Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA  NA BALOZI WA SAUDI ARABIA NCHINI TANZANIA ,IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.

Written by mzalendo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Mfalme wa Saudi Arabia  Salman bin Abdulazizi Al Saud uliowasilishwa na Balozi wa Saudi Arabia hapa nchini Yahya Ahmed Okesh mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe. Yahya Ahmed Okesh baada ya kuwasilisha  Ujumbe Maalum kutoka kwa Mfalme wa Saudi Arabia  Salman bin Abdulazizi Al Saud         Ikulu Jijini Dar es Salaam.

About the author

mzalendo