Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

bahiscasino

ultrabet

vaycasino

sweet bonanza

【鑑定書】のように公的な効力はありませんが、販売元が営業を続けている限り本物であることを保証してもらえるので無いよりかなり安心です。 なお ...

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

casibom güncel giriş

jojobet giriş

sweet bonanza

sweet bonanza oyna

deneme bonusu

cashwin

radissonbet

nesinecasino

betsalvador

romabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

jojobet

Hacklink panel

pokerklas

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betzula

betzula giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betzula

betzula giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

meritbet

meritbet giriş

uyuşturucu satın al

xxxx

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

jojobet

jojobet güncel giriş

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

süratbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

ikimisli

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

deneme bonusu

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

tambet

casibom

mavibet

mavibet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet

mavibet giriş

mavibet

aresbet giriş

kavbet

kavbet giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli giriş

ultrabet

ultrabet giriş

mavibet

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

jojobet

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

tipobet

bets10

sekabet güncel giriş

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

grandpashabet

jojobet

jojobet

nerobet

goldenbahis

jojobet

Hacklink panel

tümbet

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

taksimbet

Featured Kitaifa

WATU 2,600 WATIBIWA MACHO BUGANDO KILA MWEZI

Written by Alex Sonna
 
Mkuu wa Idara ya Macho Bugando, Dk Christopher Mwanansao akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Macho duniani yaliyofanyika kikanda katika viwanja vya hospitali ya Bugando jijini Mwanza.
Mkuu wa Idara ya Macho Bugando, Dk Christopher Mwanansao akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Macho duniani yaliyofanyika kikanda katika viwanja vya hospitali ya Bugando jijini Mwanza.
Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, Dk Fabian Massaga akizungumza na wananchi (hawapo pichani) waliofika katika maadhimisho ya Siku ya macho Duniani yaliyofanyika kikanda katika Hospitali ya Bugando jijini Mwanza.
Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, Dk Fabian Massaga akizungumza na wananchi (hawapo pichani) waliofika katika maadhimisho ya Siku ya macho Duniani yaliyofanyika kikanda katika Hospitali ya Bugando jijini Mwanza
 
**
Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando imesema wastani wa watu 2,600 hutibiwa maradhi ya macho hospitalini hapo kila mwezi.
 
Taarifa hiyo ilitolewa leo na Mkuu wa Idara ya Macho Bugando, Dk Christopher Mwanansao wakati wa maadhimisho ya siku ya macho duniani iliyoadhimishwa kikanda katika viwanja vya hospitali hiyo ikitanguliwa na uchunguzi wa maradhi ya macho kwa wananchi.
 
Dk Mwanansao amesema wagonjwa wengi wanaohudumiwa katika kliniki ya Bugando hukutwa na tatizo la saratani ya mtoto wa jicho,  mzio wa macho, presha ya macho, kisukari cha macho na huoni hafifu, ambapo asilimia 60 ya watu wanaopata upofu hutokana na tatizo la mtoto wa jicho ambalo huwakumba zaidi wazee na watoto.
 
“Kliniki yetu baada ya kuboreshwa tumekuwa na uwezo wa kuhudumia wagonjwa takribani 100 kwa siku, 500 kwa wiki na 2,400 mpaka 2,600 kwa mwezi na visababishi vikubwa vya magonjwa ya macho ni umri, mazingira yanapelekea kupata mzio kwenye macho, kurithi, kisukari na presha pia hupelekea kupata magonjwa ya macho,” amesema Dk Mwanansao
 
 
Amesema “Kwa sehemu kubwa matatizo ya macho yanasababishwa na umri unapoenda ndipo watu wengi wanapata matatizo hayo, hivyo, unapofikisha miaka 40 walau uende hospitali kuchunguza uwezo wako wa kuona. Pia watoto wengi wanazaliwa na mtoto wa jicho kutokana na maambukizi ya mama, magonjwa ya kurithi na kisukari,”
 
 
Amewataka wananchi kujenga utamaduni wa kufanya uchunguzi na vipimo vya macho mara kwa mara ama angalau mara mbili kwa mwaka ili kuimarisha uoni wao na afya ya macho yao.
 
“Kuna haja ya kupima macho hata kama hayana tatizo kwa mfanonpresha ya macho katika hatua za awali huwa haina dalili, kwahiyo unaanza kupoteza uoni pembeni. Watu wapende kwenda kupima macho na wachukue hatua mbalimbali za kukinga macho mapema,” amesema Dk Mwanansao
 
 
Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali hiyo, Dk Fabian Massaga alisema hospitali inafanya jitihada kuhakikisha hakuna mwanachi anayepoteza uoni kwa changamoto za macho kwa kuboresha miundombinu, kutoa huduma za kibingwa katika hospitali za wilaya na mikoa, kutoa huduma za upasuaji kwa gharama nafuu na vipimo vya bure.
 
 
“Sisi hospitali ya Bugando tunaahidi kuendelea kuboresha huduma zetu ili wananchi wa Kanda ya ziwa muweze kunufaika na huduma zetu,” amesema Dk Masaga
 
Suzan Steven mkazi wa Bariadi mkoani Simiyu, alisema akiwa anafanya kazi ya katibu muhtasi alianza kusumbuliwa na macho na kuamua kuacha kazi sasa ni mwaka wa tatu na ameamua kufika Bugando kupata matibabu.
 
 
Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando, Dk Fabian Massaga (suti nyeusi) akisalimiana na wananchi waliofika katika maadhimisho ya Kimataifa ya Siku ya macho duniani yaliyofanyika hospitalini hapo leo Oktoba 12,2023. Aliyesimama kulia ni Mkuu wa Idara ya Macho Bugando, Dk Christopher Mwanansao.
Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando, Dk Fabian Massaga (suti nyeusi) akisalimiana na wananchi waliofika katika maadhimisho ya Kimataifa ya Siku ya macho duniani yaliyofanyika hospitalini hapo leo Oktoba 12,2023. Aliyesimama kulia ni Mkuu wa Idara ya Macho Bugando, Dk Christopher Mwanansao.
Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, Dk Fabian Massaga (suti nyeusi katikati) akipiga picha ya pamoja na wafanyakazi wa Bugando na watumishi wa Idara ya Macho Bugando baada ya maadhimisho ya Siku ya Macho yaliyofanyika kikanda katika viwanja vya hospitali hiyo.
 

About the author

Alex Sonna