Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ASHIRIKI UFUNGUZI MKUTANO WA KIMATAIFA WA KILIMO CHA MBOGAMBOGA NA MATUNDA (DOHA INTERNATIONAL HORTICULTURE EXPO 2023) NCHINI QATAR

Written by mzalendoeditor

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Amiri wa Taifa la Qatar Mhe. Sheikh Tamim Bin Hamad Al-Than wa pili kutoka kushoto kwake pamoja na viongozi wengine wa Mataifa mbalimbali wakati wakimwagilia miti maji kuashiria ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Kilimo cha Mbogamboga na Matunda (Doha International Horticulture Expo 2023) uliofanyika Doha tarehe 02 Oktoba, 2023.

About the author

mzalendoeditor