Featured Kimataifa

RAIS WA IPU DKT. TULIA AKABIDHIWA OFISI RASM

Written by mzalendo

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson (katikati), amekabidhiwa rasmi Ofisi kutoka kwa Rais aliyemaliza muda wake Mhe. Duarte Pacheco (kulia). Makabidhiano hayo yamefanyika leo tarehe 28 Oktoba, 2023 Jijini Luanda nchini Angola yakishuhudiwa na Katibu Mkuu wa Umoja huo Ndg. Martin Chugong (kushoto).

About the author

mzalendo