marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

grandpashabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

sonbahis

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

imajbet

klasbahis

savoybetting giriş

goldenbahis

savoybetting

klasbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

matbet, matbet giriş

betcio, betcio giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

sahabet

Madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

casibom

marsbahis

jojobet giriş

jojobet

alobet

alobet giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

trendbet giriş

bets10

jojobet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

trendbet

imajbet giriş

milanobet

imajbet

perabet giriş

perabet

ngsbahis

kralbet giriş

milanobet giriş

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

kingroyal

trust score weak 3

jojobet

slot siteler

casino siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betsat

betsat giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu veren siteler

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

marsbahis, marsbahis giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

superbetin

madridbet

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

romabet

piabellacasino

güvenli casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

Featured Kitaifa

KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA KWANZA APONGEZA MIRADI YA EBARR

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Dkt. Omar Dadi Shajak (wa pili kulia) akisikiliza maelezo kuhusu mradi wa kisima kirefu cha maji kilichojengwa katika Kijiji cha Kiegea kutoka kwa Mratibu wa Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa Kutumia Mifumo Ikolojia Vijijini (EBARR) Wilaya ya Mpwapwa Bw. Aziz Bilu wakati wa ziara ya kukagua mradi huo leo Mpwapwa, Dodoma Oktoba 01, 2023. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mazingira, Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Bi. Farhat Ali Mbarouk 

…………………………. 

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Dkt. Omar Dadi Shajak amefanya ziara ya kukagua Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa Kutumia Mifumo Ikolojia Vijijini (EBARR) katika Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma leo Oktoba 01, 2023.

Amekagua miradi ya kisima kirefu na kitalu nyumba katika Kijiji cha Ng’hambi, mashine ya kukamua mafuta ya alizeti, ujenzi wa kituo cha huduma za mifugo na lambo katika Kijiji cha Ng’hambi na ujenzi wa kisima na josho la kuogeshea mifugo katika Kijiji cha Kazania yenye thamani ya shilingi bilioni 1.2.

Akizungumza kwa nyakati tofauti wakati wa ziara hiyo, Dkt. Shajak ameishukuru na kuipongeza Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kuratibu vyema mradi huo unaotekelezwa katika pande zote mbili za Muungano.

Amesema mradi huo umeleta manufaa makubwa kwa wananchi kwa kuwasaidia kupata huduma za kijamii zikiwemo maji ambayo yamewawezesha kufanya shughuli za kujipatia kipato kama vile kilimo na ufugaji.

“Lengo la ziara hii ni kuangalia hatua zilizofikwa katiia utekelezaji wa Mradi wa EBARR kwa upande wa Bara lakini pia kujifunza namna gani mnaitekeleza ili na sisi kule Zanzibar tukaboreshe ili kufikia lengo la Serikali la kuwasaidia wananchi kuhimili athari za mabadiliko ya tabianchi,” amesema.

Pia, Katibu Mkuu Dkt. Shajak amewapongeza wasimamizi wa mradi huo wilayani Mpwapwa kwa kuisimamia kwa ufanisi kuanzia hatua ya ujenzi wake hadi kukamilika.

Amesema lengo la Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kuhakikisha inawasaidia wananchi wake waweze kuwa na Maisha mazuri licha kuwepo kwa changamoto za mazingira.

Hivyo amewahimiza wananchi waitumie miradi hiyo kujipatia huduma za kijamii hususan maji kutokana na visima na malambo yanayojengwa katika maeneo yao kupitia miradi hiyo ya mazingira.

Kwa upande wao wanakijiji wa vijiji vilivyotembelewa na Katibu Mkuu kupitia kwa Diwani wa Kata ya Nghambi Richard Milimo wameishukuru Serikali kwa kuwapelekea mradio wa EBARR na kuwema kuwa ni mkombozi kwao.

Wamesema kwa muda mrefu walikuwa wakihangaika kutafuta maji umbali mrefu hali iliyochangia uchumi kushuka na sasa hivi baada ya kuchimbiwa visima wanaendesha maisha yao vizuri.

“Tumeupokea mradi huu vizuri na sasa hivi tunalima mbogamboga na nyanya katika kikundi chetu na tunauza mazao yetu na kujipatia kipato cha kujikimu kimaisha, tunaomba mumfikishie salamu na shukrani hizi Rais wetu na Makamu wake,” wamesema wananchi wa vijiji hivyo.

Katibu Mkuu Dkt. Shajak katika ziara hiyo aliambatana na Mkurugenzi wa Mazingira, Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Bi. Farhat Ali Mbarouk pamoja na Mratibu wa Mradi wa EBARR Wilaya kaskazini ‘A‘ Bw. Alawi Haji Hija.

Mradi huo unaofadhiliwa na Mfuko wa Mazingira wa Dunia (GEF) unatekelezwa katika wilaya za Mpwapwa (Dodoma), Simanjiro (Manyara), Mvomero (Morogoro) na Kishapu (Shinyanga) kwa upande wa Bara na Kaskazini-A (Unguja) kwa upande wa Zanzibar.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Dkt. Omar Dadi Shajak akizungumza wakati wa ziara ya kukagua Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa Kutumia Mifumo Ikolojia Vijijini (EBARR) katika Wilaya ya Mpwapwa, Dodoma leo Oktoba 01, 2023.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Dkt. Omar Dadi Shajak akikagua mradi wa mbogamboga alipotembelea kitalu nyumba katika Kijiji cha Ng’hambi wakati wa ziara yake ya kutembelea na kukagua Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa Kutumia Mifumo Ikolojia Vijijini (EBARR) wilayani Mpwapwa, Dodoma leo Oktoba 01, 2023.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Dkt. Omar Dadi Shajak (wa pili kulia) akisikiliza maelezo kuhusu mradi wa kisima kirefu cha maji kilichojengwa katika Kijiji cha Kiegea kutoka kwa Mratibu wa Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa Kutumia Mifumo Ikolojia Vijijini (EBARR) Wilaya ya Mpwapwa Bw. Aziz Bilu wakati wa ziara ya kukagua mradi huo leo Mpwapwa, Dodoma Oktoba 01, 2023. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mazingira, Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Bi. Farhat Ali Mbarouk 

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Dkt. Omar Dadi Shajak akikagua ujenzi wa kituo cha huduma za mifugo katika Kijiji cha Ng’hambi wakati wa ziara yake ya kutembelea na kukagua Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa Kutumia Mifumo Ikolojia Vijijini (EBARR) Mpwapwa, Dodoma leo Oktoba 01, 2023.

About the author

Alex Sonna