Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

betplay

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

Featured Kitaifa

MCHENGERWA ATAJA MKAKATI KUKUZA WAKANDARASI WA NDANI

Written by mzalendo

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohammed Mchengerwa,akisisitiza jammbo  wakati wa kikao na watumishi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kilichofanyika Makao Makuu ya TARURA Jijini Dodoma.

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohammed Mchengerwa,akizungumza  wakati wa kikao na watumishi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kilichofanyika Makao Makuu ya TARURA Jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Miundombinu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhandisi Reagatus Mativila,akizungumza wakati wa kikao na watumishi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kilichofanyika Makao Makuu ya TARURA Jijini Dodoma.

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff, akizungumza wakati wa kikao na watumishi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kilichofanyika Makao Makuu ya TARURA Jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohammed Mchengerwa,(hayupo pichani) akizungumza na watumishi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kilichofanyika Makao Makuu ya TARURA Jijini Dodoma.

Na.James Nestory-DODOMA

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohammed Mchengerwa, amesema ofisi yake imeandaa mpango mkakati wa kuwezesha wakandarasi wazawa ili kutoa ushindani kwa wageni katika zabuni mbalimbali.

Mchengerwa ameyasema hayo  wakati wa kikao na watumishi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kilichofanyika Makao Makuu ya TARURA Jijini Dodoma.

Amesema Serikali imejipanga vyema kuhakikisha inawanyanyua wakandarasi wazawa na kusisitiza kuwa pamoja na majukumu ya TATURA pia wanalo jukumu la kukuza na kuwaendeleza wakandarasi wazawa.

“Hatuwezi kuitenganisha TARURA na wakandarasi wa ndani kama ambavyo huwezi kuitenganisha TAMISEMI na wananchi, maendeleo ya miundombinu yanamchango katika uchumi wa wananchi na wa Taifa.”

“Mikakati ya TARURA ni kuhakikisha ifikapo mwaka 2025 tuwe tumeboresha barabara za vijijini na mijini kwa asilimia 85 lakini tukiwa tunaenda kuyafikia mafanikio hayo lazima tujiulize tumewakuza na kuwajenga wakandarasi wangapi wazawa?

tumewanyanyua kiasi gani kufikia viwango vya kuwafanya washindane kimataifa.”
” Kwa hiyo ninawataka, pamoja na majukumu mengi mliyonayo TARURA kwenye uongozi wangu kama Waziri jukumu la kukuza na kuwaendeleza wakandarasi wazawa nitalipa kipaumbele cha hali ya juu. Na leo natangaza rasmi mkakati wa kukuza wakndarasi wazawa utakaosimamiwa na ninyi TARURA.”

” Nitawapa TARURA mnisaidie ili tunakokwenda tuwe tumewajenga wakandarasi alteast kila mkoa kampuni za wakandarasi 20 tutakua kumekuza Kampuni za Wakandarasi takribani 520 katika mikoa yetu yote 26.”

“Tukiyashika mkono kampuni ya wazawa wa kitanzania  20 kila mkoa ina maana tutafungua uchumi na kustawi kwa kila mkoa, pia itawezesha kuimalisha kazi za wakandarasi hao kwa kila mkoa.”

Amesema mpango mkakati huo ni wa kuziwezesha kampuni za wazawa za ujenzi ili ziweze kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa miradi inayotangazwa na TARURA.

“Lengo kuu la mpango huu ni kuboresha mazingira ambayo mjasiliamali wa Kitanzania wanaweza kufaulu, kukua na kutoa mchango mkubwa katika maendeleo ya nchi.”

Amesema  pia umelenga kujenga Tanzania yenye nguvu inayojitegemea na ambayo inaweza kukabiliana na changamoto za karne ya 21 kwa kutumia uwezo wa wakandarasi wa ndani.

Mchengerwa pia ameiangiza TARURA kuandaa utaratibu wa wazi wa namna ya kuwachangua kampuni hizo 20 kwa kila mkoa na kusisitiza kuwa mchakato wa haki.

Naye Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff,amesema kuwa watayafanyia kazi maeelekezo yote yaliyotolewa na waziri ili kuongeza tija katika Wakala huo.

About the author

mzalendo