, Burundi, Burkina Faso, Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo, Eritrea, Ethiopia, Guinea, Ivory coast, Nigeria, Senegal, Kenya, Liberia, Madagascar, Malawi, Msumbiji, Somalia, Afrika Kusini, Rwanda, Sudan ya Kusini, Zambia, Zimbabwe na Uganda.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (wapili kulia), Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Doroth Gwajima (Mb) (wapili kushoto), Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Wanawake (UN Women), Bi. Hodan Addou (kushoto) na Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF Afritac East), Bi. Xiangming LI (kulia), wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mkutano na wanahabari kuhusu Mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka nchi 22 wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF Afritac East), utakaofanyika jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana, kuanzia tarehe 15 hadi 17, Novemba, 2023. Mkutano huo unaolenga kujadili kuhusu ufadhili wa usawa wa kijinsia unatarajiwa ushiriki kutoka Nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania, Burundi, Burkina Faso, Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo, Eritrea, Ethiopia, Guinea, Ivory coast, Nigeria, Senegal, Kenya, Liberia, Madagascar, Malawi, Msumbiji, Somalia, Afrika Kusini, Rwanda, Sudan ya Kusini, Zambia, Zimbabwe na Uganda.
 
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini – Wizara ya Fedha, Dar es Salaam)
Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam
 
Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka nchi 22 wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF-Afritac East), utakaofanyika jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 15 hadi 17, Novemba, 2023.
 
Wakizungumza na wanahabari Jijini Dar es Salaam, Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Doroth Gwajima, wameeleza kuwa Mkutano huo unalenga kujadili kuhusu namna yakuwawezesha wanawake na wasichana kiuchumi na kijamii kupitia ufadhili wa usawa wa kijinsia.
 
Nchi zinazotarajiwa kushiriki Mkutano huo ni Tanzania, Burundi, Burkina Faso, Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo, Eritrea, Ethiopia, Guinea, Ivory coast, Nigeria, Senegal, Kenya, Liberia, Madagascar, Malawi, Msumbiji, Somalia, Afrika Kusini, Rwanda, Sudan ya Kusini, Zambia, Zimbabwe na Uganda.
 
Walisema kuwa Mawaziri hao watajadili namna bora ya kushughulikia athari za mapungufu ya kijinsia katika uchumi-jumla na kuchochea ufadhili wa masuala ya usawa wa kijinsia na uwezeshaji wanawake ili kufikia malengo ya maendeleo endelevu (SDGs).
 
“Mkutano wa Mawaziri utaangazia hatua iliyofikiwa kwenye utekelezaji wa ahadi zilizowekwa na Jukwaa la Usawa wa Kijinsia, athari za uchumi jumla katika usawa wa kijinsia na jukumu la upangaji bajeti unaozingatia jinsia” Alisema Dkt. Nchemba.
Walisema kuwa matokeo yanayotegemewa kwenye mkutano huo wa ngazi ya juu wa Mawaziri ni uwepo wa vipaumbele vya kuharakisha usawa wa kijinsia na uwezeshaji wanawake na ahadi ya kugharamia utekelezaji kutoka kwa washiriki wa Mkutano huo.
 
Naye, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Doroth Gwajima, amesema kuwa ujio wa Mkutano huo unaakisi maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambayo inataka mipango ya nchi iendane na mizania ya usawa wa kijinsia.
 
Kwa upande wao, Mkurugenzi wa IMF Afritac East, Bi. Xiangming LI na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja la Wanawake (UN-Women), Bi. Hodan Addou, wameeleza kuwa mchango wa wanawake katika uchumi na maendeleo ya kijamii barani Afrika umekuwa mdogo ikilinganishwa na wanaume.
 
Walisema kuwa asilimia 47 tu ya wanawake wanashiriki katika sekta zinazojenga uchumi mpana kupitia soko la ajira ikilinganishwa na asilimia 72 ya wanaume na kwamba kuna kila sababu ya kuboresha hali hiyo.
 
Mkurugenzi wa IMF Afritac, Bi. LI aliema kuwa matarajio ya Jukwaa hilo ni kuona pengo hilo likipunguzwa hata kwa asilimia 6 tu, mchango wa wanawake katika uchumi wa nchi za Afrika utafikia asilimia 8 ya pato la Taifa la nchi wanachama.
 
Bi. LI, alizishukuru nchi zinazochangia mpango huo ambazo ni China, Umoja wa Ulaya, Ujerumani, The Netherlands, Norway, Switzerland na Uingereza, ambazo mchango wao pia umewezesha mkutano huo kufanyika nchini Tanzania.
 
Kwa upande wake Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalojihusisha na masuala ya Usawa wa Kijinsia (UN-Women), Bi. Hodan Addou, aliipongeza Tanzania kwa kuwa kinara katika masuala ya kusaidia maendeleo ya jamii hususani wanawake na Watoto kupata haki zao za kiuchumi na kuwezesha mkutano huo kufanyika nchini Tanzania.
 
Alisema kuwa Shirika lake, kwa kushirikiana na nchi wanachama, litaongeza ufadhili katika masuala ya usawa wa kijinsia ili kuwawezesha wanawake na wasichana kutoka nchi wanachama kwa kuwaunganisha na wafadhili ili kuharakisha maendeleo ya kundi hilo.

About the author

mzalendo