Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

bets10

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

KAZI YA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI MWISHO DESEMBA 2023-MHE.KAPINGA

Written by Alex Sonna

Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga akikagua vifaa vilivyopo katika karakana na mkandarasi anayetekeleza mradi wa kusambaza umeme katika vijiji vilivyo pembezoni mwa mji katika wilaya yaTabora mjini, wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya mradi huo mkoani Tabora.

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga akitoa maelekezo kwa mkandarasi pamoja na wafanyakazi wake alipokagua vifaa vilivyopo katika karakana na mkandarasi huyo anayetekeleza mradi wa kusambaza umeme katika vijiji vilivyo pembezoni mwa mji katika wilaya ya Tabora mjini, wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya mradi huo mkoani Tabora.

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga akizungumza na wakazi wa kijiji cha Katunda wilayani Uyui wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya mradi wa usambazaji wa umeme vijijini Awamu ya  Tatu mzunguko wa Pili na kuwasha umeme katika kijiji hicho ,tarehe 26 Septemba 2023 mkoani Tabora.

Wakazi wa Kijiji cha Katunda wilayani Uyu wakimsikiliza Naibu Waziri wa Nishati, Mhe.Judith Kapinga wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya Mradi wa Usambazaji wa Umeme Vijijini Awamu ya Tatu mzunguko wa pili na kuwasha umeme katika kijiji hicho, tarehe 26 Septemba 2023 mkoani Tabora.

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga akizungumza na Wakazi wa kijiji cha Katunda wilayani Uyui baada ya kuwasha umeme katika kijiji hicho, wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya mradi wa Usambazaji wa Umeme Vijijini Awamu ya Tatu mzunguko wa Pili na kuwasha umeme katika kijiji hicho ,mkoani Tabora.

Vijana wakiendelea na kazi ya kusimika nguzo ili kuendelea kusambaza Mradi wa Usambazaji wa Umeme Vijijini mzunguko wa Tatu awamu ya Pili mkoani Tabora,

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga(kulia) na Mbunge wa Jimbo la Tabora Kaskazini, Almas Maige (kushoto) wakiwa kwenye mkutano katika kijiji cha Katunda wilayani Uyui, wakati wa  ziara ya kukagua Maendeleo ya Mradi wa Usambazaji wa Umeme Vijijini mzunguko wa Tatu awamu ya Pili na kuwasha umeme katika kijiji hicho, mkoani Tabora.

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania( TANESCO), mkoani Tabora wakati wa ziara ya kukagua Maendeleo ya Mradi wa Usambazaji wa Umeme Vijijini mzunguko wa Tatu awamu ya Pili na kuwasha umeme katika kijiji cha Katunda wilayani Uyui, tarehe 26 Septemba 2023 mkoani Tabora.

Zuena Msuya, na Theresia Lugwisha, Tabora

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga, amesema  kuwa ifikapo mwezi Desemba mwaka huu, utekelezaji wa Mradi wa Kusambaza Umeme Vijijini wa Awamu ya Tatu mzunguko wa Pili katika vijiji vyote utakamilika na hivyo kupelekea  kuanza utekelezaji wa  mradi wa kupeleka umeme vitongojini.

Kapinga amesema hayo wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo katika Mkoa wa Tabora  ambapo katika siku ya pili ya ziara yake amewasha umeme katika kijiji cha Katunda wilayani Uyui mkoani humo.

“Tunatarajia kumaliza kazi ya kusambaza umeme vijijini ifikapo mwezi Desemba mwaka huu, nawahimiza wakandarasi fanyeni kazi yenu kwa uadilifu mkubwa, hatuhitaji kukimbizana juu ya hilo kila mmoja atekeleze jukumu lake kwa maslahi mapana ya taifa letu”, alisema Kapinga.

Kapinga amewaagiza wakandarasi wote nchini kuhakikisha kuwa vifaa vya kufanyia kazi vinakuwepo wakati wote katika maeneo ya miradi ili kurahisisha utekelezaji wa mradi huo na hivyo kuukamilisha kwa wakati.

Pia, amewataka Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kukagua vifaa vya wakandarasi ili kujihakikishia kama vipo vyote katika karakana zao ili kuhakikisha kuwa kazi zinafanyika kwa wakati na zinaendana na muda wa mkataba uliowekwa.

Vilevile, amewataka REA kuchukua hatua stahiki kwa wakandarasi wote watakaokwenda kinyume na makubaliano ya mikataba  ya kupeleka umeme vijijini.

Kapinga amewaagiza REA kuendelea kuwasimamia wakandarasi kwa karibu  kwakuwa nia  ya Serikali ni kuhakikisha fedha inazozitoa zinaenda kuwafikishia wananchi umeme kama alivyoelekeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Naibu Waziri wa Nishati amewasisitiza wananchi kuendelea kusuka nyaya katika nyumba zao ili kujiweka tayari kuunganishiwa umeme pindi utakapowafikia katika maeneo yao na kwamba watu wote watafikiwa na umeme.

Pia alizungunza na wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoani Tabora na kuwaeleza kuwa watanzania wanataka umeme hivyo wafanye kazi kwa weledi, juhudi na maarifa usiku na mchana kuhakikisha watanzania wote wanapata umeme na kuwatatulia changamoto za umeme zinazowakabili wananchi hao.

About the author

Alex Sonna