marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

izmit escort

izmit escort

izmit escort

pusulabet

matbet

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

ultrabet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

1win

marsbahis

ngsbahis

betlike

teosbet

batumslot

mislibet

meritbet giriş

artemisbet

meritbet

jojobet

kulisbet giriş

meritking

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

betcio

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet giriş

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

enjoybet giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

Featured Kitaifa

MOTO WA MAGEUZI YA ELIMU KUHAMIA KATIKA SHERIA ZA ELIMU

Written by Alex Sonna

 

 Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya uongozi, usimamizi na uendeshaji wa shule kwa Wakuu wa Shule za Msingi, yaliyofanyika leo Oktoba 13, 2023 Mjini Bagamoyo.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Maendeleo ya Uongonzi wa Elimu (ADEM) Dkt. Sixtone Masanja ,akizungumza  wakati wa hafla ya  kufunga mafunzo ya uongozi, usimamizi na uendeshaji wa shule kwa Wakuu wa Shule za Msingi, yaliyofanyika leo Oktoba 13, 2023 Mjini Bagamoyo.

Kamishna wa Elimu  Dkt. Lyabwene Mutahabwa (kushoto),akimsikiliza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (hayupo pichani) wakati akifunga  mafunzo ya uongozi, usimamizi na uendeshaji wa shule kwa Wakuu wa Shule za Msingi, yaliyofanyika leo Oktoba 13, 2023 Mjini Bagamoyo.

 Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (hayupo pichani) ,wakati wa akifunga mafunzo ya uongozi, usimamizi na uendeshaji wa shule kwa Wakuu wa Shule za Msingi, yaliyofanyika leo Oktoba 13, 2023 Mjini Bagamoyo.

…..

Serikali imesema baada ya kukamilika na kupitishwa kwa rasimu ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 itaanza kufanya mapitio ya sheria za elimu.

Akizungumza Oktoba 13, 2023 Mjini Bagamoyo wakati wa kufunga mafunzo ya uongozi, usimamizi na uendeshaji wa shule kwa Wakuu wa Shule za Msingi, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema mchakato huo utaanza mara baada ya tamko la kuanza kwa utekelezaji wa sera hiyo.

Kiongozi huyo amefafanua kuwa ili Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 itekelezwe kwa ufanisi, Sheria ya elimu ya Mwaka 1978 na Sheria nyingine zinazohusu elimu ni lazima zifanyiwe mapitio ili kuiwezesha kwenda sambamba na mabadiliko ya elimu yatakayofanyika nchini.

” rasimu ya sera inayotarajiwa kuanza kutumika mwakani imeweka mkazo katika ubora wa walimu, mkazo katika kuwaendeleza walimu walio kazini na pia tutawachuja wanaoingia katika kada hiyo ili kulinda hadhi walimu, tunataka walimu bora na si bora walimu” amesisitiza Waziri huyo

Prof. Mkenda amesema mabadiliko ya mitaala yamekwenda sambamba na mapitio ya Sera kwa kuwa katika sera kuna mabadiliko makubwa yamefanyika;mitaala hiyo ipo katika tovuti ya Taasisi ya Elimu Tanzania na kuwataka wadau na wananchi kuisoma na kuielewa.

Amewaambia Wakuu wa Shule hao kuwa vinara na chachu ya kuhakikisha mageuzi hayo makubwa ya elimu yanafahamika kwa wadau na wananchi.

Akizungumzia kuhusu mafunzo hayo Waziri Mkenda amesema Serikali itaendelea kuimarisha mafunzo kwa walimu kazini kwa kupitia Vituo vya Walimu (TRCs) na yatakayokuwa yakifanyika katika Mikoa, Kikanda na Kitaifa ili kuwajengea umahiri.

Aidha, Prof Mkenda amewataka Wakuu hao wa shule kuhakikisha wanasimamia maadili ya walimu hasa katika suala la malezi na usalama wa watoto wanaowafundisha.

Ameongeza kuwa kwenda kinyume na maadili hayo kunaharibu sifa ya walimu pamoja na kuumiza wanafunzi.

Kwa upande wake Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Maendeleo ya Uongonzi wa Elimu (ADEM) Dkt. Sixtone Masanja amesema mafunzo hayo kwa awamu ya kwanza yanahudisha mikoa saba ambapo jumla ya Walimu Wakuu 4,516 wamepatiwa mafunzo ya kuwajengea umahiri katika uongozi, usimamizi na uendeshaji wa shule

Mtendaji Mkuu huyo ameongeza kuwa mafunzo mengine yaliyotolewa ni pamoja na uendesshaji wa ofisi ya Mkuu wa Shule, ukusanyaji wa takwimu na uaandaaji wa mpango wa jumla wa maendeleo ya shule na Motisha kwa walimu.

“Mafunzo haya yameandaliwa baada ya kufanyika kwa utafiti na kusoma tafiti nyingine za wanazuoni wengine juu ya uongozi na usimamizi wa shule na elimu kwa ujumla na tafiti hizo zilionyesha uhitaji wa mafunzo kwenye maeneo hayo , hivyo tuna imani kubwa baada ya mafunzo Wakuu wa Shule wataenda kusimamia shule zao kwa ufanisi zaidi na kuinua ubora wa elimu” amesisitiza Dkt. Masanja.

Naye Mkuu wa Shule ya Msingi Juhudi iliyopo Morogoro Naomba Msuyu Manispaa amesema mafunzo hayo yametolewa kwa wakati unaofaa kwani yatawawezesha kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi hasa kutokana na mageuzi makubwa ya elimu yanayotarajiwa kufanyika

About the author

Alex Sonna