Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

bets10

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

WAZIRI JAFO ATETA NA AFISA MTENDAJI MKUU WA BENKI YA STANDARD CHARTERED

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Selemani Jafo akisikiliza jambo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered Bw. Herman Kasekende wakati wa kikao baina yake na watendaji wa Benki hiyo kilichofanyika katika Ofisi ndogo za Ofisi ya Makamu wa Rais, Jijini Dar es Salaam leo Jumanne (Oktoba 10, 2023)

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Selemani Jafo akisikiliza jambo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered Bw. Herman Kasekende wakati wa kikao baina yake na watendaji wa Benki hiyo kilichofanyika katika Ofisi ndogo za Ofisi ya Makamu wa Rais, Jijini Dar es Salaam

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Selemani Jafo akisikiliza jambo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered Bw. Herman Kasekende wakati wa kikao baina yake na watendaji wa Benki hiyo kilichofanyika katika Ofisi ndogo za Ofisi ya Makamu wa Rais, Jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi Mtendaji na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered, Bw. Herman Kasekende (kushoto) akizungumza jambo wakati wa kikao baina yake na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo kilichofanyika katika katika Ofisi ndogo za Ofisi ya Makamu wa Rais, Jijini Dar es Salaam leo Jumanne (Oktoba 10, 2023). Kulia ni Meneja Mipango ya Biashara wa Benki hiyo, Bw. Michael Matteru

Baadhi ya watendaji waandamizi wa Benki ya Standard Chartered kutoka kushoto Bi. Sapienta Balele, Mkuu wa Idara ya Fedha wa benki hiyo na Bi. Desideria Mwegelo, Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Masoko wakifuatilia kikao baina ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo na Afisa Mtendaji Mkuu, Bw. Herman Kasekende kilichofanyika katika Ofisi ndogo za Ofisi ya Makamu wa Rais, Jijini Dar es Salaam leo Jumanne (Oktoba 10, 2023)

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji waandamizi wa Benki ya Standard Chartered wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Bw. Herman Kasekende (kulia) muda mfupi baada ya kumalizika kwa kikao baina yao kilichofanyika katika Ofisi ndogo za Ofisi ya Makamu wa Rais, Jijini Dar es Salaam

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo akifurahia jambo na watendaji waandamizi wa Benki ya Standard Chartered muda mfupi baada ya kumalizika kwa kikao baina yao kilichofanyika katika Ofisi ndogo za Ofisi ya Makamu wa Rais, Jijini Dar es Salaam leo Jumanne (Oktoba 10, 2023)

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

Na Mwandishi Wetu,DAR ES SALAAM

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amekutana na kufanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya Standard Chartered, Bw. Herman Kasekende na kujadili fursa za uwekezaji na uwezeshaji wa miradi ya mazingira na uhimilivu wa mabadiliko ya tabianchi hapa nchini.

Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika katika leo Jumanne (Oktoba 10, 2023), katika Ofisi ndogo za Ofisi ya Makamu wa Rais Jijini Dar es Salaam, Waziri Jafo aliipongeza juhudi za benki hiyo katika kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa wananchi hapa nchini.

Dkt. Jafo amesema mapambano ya uharibifu wa mazingira na athari za mabadiliko ya tabianchi yanahitaji juhudi za pamoja baina ya serikali na wadau na kutokana na umuhimu huo Serikali imeendelea ushirikiano na wadau wa maendeleo ikiwemo taasisi za kifedha ili kuibua fursa za uwezeshaji na uwekezaji wa miradi ya mazingira  nchini.

Akitolea mfano Waziri Jafo amesema Serikali imeandaa kanuni na mwongozo kuhusu biashara ya kaboni ikiwa ni mkakati wa kuboresha usimamizi mzuri wa miradi ya biashara ya kaboni inayotekelezwa nchini, na kuzitaka taasisi za kifedha kujitokeza katika kuziwezesha mitaji kwa kampuni mbalimbali ya Watanzania.

“Utekelezaji wa biashara ya kaboni utachangia kupunguza gesijoto na hatimaye kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi na pia kuchangia katika utunzaji endelevu ya mazingira na kuleta maendeleo endelevu ya kijamii na kiuchumi kwa wananchi wetu..Jukumu hili linahitaji mshikamano wa wadau wote” amesema Dkt. Jafo.

Aidha Dkt. Jafo ameiomba benki hiyo kuweka mpango na mikakati Madhubuti ya uwekezaji katika nishati safi ya kupikia ili kuepusha uharibifu wa mazingira kwani nishati isiyo salama kwa matumizi ikiwemo kuni na mkaa imekuwa na madhara kwa afya  kwa watumiaaji na kuharibu mazingira.

“Serikali imendaa rasimu ya Dira ya Taifa ya Matumizi ya Nishati Safi ya kupikia 2033…Tunaendelea kuwahimiza wadau ikiwemo taasisi za kifedha kujitokeza na kuwekeza katika miradi ya uzalishaji wa bidhaa na nishati safi ya kupikia na hivyo kurahisisha upatikanaji wake kwa Watanzania” amesema Dkt Jafo.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered Bw. Herman Kasekende amemhakikishia Waziri Jafo kuwa Benki hiyo itaendelea kuunga mkono juhudi za Serikali za kuhamasisha utunzaji na uhifadhi wa mazingira ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.

Akitolea mfano Kasekende amesema Benki ya Standard Chartered tayari imeandaa andiko la miradi ya uwekezaji wa mazingira na mabadiliko ya nchi ikiwa ni hatua mahsusi ya kuunga mkono juhudi za serikali katika kuwashirikisha wadau kuibua miradi uhifadhi wa mazingira na uhimilivu wa mabadiliko ya tabianchi. 

“Tutaendelea kushirikiana na Serikali katika kusaidia jamii ya Watanzania kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kupitia uwekezaji wa miradi…Tutatoa mitaji kwa makampuni ya Watanzania yatakayoanzisha miradi ya biashara ya kaboni” amesema Kasekende.

Aidha Kasekende amesema Benki hiyo pia imeanzisha kampeni maalum ya upandaji miti ambapo katika msimu wa mvua uliopita  taasisi hiyo ilipanda miti imepanda miti 2000 na msimu ujao wa mvua imepanga kupanda miti 10,000 katika maeneo mbalimbali nchini.

About the author

Alex Sonna