Featured Kitaifa

JOKATE ACHAGULIWA KUWA KATIBU MKUU WA UWT

Written by mzalendoeditor
Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya chama Cha Mapindunzi (CCM) imemteua Jokate Mwegelo kuwa Katibu mkuu wa Umoja wa wanawake Tanzania (U.W.T) kabla ya uteuzi huu Jokate alikuwa mkuu wa wilaya ya Korogwe.
Pia,Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapindunzi (CCM) imemteua Fakii Raphael Lulandala kuwa Katibu mkuu wa Umoja wa vijana wa Chama Cha mapindunzi (CCM) ambaye kabla ya uteuzi alikuwa mkuu wa wilaya ya Momba mkoani Songwe.
Katika hatuna nyingine Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapindunzi imemteua Hamad Khamis Hamad kuwa mgombea wa CCM wa nafasi ya uwakilishi katika Jimbo la matembwe.

About the author

mzalendoeditor