Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

kulisbet giriş

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

betplay

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

Featured Kitaifa

NCHI ZA AFRIKA ZATAKIWA KUSHIRIKIANA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA ONGEZEKO LA IDADI YA WATU

Written by Alex Sonna

 

Mkurugenzi wa Milki wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bi Upendo Matotola(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Fedha wa NHC Bw. Adolph Kasegenya(kulia) na Meneja Habari na Ubusiano wa NHC Bw. Muungano Saguya Jijini Algiers wanaposhiriki mkutano wa Taasisi ya Makazi Barani Afrika

Wajumbe kutoka Tanzania wakipitia ajenda mbalimbali zilizowasilishwakwkwenye Mkutano wa Taasisi ya Makazi Afrika unaoendelea Jijini Algiers akiwemo Bw. Deogratious Kalimenzi, Mkurugenzi wa Mipango Miji na Vijiji anayemuwakilisha Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Na Mwandishi Wetu, Algiers

Wakuu wa nchi za kiafrika za kiafrika wametakiwa kuweka msukumo wa pamoja ili kukabiliana na changamoto zinazotokana na ongezeko kubwa la idadi ya watu Barani Afrika.
Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu wa Algeria Mhe.Aymen Ben Abdirrahmane alipofungua Mkutano wa dharura wa Taasisi inayoshughulikia makazi Barani Afrika ya Shelter Afrique unaofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa CIC Abdelatif Rahal Jijini Algiers.
Amesema kuwa hivi sasa Bara la Afrika lina idadi ya watu inayofikia bilioni 1.4 na inakadiriwa kuwa ifikapo mwaka 2050 idadi hiyo itafikia watu bilioni 2.5 na hii itakuwa ni asilimia 25 ya idadi ya watu wa dunia. Akasema kuwa hii inaleta mahitaji makubwa ya makazi bora na huduma za kijamii ikiwemo afya, elimu na miundombinu hivyo akasema kuwa viongozi wa Bara la Afrika wanahitaji kushirikiana vilivyo kukabili changamoto za ongezeko hili ikiwemo kukosekana kwa makazi bora. Akabainisha kuwa inatarajiwa kuwa mabadiliko ya tabianchi katika nchi nyongi za bara la Afrika yatasababisha mafuriko na ukame wa kupindukia na kuathiri maisha ya wananchi wa bara hili. Hivyo akaueleza Mkutano huo unaohudhuriwa na nchi 44 za Bara la Afrika ikiwemo Tanzania, namna pekee ya kukabiliana na hali hiyo ni kila nchi kuwekeza katika upatikanaji wa makazi bora, kuwa na miundombinu ya uhakika na kusaidia upatikanaji wa nyumba za gharama nafuu kwa watu wa kipato cha chini. Akazitahadharisha nchi za kiafrika kuwa kama hazitafanyika jitihada za kuondoa makazi holela na kuwezesha upatikanaji wa nyumba za gharama nafuu barani Afrika, maisha ya watu yatakuwa mabaya na kuongeza umaskini. Akasema kuwa jutihada zinazohitajika kufanyika ni pamoja na kuwa na vyanzo vya uhakika vya fedha nafuu za ujenzi na ununuzi wa nyumba, kutumia malighafi za ujenzi zinazopatikana Barani Afrika, kuwa na teknolojia inayosaidia ujenzi wa nyumba nyingi za gharama nafuu na kupunguza riba ya mikopo katika benki.

Akasema kuwa ni kazima nchi za Afrika kuwekeza katika ujenzi wa nyumba katika vijiji ili kupunguza idadi ya watu wanaohamia mijini ambao wanaongeza mahitaji makubwa ya huduma za kijamii na miundombinu imara.

Katika Mkutano huo unaoendelea leo Jijini Algiers, Mtendaji Mkuu wa Shelter Afrique Bw. Thierno-Habib Hann amewasilisha mapendekezo ya Bodi ya Taasisi hiyo ya Makazi Barani Afrika iliyoleta mabadiliko makubwa ya kimfumo ambayo inaanzisha Benki ya Maendeleo ya Shelter Afrique itakayosaidia upatikanaji wa fedha kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za gharama nafuu kwa nchi wanachama na kuongeza uwekezaji zaidi katika teknolojia na miundombinu katika miji ili kuwa na miji bora, salama na kuboresha maisha ya wananchi wa bara la Afrika.
Nchi 15 za Bara la Afrika ikiwemo Tanzania ndizo zitakazoridhia kwanza mabadiliko hayo kwa kuwa zina hisa zinakubalika katika muundo wa sasa wa Taasisi hiyo yenye nchi wanachama 44 wa Afrika.

About the author

Alex Sonna