Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

WAZIRI MASAUNI ALITAKA JESHI LA POLISI KUBADILIKA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Geji,ambapo alipata fursa ya kusikiliza changamoto mbalimbali za wananchi wa maeneo ya Shehia ya Kijichi, wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja ambapo awali kabla ya mkutano huo alipata fursa ya kufanya Kikao cha Ndani na Uongozi wa Jeshi la Polisi Visiwani Zanzibar.Kushoto ni Kamishna wa Polisi Zanzibar,Hamad Khamis Hamad na kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Magharibi A,Suzan Kunambi.

Kamishna wa Polisi Zanzibar,Hamad Khamis Hamad akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Geji,ambapo alipata fursa ya kutoa majibu ya  changamoto mbalimbali za wananchi wa maeneo ya Shehia ya Kijichi, wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja.

Mkuu wa Wilaya ya Magharibi A,Suzan Kunambi akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Geji,ambapo wananchi walipata fursa ya kutoa changamoto mbalimbali 

Wananchi wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani) wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Geji,ambapo walipata fursa ya kusikiliza majibu ya  changamoto mbalimbali kwa maeneo ya Shehia ya Kijichi, wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja.

Kamishna wa Polisi Zanzibar,Hamad Khamis Hamad akiandika maelezo ya wananchi waliokua wakitoa changamoto mbalimbali wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Geji, ambapo alipata fursa ya kusikiliza changamoto mbalimbali za wananchi wa maeneo ya Shehia ya Kijichi, wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Na Mwandishi Wetu

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amelitaka Jeshi la Polisi nchini kubadilika na kujiandaa kupokea mageuzi makubwa yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni mapendekezo ya wataalamu kutoka katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama ili kudumisha hali ya amani na kuzuia uhalifu wa aina mbalimbali hapa nchini.

Ametoa rai hiyo leo  baada ya kusikiliza kero kutoka kwa wananchi wa eneo la Bububu wakati wa Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Geji, Shehia ya Kijichi, wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja ambapo awali kabla ya mkutano huo alipata fursa ya kufanya Kikao cha Ndani na Uongozi wa Jeshi la Polisi Visiwani Zanzibar.

‘Rais Samia ameanza kuleta mabadiliko makubwa katika Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama, ametoa ajira na kupandisha vyeo askari akitaka jeshi lishuke chini kwa wananchi ili kuweza kupambana na uhalifu kuanzia ngazi ya Kata kwa Tanzania Bara na ngazi ya Shehia kwa huku Zanzibar na ndio maana tunaenda kujenga Vituo vya Polisi Kata nchi nzima ili kuweza kudhibiti matukio  mbalimbali ya uhalifu…’

‘….hapa wananchi wamezungumza mambo mengi wakilituhumu Jeshi la Polisi, nawataka Jeshi la Polisi kubadilika katika kupambana na uhalifu, haiwezekani wahalifu tena watoto wadogo wasumbue wananchi, wakati jeshi hili limekua na historia ya kupambana na matukio makubwa ya uhalifu, nawaagiza badilikeni katika kushughulika na uhalifu uliosemwa hapa na wananchi ili waweze kufanya shughuli zao kwa amani na salama.’ aliongeza Masauni

Akizungumza katika mkutano huo wa hadhara,Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamad Khamis Hamad amewataka wananchi kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi pindi jeshi linapowapeleka mahakamani watuhumiwa wa makosa mbalimbali ya uhalifu huku akisisitiza ulinzi shirikishi kuboreshwa katika jamii.

‘Kumekuwepo na changamoto ya baadhi ya wananchi kushindwa kufika mahakamani kutoa ushahidi pindi polisi wanapopeleka watuhumiwa mahakamani hali inayopelekea mahakama kutoendelea na kesi,hapa tuna kesi takribani watu saba wameachiwa hivi karibuni nani watuhumiwa wa kukata watu mapanga lakini mashahidi awajatokea mahakamani na sababu kubwa wanalindana na kuogopa kusemwa katika jamii pindi watuhumiwa wakihukumiwa vifungo’ alisema Kamishna Hamad

Awali akisoma Taarifa ya hali ya uhalifu kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, Mkuu wa Polisi Wilaya ya Magharibi A, Mary Isungi amesema jumla ya madaraja 13 yameondolewa mahakamani baada ya mashahidi kushindwa kutokea mahakamani huku akikiri hali hiyo inapelekea wahalifu wengi kurudi mtaani na kuendelea na matukio ya uhalifu ikiwemo kuwaingilia Watoto kinyume na maumbile, unyang’anyi wa kutumia silaha, kunajisi, kubaka na kuvunja duka kwa dhamira ya kutenda kosa la wizi.

Waziri Masauni yupo Visiwani Zanzibar kwa ziara ya kikazi lengo ikiwa kukagua shughuli mbalimbali pamoja na kuzungumza na Askari Shehia ili kuweza kudhubiti matukio ya uhalifu visiwani humo.

About the author

Alex Sonna