Featured Kitaifa

DKT. BITEKO AWASILI MTWARA KWA ZIARA YA KIKAZI

Written by mzalendo

Leo Novemba 13, 2023 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewasili mkoani Mtwara kwa ziara ya kikazi.

Mara baada ya kuwasili, Dkt. Biteko amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali. Ahmed Abbas Ahmed pamoja na viongozi wengine wa mkoa huo.

Zifuatazo ni baadhi ya picha za Mhe. Dkt. Biteko wakati akiwasili katika uwanja wa ndege wa Mkoa wa Mtwara.

About the author

mzalendo