slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bos

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

casibom giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

marsbahis

pusulabet giriş

1win

grandpashabet

film izle

1xbet giriş

1xbet

gameofbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

noktabet, noktabet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

casibom

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

holiganbet giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

taksimbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

bets10 giriş

tempobet

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

meritbet giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betingo, betingo giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

timebet

matbet

tempobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler 2026

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

jojobet

teosbet

holiganbet

amgbahis

romabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

MKURUGENZI MKUU REA AWATAKA WAKANDARASI KUTEKELEZA MIRADI BILA KUICHAFUA SERIKALI

Written by mzalendo

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy akizungumza na Wakandarasi wakati wa tukio la utiaji saini mikataba ya kupeleka umeme vijijini kupitia Mradi wa Ujazilizi Fungu la Pili C na nyongeza ya Ujazilizi Fungu la Pili B, Ofisi Ndogo za REA jijini Dar es Salaam, Novemba 2, 2023.

Na Veronica Simba – REA

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy amewataka Wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini, kuhakikisha wanafanya kazi zao kwa weledi na uadilifu ili kuondoa malalamiko na manung’uniko kutoka kwa wananchi ambayo yanaweza kuichafua Serikali.

Ameyasema hayo leo Novemba 2, 2023 wakati wa tukio la kusaini mikataba ya upelekaji umeme vijijini kupitia Mradi wa Ujazilizi Fungu la Pili C na B, lililofanyika katika Ofisi Ndogo za REA zilizoko jijini Dar es Salaam.

“Mwananchi anapokulalamikia wewe Mkandarasi, ujue anailalamikia Serikali, hivyo simamieni maadili na utendaji kazi sahihi wa wafanyakazi wenu vijijini,” amesisitiza.

Akitoa mfano, amesema yapo malalamiko kutoka kwa baadhi ya wananchi kuwa baadhi ya wafanyakazi wa Wakandarasi wamekuwa wakikata miti katika maeneo yao pasipo kuwapa taarifa, jambo ambalo amelikemea vikali akisema kamwe halikubaliki.

“Japokuwa miradi ya umeme vijijini haina fidia, lakini hiyo haiondoi haki ya mwananchi kwamba eneo ni la kwake. Hivyo, tunatarajia kutakuwa na mawasiliano na mahusiano mazuri kati yenu ninyi wakandarasi na wenye maeneo yao. Kabla hujakata mti, mfahamishe aelewe.”

Akieleza zaidi, Mhandisi Saidy ameainisha mambo mengine kadhaa ambayo yanapaswa kuzingatiwa na kila Mkandarasi ikiwa ni pamoja na kutimiza lengo maalumu la Serikali la kuboresha maisha ya wananchi kwa kuwafikishia huduma ya umeme.

Akifafanua kuhusu suala hilo, Mkurugenzi Mkuu amesisitiza kuwa Wakandarasi wote wanaoenda kufanya kazi vijijini wanapaswa kuzingatia kuwa wanafanya kazi hiyo wakiwa ni waajiriwa wa Serikali sawa na mikataba waliyosaini.

Aidha, amewataka kufanya kazi kwa ukaribu na viongozi wa Serikali wa ngazi mbalimbali pamoja na Wabunge ambao ni wawakilishi wa wananchi katika maeneo husika. Katika hili, amewataka kuhakikisha wanawajibika kwa viongozi hao kwa kuwapatia taarifa za maendeleo ya utekelezaji wa miradi hiyo.

Vilevile amewaelekeza Wakandarasi hao kusimamia suala la weledi na uaminifu kwa wafanyakazi wao ili kuepusha vitendo vya rushwa pamoja na matumizi ya maneno yasiyo na staha kwa wananchi.

Amesema, REA inafuatilia kwa ukaribu na kuhifadhi taarifa zote za utendaji kazi wa Wakandarasi hivyo ikitokea yeyote kati yao akakataliwa kufanya kazi katika miradi itakayofuata ilhali utendaji kazi wake ulikuwa mzuri, ajue ziko sababu nyingine zilizomwondolea sifa ikiwemo hiyo ya uzingatiaji maadili.

Akifafanua zaidi kuhusu vitendo vya rushwa, Mhandisi Saidy amewataka Wakandarasi kuweka katazo kwa wafanyakazi wao kujihusisha na kazi za kutandaza mfumo wa nyaya za umeme (wiring) hata kama wana leseni bali wafanye kazi iliyowapeleka ambayo ni kujenga miundombinu ya umeme vijijini.

Katika hatua nyingine, amesema hakutakuwa na nyongeza ya muda katika utekelezaji wa miradi ambayo mikataba yake imesainiwa. Hivyo, kabla ya kusaini, alimtaka kila mmoja kujitafakari na kujiridhisha kama anao uwezo wa kutekeleza kazi hiyo ndani ya muda ulioainishwa katika mkataba.

Kwa upande wake, Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa nchini Tanzania (AFD), Celine Robert, ambao ni mojawapo ya Wafadhili katika miradi hiyo, alisema Ufaransa inafurahishwa kuwa sehemu ya uchangiaji wa miradi inayosaidia kuboresha maisha ya kila siku ya wananchi na akaongeza kuwa watafarijika kuona wakandarasi wakitekeleza miradi hiyo kwa ufanisi.

Naye Mkurugenzi wa Umeme Vijijini kutoka REA, Mhandisi Jones Olotu amewasisitiza wakandarasi hao kufanya kazi kwa mujibu wa mikataba waliyosaini huku Mkurugenzi wa Teknolojia za Nishati Mbadala na Jadidifu, Mhandisi Advera Mwijage akiwataka kuhakikisha wanawalipa vibarua wao kwa wakati pamoja na kuzingatia masuala ya utunzaji wa mazingira.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwa niaba ya wakandarasi wenzao, Baltazary Masindi kutoka Kampuni ya Sengerema Engineering Group Ltd na Aymen Louhaichi kutoka STEG International Services wameshukuru kwa nafasi waliyopata na kuahidi kutekeleza miradi hiyo kwa weledi, uaminifu, viwango na ndani ya wakati ulioainishwa katika Mkataba.

Mradi wa Ujazilizi Fungu la Pili C umefadhiliwa na Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya Dunia pamoja na Serikali ya Norway kwa gharama ya shilingi bilioni 263.3 ambapo utatekelezwa katika mikoa ya Iringa, Mara, Manyara, Mtwara, Rukwa, Ruvuma na Simiyu.

Mradi huu utahusisha kupeleka umeme katika vitongoji 1,880, kujenga njia za umeme kilomita 5,640, kufunga transfoma 1,880 pamoja na kuunganisha wateja wa awali 94,000.

Kwa upande wa Mradi wa Ujazilizi Fungu la Pili B, Mikataba miwili iliyosainiwa ni nyongeza ya mikataba iliyosainiwa mwezi Februari mwaka huu, Ikulu jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Miradi hii itatekelezwa katika Mikoa ya Kigoma na Geita kwa ufadhili wa Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Ufaransa kupitia Shirika lake la Maendeleo (AFD) kwa gharama ya shilingi bilioni 37.9

Mkurugenzi Mkuu wa REA, kwa niaba ya Serikali amewashukuru Wafadhili wanaoendelea kuchangia katika utekelezaji wa miradi ya nishati vijijini wakiwemo Benki ya Dunia pamoja na Serikali za Ufaransa na Norway.


Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy akizungumza na Wakandarasi wakati wa tukio la utiaji saini mikataba ya kupeleka umeme vijijini kupitia Mradi wa Ujazilizi Fungu la Pili C na nyongeza ya Ujazilizi Fungu la Pili B, Ofisi Ndogo za REA jijini Dar es Salaam, Novemba 2, 2023.

Wawakilishi kutoka Kampuni ya Ukandarasi ya Derm Group (T) LTD (kushoto) wakitia saini mikataba ya kupeleka umeme vijijini wakati wa tukio la utiaji saini mikataba hiyo kupitia Mradi wa Ujazilizi Fungu la Pili C na nyongeza ya Ujazilizi Fungu la Pili B, lililofanyika katika Ofisi Ndogo za Wakala wa Nishati Vijijini (REA), jijini Dar es Salaam, Novemba 2, 2023. Wa pili kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Hassan Saidy na wa kwanza kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria kutoka REA, Mussa Muze.

Viongozi kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Mhandisi Hassan Saidy (wa tatu kutoka kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wawakilishi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) wakiongozwa na Mkurugenzi Mkazi, Celine Robert (wa tatu kutoka kulia) baada ya tukio la utiaji saini mikataba ya upelekaji umeme vijijini kupitia Mradi wa Ujazilizi Fungu la Pili C na Ujazilizi Fungu la Pili B, lililofanyika Novemba 2, 2023, Ofisi Ndogo za REA jijini Dar es Salaam. AFD ni mmoja wa Wafadhili wa miradi hiyo.

Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa nchini Tanzania (AFD), Celine Robert akizungumza wakati wa tukio la utiaji saini mikataba ya kupeleka umeme vijijini kupitia Mradi wa Ujazilizi Fungu la Pili C na nyongeza ya Ujazilizi Fungu la Pili B, Ofisi Ndogo za REA jijini Dar es Salaam, Novemba 2, 2023. AFD ni mmoja wa Wafadhili wa miradi hiyo.

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy (kulia) akitia saini mikataba sambamba na Wawakilishi wa Kampuni ya Ukandarasi ya Sengerema Engineering Group Ltd, wakati wa tukio la utiaji saini mikataba ya kupeleka umeme vijijini kupitia Mradi wa Ujazilizi Fungu la Pili C na nyongeza ya Ujazilizi Fungu la Pili B, Ofisi Ndogo za REA jijini Dar es Salaam, Novemba 2, 2023.

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Hassan Saidy (kulia) akipeana mkono wa pongezi na Viongozi wawakilishi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) Celine Robert na Philippe Michaud baada ya tukio la utiaji saini mikataba ya kupeleka umeme vijijini kupitia Mradi wa Ujazilizi Fungu la Pili C na nyongeza ya Ujazilizi Fungu la Pili B, Ofisi Ndogo za REA jijini Dar es Salaam, Novemba 2, 2023. AFD ni mmoja wa Wafadhili wa miradi hiyo.

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy (Meza Kuu) akizungumza na Wakandarasi wakati wa tukio la utiaji saini mikataba ya kupeleka umeme vijijini kupitia Mradi wa Ujazilizi Fungu la Pili C na nyongeza ya Ujazilizi Fungu la Pili B, Ofisi Ndogo za REA jijini Dar es Salaam, Novemba 2, 2023.

Mkurugenzi wa Umeme Vijijini kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Jones Olotu akizungumza wakati wa tukio la utiaji saini mikataba ya kupeleka umeme vijijini kupitia Mradi wa Ujazilizi Fungu la Pili C na nyongeza ya Ujazilizi Fungu la Pili B, Ofisi Ndogo za REA jijini Dar es Salaam, Novemba 2, 2023.

Mkurugenzi wa Teknolojia za Nishati Mbadala na Jadidifu kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Advera Mwijage akizungumza wakati wa tukio la utiaji saini mikataba ya kupeleka umeme vijijini kupitia Mradi wa Ujazilizi Fungu la Pili C na nyongeza ya Ujazilizi Fungu la Pili B, Ofisi Ndogo za REA jijini Dar es Salaam, Novemba 2, 2023.

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy (kulia) akitia saini mikataba sambamba na Wawakilishi wa Kampuni ya Ukandarasi ya Jiangsu Etern Co. Ltd, wakati wa tukio la utiaji saini mikataba ya kupeleka umeme vijijini kupitia Mradi wa Ujazilizi Fungu la Pili C na nyongeza ya Ujazilizi Fungu la Pili B, Ofisi Ndogo za REA jijini Dar es Salaam, Novemba 2, 2023.

About the author

mzalendo