Featured Kitaifa

KOMREDI LULANDALA AONGOZA KIKAO CHA SEKRETARIETI YA UVCCM JIJINI DAR ES SALAAM.

Written by mzalendo

Upanga Dar es Salaam

Picha za matukio mbalimbali Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Komredi Fakii Raphael Lulandala (MNEC), leo tarehe 31 Oktoba, 2023 ameongoza kikao cha Sekretarieti ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa kilichofanyika Katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya UVCCM Upanga Jijini Dar Es Salaam.

#KulindaNaKujengaUjamaa
#SisiNaMamaMleziWaWana
#Kaziiendelee

Imetolewa na
Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM-Taifa

About the author

mzalendo