Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

WAZIRI JAFO ASHIRIKI WA MKUTANO WA MAWAZIRI WA KUHUSU MABADILIKO YA TABIANCHI

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akishiriki katika Mkutano wa Mawaziri wa Kundi la Nchi Zinazoendelea unaojadili na kuweka msimamo wa pamoja kuelekea kwenye Mkutano wa 28 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi Septemba 28, 2023 jijini Dakar, Senegal. Kulia ni Mhandisi Viwanda, Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Julius Enock.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo (wa tano kushoto waliosimama mbele) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Mawaziri wa Kundi la Nchi Zinazoendelea unaojadili na kuweka msimamo wa pamoja kuelekea kwenye Mkutano wa 28 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi Septemba 28, 2023 jijini Dakar, Senegal.

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

Mawaziri wa Kundi la Nchi zilizoendelea kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi wameazimia kuwa na Msimamo wa Pamoja katika Masuala Muhimu yatakayojadiliwa katika Mkutano wa 28 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi.

Mkutano huo ulioanza Septemba 28 hadi 29, 2023 jijini Dakar, Senegal umehudhuriwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira). Mhe. Dkt. Selemani Jafo. 

Akizungumzia mkutano huo, Waziri Jafo amesema yaliyojadiliwa ni tathmini ya kidunia kuhusu utekelezaji wa Makubaliano ya Paris unaosisitiza haja ya kuchukua hatua za haraka na madhubuti kuepuka kuongezeka kwa athari na kiwango cha ongezeko la wastani la joto duniani kuvuka nyuzijoto 1.5.

Pamoja na kiwango cha fedha za mabadiliko ya tabianchi kuongezeka imebainishwa bado ni kidogo na hakikidhi mahitaji hivyo, iliazimiwa kuwa matokeo ya tathmini hiyo yawe chachu ya upatikanaji wa fedha hizo. 

Aidha, Dkt. Jafo amesema kuwa mkutano ulibainisha kuwa ahadi ya nchi zilizoendelea ya ukusanyanyaji wa Dola za Marekani Bilioni 100 ifikapo mwaka 2025 haijatimizwa, hivyo uhaba wa fedha ni changamoto kwa nchi zinazoendelea na hazikidhi mahitaji ya kukabiliana na changamoto zilizopo.

Kutokana na hali hiyo iliazimiwa kuwa taratibu za upatakanaji wa fedha kutoka katika Mifuko ya Mabadiliko ya Tabianchi zirahisishwe, kutimizwa kwa ahadi ya nchi zilizoendelea ya ukusanyaji wa fedha za mabadiliko ya tabianchi na umuhimu wa kuongeza kiwango cha fedha kukidhi mahitaji. 

Dkt. Jafo amesema kuwa majadiliano hayo pia yalijikita kuhusu muundo wa Mfuko wa Kushughulikia Hasara na Uharibifu Utokanao na Athari za Mabadiliko ya Tabianchi, taasisi itakayosimamia Mfuko, vyanzo vya fedha na utaratibu wa upatikanaji  wa fedha kwa nchi zitakazokidhi vigezo. 

Hata hivyo, imeelezwa kuwa Mfuko huo haujaanza kufanya kazi hivyo, msisitizo ulitolewa uanze kufanya kazi haraka iwezekanavyo kutokana madhara na hasara kubwa za athari za mabadiliko ya tabianchi hasa kwa nchi zinazoendelea.

“Nchi zimeweka msisitizo kuwa Mfuko upatiwe fedha haraka iwezekanayo kwa na hata nchi zote zinazoendelea kuwa na sifa na kustahili kutumia Mfuko huo na pia kuwe na utaratibu rahisi wa upatikanaji wa fedha kutoka kwenye Mfuko, Fedha zinazotolewa ziwe msaada na si mkopo na pia kutoathiri kiwango cha fedha za kuhimili mabadiliko ya tabianchi,” amesema. 

Mkutano wa 28 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unatarajiwa kufanyika Novemba 30 hadi 12 Disemba, 2023 Dubai, Falme za Nchi za Kiarabu (UAE). 

About the author

Alex Sonna