Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

DKT.BITEKO  AIAGIZA REA KUELEKEA VIJIJINI

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt.Doto Biteko akizungumza na wananchi katika Kijiji cha Ihako wilayani Bukombe Mkoa wa Geita mara baada ya kuwasha umeme katika Kijiji hicho


Moja ya nyumba iliyounganishwa na umeme katika Kijiji cha Ihako wilayani Bukombe mkoani Geita.

 Teresia Mhagama na Godfrey Lulinga

 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameanza kazi ya kuwasha umeme vijijini ambapo  leo  amewasha umeme katika Kijiji cha Ihako, wilayani Bukombe mkoani Geita na hivyo kuwezesha wananchi katika kijiji hicho kuanza  kutumia rasmi nishati hiyo.

 Akizungumza na wananchi wa Kijiji hicho, Dkt. Biteko amepongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kazi nzuri ya  kupeleka umeme vijijini  ikiwemo kijiji cha Ihako na kuelekeza kuwa, sasa mwendo ni
wa mchakamchaka kupeleka umeme kwa wananchi wote waliopo vijijini.

 “REA nendeni vijijini, muda wa kufanya vikao kwenye maukumbi makubwa, au makao makuu ya miji hatutaki, tunataka tuwaone mnaenda vijijini kupeleka umeme, nyie ni Wakala wa Nishati Vijijini siyo Wakala wa umeme mijini , vikao vyenu viwe na wananchi na magari yenu yapite humo wanamopita wananchi wenye maisha ya kawaida kabisa, ” amesisitiza Dkt. Biteko

 Ameongeza kuwa, Serikali inataka kuona shuguli za kupeleka na kuwasha umeme vijijini zinatokea, na kwamba umeme huo uingie kwenye nyumba zote bila kubagua kwani kila mwananchi anahitaji  umeme.

 Aidha ameelekeza kuwa, mahali penye changamoto za umeme zitatuliwe kwa haraka na si kumsubiri, Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan  kutatua changamoto wakati wa ziara zake  wakati wasaidizi wake wapo.

 Amesema kuwa fedha za kupeleka umeme vijijini zipo ambazo zimechangiwa na wananchi, Serikali na wadau wa maendeleo hivyo hakuna sababu ya kukwamisha miradi ya umeme nchini.

 Kuhusu nishati safi ya kupikia, amesema kuwa,  Serikali inataka ione wananchi wanatumia nishati hiyo  na kwamba REA waweke mpango ili mitungi ya gesi  iwafikie wananchi wa kawaida nchini na hivyo
kuwaondolea matumizi ya nishati ambayo si salama.

Vilevile amesema kuwa, Serikali inafanya jitihada mbalimbali ili kupata umeme wa kutosha kutoka vyanzo vya umeme ikiwemo Mradi wa Julius Nyerere ( MW 2115) ambao utaongeza kiasi kikubwa cha umeme kwenye gridi ya Taifa na hivyo wadau wa umeme watapata umeme wa kutosha  ikiwemo viwanda, wachimbaji wadogo na wenye shughuli mbalimbali za kiuchumi.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Hassan Saidy, amesema kuwa, Mkoa wa Geita una jumla ya Vijiji 461 ambapo vijiji 399 sawa na asilimia 86.6 vimepata huduma ya umeme kupitia miradi ya REA Awamu ya Tatu mzunguko kwanza, REA Awamu ya Pili na REA Awamu ya
Kwanza.

Amesema kuwa, REA inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali mkoani Geita ambapo wakandarasi wapo maeneo ya miradi wanaendelea na kazi na kuitaja miradi inayoendelea kuwa ni REA Awamu ya Tatu Mzunguko wa Pili, mradi wa kupeleka umeme pembezoni mwa miji Awamu ya Tatu , mradi
wa kupeleka umeme kwenye migodi midogo na maeneo ya kilimo pamoja na mradi wa kupeleka umeme kwenye vituo vya afya na pampu za maji.

About the author

Alex Sonna