Featured Kitaifa

HPSS YAKABIDHI KITUO CHA UREKEBISHAJI NA MAFUNZO YA VIFAA TIBA HOSPITALI YA TAIFA YA AFYA YA AKILI MIREMBE

Written by mzalendo

Mkurugenzi wa Mafunzo na Rasilimali watu wa Wizara ya Afya, Dkt. Saitore Laizer,akikata utepe kuashiria uzinduzi wa  kituo cha urekebishaji (calibration) na Mafunzo ya Vifaa Tiba kilichojengwa katika Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe kupitia Mradi wa HPSS Tuimarishe Afya unaofadhiliwa na Serikali ya Uswisi hafla iliyofanyika leo Oktoba 26,2023 jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Mafunzo na Rasilimali watu wa Wizara ya Afya, Dkt. Saitore Laizer,akizungumza  wakati wa hafla ya kupokea kituo cha urekebishaji (calibration) na Mafunzo ya Vifaa Tiba kilichojengwa katika Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe kupitia Mradi wa HPSS Tuimarishe Afya unaofadhiliwa na Serikali ya Uswisi hafla iliyofanyika leo Oktoba 26,2023 jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Mafunzo na Rasilimali watu wa Wizara ya Afya, Dkt. Saitore Laizer,akifafanua jambo   wakati wa hafla ya kupokea kituo cha urekebishaji (calibration) na Mafunzo ya Vifaa Tiba kilichojengwa katika Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe kupitia Mradi wa HPSS Tuimarishe Afya unaofadhiliwa na Serikali ya Uswisi hafla iliyofanyika leo Oktoba 26,2023 jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Mafunzo na Rasilimali watu wa Wizara ya Afya, Dkt. Saitore Laizer,akisisitiza jambo kwa watumishi wa Afya  wakati wa hafla ya kupokea kituo cha urekebishaji (calibration) na Mafunzo ya Vifaa Tiba kilichojengwa katika Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe kupitia Mradi wa HPSS Tuimarishe Afya unaofadhiliwa na Serikali ya Uswisi hafla iliyofanyika leo Oktoba 26,2023 jijini Dodoma.

Meneja wa Mradi wa HPSS Tuimarishe Afya,Bw. Ally Kebbyakitoa taarifa ya ukarabati na uwekaji wa Vifaa,Computer na Samani za Ofisi  wakati wa hafla ya kukabidhi kituo cha urekebishaji (calibration) na Mafunzo ya Vifaa Tiba kilichojengwa katika Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe kupitia Mradi wa HPSS Tuimarishe Afya unaofadhiliwa na Serikali ya Uswisi hafla iliyofanyika leo Oktoba 26,2023 jijini Dodoma.

Kaimu Mkurugenzi wa Uchunguzi wa Magonjwa na Vifaa Tiba Wizara ya Afya Angela Godfrey,akielezea mikakati ya Serikali katika Kuimarisha huduma za Ufundi katika Sekta ya Afya  wakati wa hafla ya kupokea kituo cha urekebishaji (calibration) na Mafunzo ya Vifaa Tiba kilichojengwa katika Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe kupitia Mradi wa HPSS Tuimarishe Afya unaofadhiliwa na Serikali ya Uswisi hafla iliyofanyika leo Oktoba 26,2023 jijini Dodoma.

Mkuu wa Kitengo cha Huduma ya Ufundi-MoH Mhandisi Suniva Haule,akizungumzia Muundo,Mawanda na lengo la kituo cha urekebishaji na mafunzo wakati wa hafla ya kupokea kituo cha urekebishaji (calibration) na Mafunzo ya Vifaa Tiba kilichojengwa katika Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe kupitia Mradi wa HPSS Tuimarishe Afya unaofadhiliwa na Serikali ya Uswisi hafla iliyofanyika leo Oktoba 26,2023 jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Magonjwa ya Akili Mirembe Dkt. Paul Lawale,akizungumza  wakati wa hafla ya kupokea kituo cha urekebishaji (calibration) na Mafunzo ya Vifaa Tiba kilichojengwa katika Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe kupitia Mradi wa HPSS Tuimarishe Afya unaofadhiliwa na Serikali ya Uswisi hafla iliyofanyika leo Oktoba 26,2023 jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Mkurugenzi wa Mafunzo na Rasilimali watu wa Wizara ya Afya, Dkt. Saitore Laizer (hayupo pichani),akizungumza  wakati wa hafla ya kupokea kituo cha urekebishaji (calibration) na Mafunzo ya Vifaa Tiba kilichojengwa katika Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe kupitia Mradi wa HPSS Tuimarishe Afya unaofadhiliwa na Serikali ya Uswisi hafla iliyofanyika leo Oktoba 26,2023 jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Mafunzo na Rasilimali watu wa Wizara ya Afya, Dkt. Saitore Laizer,akikagua vifaa mbalimbali  wakati wa hafla ya kupokea kituo cha urekebishaji (calibration) na Mafunzo ya Vifaa Tiba kilichojengwa katika Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe kupitia Mradi wa HPSS Tuimarishe Afya unaofadhiliwa na Serikali ya Uswisi hafla iliyofanyika leo Oktoba 26,2023 jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Mafunzo na Rasilimali watu wa Wizara ya Afya, Dkt. Saitore Laizer,akikata utepe kuashiria uzinduzi wa  kituo cha urekebishaji (calibration) na Mafunzo ya Vifaa Tiba kilichojengwa katika Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe kupitia Mradi wa HPSS Tuimarishe Afya unaofadhiliwa na Serikali ya Uswisi hafla iliyofanyika leo Oktoba 26,2023 jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Mafunzo na Rasilimali watu wa Wizara ya Afya, Dkt. Saitore Laizer,akiwakatika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua  kituo cha urekebishaji (calibration) na Mafunzo ya Vifaa Tiba kilichojengwa katika Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe kupitia Mradi wa HPSS Tuimarishe Afya unaofadhiliwa na Serikali ya Uswisi hafla iliyofanyika leo Oktoba 26,2023 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

WIZARA ya Afya  imeanza  Mkakati wa kuhakikisha inaimarisha sekta ya afya kwa kuanzisha karakana maalumu ya kurekebisha vifa tiba vinavyonunuliwa na Serikali katika vituo vya afya na hospitali hapa nchini.

Hayo yamesemwa jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Mafunzo na Rasilimali watu wa Wizara ya Afya, Dkt. Saitore Laizer wakati wa hafla ya kupokea kituo cha urekebishaji (calibration) na Mafunzo ya Vifaa Tiba kilichojengwa katika Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe kupitia mradi wa HPSS Tuimarishe Afya unaofadhiliwa na Serikali ya Uswisi.

Dkt.Laizer amewataka wataalamu katika Hospitali hiyo kuendelea kukitunza kituo na vifaa vyake ili kutumika kwa malengo yaliyokusudiwa.

“Wizara tunawataka kuhakikisha kituo hiki kiwe kikubwa na uwezo mkubwa kuliko leo na sio kupunguza malengo yake,”amesema Dkt.Laizer

Aidha amesema kuwa watanzania wengi hawajui baadhi ya taaluma zenye mashiko ikiwamo uhandisi wa vifaa tiba ambapo kwa hapa nchini ni eneo kubwa la kipaumbele.

Dkt.Laizer ametoa wito kwa wanafunzi wanaomaliza kwenye shule za sekondari wenye sifa wachangamkie kusoma katika taaluma hii ya uhandisi vifaa tiba

“Kituo hichi bila wataalamu wa kutosha hakitafanya kazi kwa ufanisi unaotarajiwa, hivyo ufanyike utaratibu ndani ya mwezi mmoja wapatikane watu wa kuja kufundisha watumishi wengine,”amesema

Kwa upande wake Meneja wa Mradi wa HPSS Tuimarishe Afya,Bw. Ally Kebby, amesema mradi umechangia Sh.Milioni 300 kwenye uanzishaji wa kituo hicho ambapo zimetumika kwenye ujenzi, ununuzi wa vifaa na komputa ili kufanya kazi kisasa.

“Kituo hichi ni cha kipekee katika kutoa huduma za ufundi kwenye eneo la afya na kinaweza kuwa cha tatu kusini mwa Jangwa la Sahara si jambo maarufu kwenye nchi zetu kutokana na kuwa na changamoto zake katika uanzishwaji inahitaji vifaa, utaalamu lakini sisi Tanzania maono yetu yametuelekeza tuwe na kituo cha namna hii,”amesema Bw. Kebby

Hata hivyo ameongeza  kuwa miaka nane ya awali ya utekelezaji wa mradi huo walianza kwa kusaidia masuala ya menejimenti na ukarabati wa vifaa tiba kutokana na kutokuwapo na ufanisi kwenye eneo hilo.

“Watumishi waliokuwepo wakati wa kutekeleza mradi walikuwa 14 nchi nzima wa uhandisi wa vifaa tiba, tulipofika mwaka wa tisa wa utekelezaji wa mradi tulikaa na Wizara ya Afya kuainisha mahitaji ambayo yatakuwa ya msaada na uhitaji wa kituo hichi ulianishwa na tulikaa kwa pamoja na kufanya usanifu,”amesema

Naye Kaimu Mkurugenzi wa Uchunguzi wa Magonjwa na Vifaa Tiba Wizara ya Afya Angela Godfrey,amesema kuwa lengo la kuanzisha karakana hiyo ni kuweka vifaa katika ubora.

About the author

mzalendo