Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS ATOA POLE MSIBA WA MSAIDIZI WA ASKOFU NJOMBE

Written by mzalendo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka Saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha msaidizi wa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini –  Njombe Mchungaji Dkt. Gabriel Nduye

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimfariji Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini – Njombe Dkt. George Fihavango kufuatia kifo cha msaidizi wake mchungaji Dkt. Gabriel Nduye wakati alipomtembelea ofisini kwake leo tarehe 28 Oktoba 2023 akiwa ziarani mkoani Njombe.

About the author

mzalendo