Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AMPONGEZA KADINALI RUGAMBWA MKOANI TABORA

Written by mzalendoeditor

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Tabora Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa mara baada ya kuwasili katika Makazi yake Uaskofuni Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Tabora Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa mara baada ya kuwasili katika Makazi yake Uaskofuni Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023. Rais Samia alifika katika Makazi ya Baba Askofu Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa kwa ajili ya kumpongeza
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki Tabora Mhashamu Baba Askofu Mkuu Paul Ruzoka mara baada ya kuwasili Uaskofuni Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na ujumbe wake akiwa kwenye Kikao na Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Tabora Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa, Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki Tabora Mhashamu Baba Askofu Mkuu Paul Ruzoka pamoja na ujumbe wao katika Makazi ya Baba Askofu Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Tabora Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa mara baada ya mazungumzo yao katika Makazi yake Uaskofuni Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Tabora Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa mara baada ya kupiga picha ya pamoja Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Tabora Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa, Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki Tabora Mhashamu Baba Askofu Mkuu Paul Ruzoka mara baada ya mazungumzo yao katika Makazi yake Uaskofuni Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na ujumbe wake wakati wakiombewa na Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Tabora Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa Mkoani Tabora.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Tabora Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa mara baada ya mazungumzo yao.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiimba pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St. Mary’s ya Mkoani Tabora wakati alipokwenda kumtembelea Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Tabora Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa, tarehe 18 Oktoba, 2023. Shule hiyo ndiyo Shule ya Kwanza ambayo Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alifundisha kwa miaka mitatu.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari St. Mary’s ya Mkoani Tabora wakati alipokwenda kumtembelea Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Tabora Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa, tarehe 18 Oktoba, 2023. Shule hiyo ndiyo Shule ya Kwanza ambayo Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alifundisha kwa miaka mitatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa zawadi ya joho Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Tabora Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa mara baada ya kuwasili katika Makazi yake Uaskofuni Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.

About the author

mzalendoeditor