Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

WAZIRI SILAA AYATAKA MABARAZA YA ARDHI YA KATA KUZINGATIA MABADILIKO YA SHERIA USULUHISHI WA MIGOGORO YA ARDHI

Written by Alex Sonna

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Slaa ameyataka Mabaraza ya Ardhi ya Kata kuzingatia mabadiliko ya Sheria namba tatu ya mwaka 2021 inayoyataka Mabaraza hayo kufanya kazi ya usuluhishi kwa kipindi kisichozidi siku 30 na si vinginevyo.

Aidha Waziri Silaa amewataka wananchi kutambua kuwa Mabaraza ya Kata hayawajibiki katika kujihusisha na migogoro ya ndoa, madai au jinai bali kazi yake ni usuluhishi wa migogoro ya ardhi ndio maana yakaitwa Mabaraza ya Ardhi ya Kata.

‘’Ikiwa Baraza la Kata limefanya usuluhishi wa mipaka kati ya jilani na jilani au usuluhishi wa mauzo kwa kipindi cha siku 30 endapo makubaliano ya pande mbili hayakufikia maridhiano wanapaswa kuwapa nyaraka pande zinazosigana kwenda Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ambalo liko chini ya Wizara Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi.’’Aliongeza Jerry Silaa Waziri wa Ardhi.

Waziri Silaa pia ametoa wito kwa wananchi wote wenye malalamko ya kiutendaji yatokanayo na Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya kuwasilisha malalamiko yao kwa maandishi kwa Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi kwani watendaji wa Mabaraza hayo wanawajibika kwake  moja kwa moja.

‘’Kama mwananchi hajaridhika na maamuzi ya Kisheria yanayotolewa na Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya basi afuate utaratibu wa kawaida wa kukata rufaa kwenda Mahaka Kuu lakini kama ana malalamiko ya kiutendaji na nidhamu basi malalamiko hayo yaletwe na kwa Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi ili tuyafanyie kazi.’’ ’’Aliongeza Jerry Silaa Waziri wa Ardhi.

Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya yana mamlaka ya kusikiliza  na kuamua migogoro ya ardhi yeye thamani isiyozidi milioni mia 200 kwa mali inayohamishika na mali isiyohamishika yenye thamani ya Sh. Milioni mia 300 za kitanzania.

Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya yanaanzishwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mujibu wa Sheria ya Mahakama za Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi Sura 2016 namba 2 ya Mwaka 2002.

Kwa upande wa Mabaraza ya Kata Sheria ya Mabaraza ya Kata Sura 206 na Sheria ya Mahakama ya Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi Sura 216 Waziri wa TAMISEMI ndiye mwenye Mamlaka ya Kusimamia Mabaraza ya Kata na kwa niaba yake jukumu hilo linatekelezwa na Mkurugenzi wa Halmashauri.  

About the author

Alex Sonna