Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

deneme bonusu

casinomilyon

grandpashabet

tambet

betsalvador

cratosroyalbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

radissonbet

Hacklink panel

betsmove

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

goldenbahis

goldenbahis

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

meritking

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

Grandpashabet

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat güncel giriş

jojobet

jojobet

casibom

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet

cratosroyalbet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

casibom

betsat

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

tipobet

bets10

sekabet güncel giriş

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

grandpashabet

jojobet

jojobet

nerobet

goldenbahis

jojobet

Hacklink panel

tümbet

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

test

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA HANDENI

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa hospitali ya halmashauri ya Wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wake, Septemba  29, 2023.  Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Waziri Kindamba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameweka jiwe la msingi kwenye hospitali ya Halmashauri ya Wilaya hiyo na kuwasisitiza viongozi waisimamie na kuikamilisha mapema.

“Madiwani wa Halmashauri hii lazima mjione mna bahati sana. Mlianza kwa kutenga sh, milioni 500 lakini akaja mwekezaji kutoka Serikali ya Kuwait na kuunga mkono juhudi zenu na leo mna hospitali kubwa sana. Nimekagua jengo la utawala, kazi ni nzuri,” alisema.

Waziri Mkuu aliyasema hayo jana jioni (Ijumaa, Septemba 29, 2023) wakati akizungumza na wananchi na viongozi mara baada ya kukagua ujenzi huo na kuweka jiwe la msingi kwenye hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni, iliyojengwa eneo la Mkata-Mbweni, Tanga.

Alisema anatambua changamoto waliyonayo ya watumishi kwani waliopo ni 47 wakati mahitaji yao ni 247. Alisema ajira zinatoka kisekta na akawaomba waendelee kuwa wavumilivu na kuiamini Serikali yao.

Akielezea kuhusu changamoto ya upatikanaji wa magari ya kubeba wagonjwa, Waziri Mkuu alisema kwamba Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alishaagiza magari ya wagonjwa kwa ajili ya nchi nzima na kwamba yako kwenye taratibu za kuingizwa nchini. “Magari hayo yakifika, hapa Mkata mtapatiwa magari mawili ambapo moja ni la kubebea wagonjwa na jingine ni la Mkuu wa Kituo kwa ajili ya kukagua huduma za afya.”

Akifafanua hoja kuhusu gari la zimamoto, Waziri Mkuu alisema utaratibu wa kununua magari hayo upo chini ya Halmashauri zenyewe na siyo Serikali kuu kwani mnatambua hatari zilizopo na kati ya mipango yenu ni kununua gari la zimamoto ili muweze kuzima pale ambapo kuna dharura, kwa hiyo Halmashauri inapaswa kutenga fedha za kununulia hayo magari. “Ongezeni mapato na simamieni mapato mnayokusanya,” alisema.

Waziri Mkuu aliwashukuru viongozi wa taasisi za Shaykh Abdullah Al-noury Charity Society na Islamic Help pamoja na mwakilishi Balozi wa Kuwait nchini Tanzania kwa msaada wao mkubwa ambao alisema utaokoa maisha ya Watanzania wengi.

Mapema, akitoa taarifa mbele ya Waziri Mkuu kuhusu ujenzi wa hospitali hiyo, Mkuu wa Idara ya Afya, Lishe na Kinga, Dkt. Kanansia Shoo alisema Halmashauri hiyo ilipokea sh. bilioni 6.51 ambapo kati ya hizo, sh. bilioni 3.45 zilitoka Serikali Kuu, sh. milioni 57 ni za mapato ya ndani na sh. bilioni 3 ni fedha za mdau wa maendeleo Shaykh Abdullah Al-noury Charity Society chini ya usimamizi wa Taasisi ya Islamic Help.

Dkt. Shoo alisema jumla ya sh. bilioni 2.43 kutoka Serikali kuu, zilijenga majengo nane ambayo ni wodi za wanawake na wanaume, jengo la wagonjwa wa nje kwa awamu ya kwanza, bohari ya dawa, maabara, jengo la upasuaji, la huduma ya dharura (EMD) na wodi ya watoto.

“Mkataba wa makubaliano kati ya Halmashauri na Islamic Help ulisainiwa tarehe 30/04/2021 na kazi ilianza rasmi tarehe 15/08/2021. Mkataba huo wa sh. bilioni 3 ulikuwa ni kwa ajili ya ujenzi na ununuzi wa vifaa mbalimbali vya hospitall. Kati ya hizo, sh. bilioni 2.4 zimetekeleza ujenzi wa majengo sita ambayo ni ukamilishaji wa jengo la OPD lenye ghorofa moja, jengo la wajawazito lenye chumba cha upasuaji, jengo la mionzi, la kufulia, la kuhifadhia maiti, la kichomea taka, njia za wagonjwa (walk ways) na uzio. Sh. milioni 600, zimetumika kununua vifaa vya hospitali na samani,” alisema.

Alisema hospitali hiyo imeanza kutoa huduma za matibabu kwa wagonjwa wa nje (OPD), huduma za dharura, wagonjwa wa kulazwa, kliniki ya baba, mama na mtoto, chanjo, huduma za kujifungua na upasuaji, maabara, ultrasound na huduma za kuhifadhi maiti.

“Kuanzia Juni mosi, 2023 hadi Septemba 27, 2023 jumla ya wagonjwa 2,300 walipata huduma ambapo waliolazwa walikuwa ni 247 na wagonjwa wa nje ni 2,053. Akinamama waliojifungua ni 58 kati ya hao 36 wamejifungua kawaida na 22 wamejifungua kwa upasuaji. Majeruhi wa ajali za barabarani ni 43 kati yao 14 wamepewa rufaa kwenda Muhimbili pamoja na Bombo,” alisema.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa hospitali ya halmashauri ya Wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wake, Septemba  29, 2023.  Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Waziri Kindamba.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wake, Septemba  29, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya  kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali ya halmashauri ya wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga Septemba 29, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali ya halmashauri ya wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga, Septemba 29, 2023. Kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt Godwin Mollel, kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Waziri Kindamba na  wa tatu kushoto ni Sheykh Abdallah wa Taasisi ya Alnour Society  inayochangia katika ujenzi wa hospitali hiyo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama majengo ya hospitali ya halmashauri ya wilaya ya Handeni baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wake, Septemba 29, 2023.  Kulia kwake ni Sheykh Abdallah wa Taasisi ya Alnour Society inayochangia ujenzi huo na wa tatu kulia ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

Alex Sonna