#CCMKikaoni, Chama ni vikao
Picha zikionesha matukio mbalimbali wakati Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana katika kikao chake maalum, chini ya Mwenyekiti wa CCM, Ndugu Dokta Samia Suluhu Hassan, tarehe 22 Oktoba, 2023, jijini Dodoma.
#KaziIendelee
#CCMImetimia
#SamiaNiWetuNaTunatambaNae