Featured Kitaifa

WANANCHI WAASWA KUTEMBELEA MITANDAO YA KIJAMII YA WIZARA YA FEDHA KUPATA TAARIFA MBALIMBALI

Written by mzalendo

 

Afisa Habari, Kitengo cha Mawasiliano Serikalini – Wizara ya Fedha, Bw. Joseph Mahumi, akitoa mada kuhusu mitandao ya kijamii ya Wizara hiyo, wakati wa Kongamano la Wadau wa Mitandao ya Kijamii ambalo limeandaliwa na Wizara ya Fedha, linalofanyika kwa siku mbili kuanzia tarehe 23 hadi 24 Oktoba, 2023, mkoani Morogoro, ambapo wadau hao wamepata fursa ya kujifunza masuala mengine mbalimbali kuhusu Wizara hiyo, na kujengewa uwezo hususan kwenye masuala ya Sheria mpya ya PPP, Muundo wa Wizara, Mpango Mkuu wa Maendeleo ya Sekta ya Fedha nchini, Mafao na Pensheni.

About the author

mzalendo