marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

lordbahis

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

pusulabet

imajbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

pusulabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

sonbahis

jojobet

marsbahis

imajbet giriş

imajbet

ngsbahis

piabellacasino

mislibet

ngsbahis

goldenbahis

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

betcio, betcio giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

madridbet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

ligobet

Madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

alobet

alobet giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

istanbulbahis

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

jojobet

imajbet

imajbet giriş

imajbet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

bets10

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

bets10 giriş

imajbet giriş

goldenbahis

imajbet

perabet giriş

perabet

ngsbahis

kralbet giriş

bahsegel

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

holiganbet

bets10

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

casino siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey giriş

betturkey

betsat

betsat giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

gonebet, gonebet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

superbetin

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

romabet

jojobet

güvenli casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

betoffice

kalitebet

norabahis

Featured Kitaifa

HALMASHAURI NCHINI ZATAKIWA  KUTENGA NA KUTOA FEDHA KUTEKELEZA AFUA ZA LISHE

Written by Alex Sonna

NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya  Raisi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Deogratius Ndejembi,akizungumza wakati wa Mkutano wa Tathmini ya Mradi wa Lishe Endelevu zoezi lililoenda sambamba na Uzinduzi wa Kitabu cha Kumbukumbu za Sauti za Walengwa wa Mradi wa USAID / Lishe  Endelevu na Kukabidhi Mradi Ngazi ya Taifa hafla iliyofanyika leo Septemba 25,2023 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Deogratus Ndejembi amezitaka halmashauri nchini kuendelea kutenga Fedha na kutoa  sh. 1,000 Kwa kila mtoto chini ya miaka mitano Kwa asilimia 100 au zaidi Kwa ajili ya utekelezaji wa afua za lishe.

Mhe. Ndejembi amesema hayo leo Septemba 25, 2023 jijini Dodoma wakati akisoma hotuba kwa niaba ya Waziri Nchi, Ofisi ya Rais TAMASEMI. Mhe. Mohamed Mchengerwa kwenye Mkutano wa Tathmini ya Mradi wa Lishe Endelevu zoezi lililoenda sambamba na Uzinduzi wa Kitabu cha Kumbukumbu za Sauti za Walengwa wa Mradi wa USAID / Lishe  Endelevu na Kukabidhi Mradi Ngazi ya Taifa.

Mhe.Ndejembi amezitaka kusimamia kikamilifu utekelezaji wa masuala ya lishe kama yalivyobainishwa katika mpango jumuishi wa lishe wa mwaka 2021/22 mpaka 2025/26

“Halmashauri zihakikishe zinaendelea kutoa motisha Kwa wahudumu wa afya ngazi ya jamii kwani wao ndio nguzo kubwa ya utekelezaji wa afua za lishe,”amesema Ndejembi

Aidha amesema Tanzania imeweza kupiga hatua kubwa katika kudhibiti utapiamlo na ushirikishwaji wa wadau wa sekta zote ambao vipaumbele vyao vinachangia kuboresha hali ya Lishe na Afya ya Jamii nchini umekuwa ni nguzo ya mafanikio kwa nchi na uboroeshaji wa lishe ya jamii yetu ni suala mtambuka linalohitaji kila mtu, kila sekta na kila mdau ashiriki kikamilifu.

“Ninamshukuru sana Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluh Hassan kwa msukumo mkubwa aliouweka katika suala la kuwekeza katika lishe na hususan siku elfu moja za mwanzao za maisha ya mtoto ambapo siku 1000 zinapatikana kuanzia siku mimba inapotungwa hadi mtoto anapofikisha umri wa miaka miwili. Amesema Mhe. Ndejembi

Amesema Tanzania imepiga hatua katika kutokomeza udumavu matokeo ya utafiti wa Kitaifa(Tanzania National Demographic Health Survey -TDHS) WA MWAKA 2015/16 ilionesha udumavu ulikuwa 34% na mwaka 2022 udumavu umeshuka kufika 30%.

“ukiangalia Mkoa wa Dodoma na Rukwa ambapo Mradi wa Lishe Endelevu umetekelzwa kumekuwa na punguzo la udumavu kwa wastani wa 6% na 6.5.”ameeleza Mhe. Ndejembi

Hata hivyo Ndejembi amewataka viongozi wa serikali na chama kuhakikisha suala la lishe linatiliwa mkazo na kusimamiwa ipasavyo kama ambavyo imeelekezwa katika mkakati wa pili wa kitaifa wa kuboresha hali ya lishe (NMNAP II).

“Maafisa lishe, Maafisa kilimo na mifugo mmejengewa uwezo na mmepewa vitendea kazi,wasaidieni wananchi kutumia mbinu bora za kilimo na ufugaji lakini pia hakikisheni wananchi wetu wanatumia mazao hayo kula Ili kuboresha Afya na lishe ya familia zao,”.

Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulika Afya Dkt. Charles Mahera amesema suala la lishe watanzania wanatakiwa kulipa kipaumbele sababu lishe bora husababisha kuwa na afya bora na wananchi bora katika masuala mbalimbali kwa sababu lishe inasaidia ukuaji wa akili.

Awali Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Save The Children Tanzania,Bi.Angela Kauleni amesema Takwimu za hivi karibuni za tathimini ya hali ya Afya na makazi (TDHS 2020) zinaonesha kuwa watoto 30 kati ya 100 waliochini ya miaka mitano wanakabiliwa na udumavu ambapo hali hiyo huathiri ukuaji na kupevuka kiakili,kimwili na kisaikolojia Kwa watoto.

Aidha amesema kuwa  wataendelea kushirikiana na serikali kutekeleza malengo na mipango ya kimikakati ya maendeleo na hasa inayolenga Kuzuia udumavu na vifo vya watoto Chini ya miaka mitano, upatikanaji wa elimu bora Kwa watoto wote, ulinzi wa watoto na ustawi wa haki za watoto.

“Ili kufanikisha malengo haya Save The Children itazingatia vipaumbele vifuatavyo- kukuza sauti na ushiriki wa watoto na jamii katika masuala yanayowahusu, kuimarisha uhusiano wa kimkakati na wadau mbalimbali kuwekeza kwenye mipango na tafiti zinawezesha jamii na taifa kukabiliana na madhara yatokanayo na mabadiliko ya tabia ya nchi,”amesema Bi.Angela 

Hata hivyo ameishukuru Serikali ya Tanzania kwa kuendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo na kuiomba kuipa agenda ya lishe kipaumbele.

Mradi wa USAID Lishe Endelevu kwa kushirikiana na Serikali na Watu wa Marekani ulitekelezwa ulianza mwaka 2019 na kutekekezwa katika Mkoa wa Rukwa, Dodoma,Morogoro na Iringa.

NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya  Raisi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Deogratius Ndejembi,akipata maelezo mbalimbali kwenye mabanda wakati wa Mkutano wa Tathmini ya Mradi wa Lishe Endelevu zoezi lililoenda sambamba na Uzinduzi wa Kitabu cha Kumbukumbu za Sauti za Walengwa wa Mradi wa USAID / Lishe  Endelevu na Kukabidhi Mradi Ngazi ya Taifa hafla iliyofanyika leo Septemba 25,2023 jijini Dodoma.

NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya  Raisi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Deogratius Ndejembi,akizungumza wakati wa Mkutano wa Tathmini ya Mradi wa Lishe Endelevu zoezi lililoenda sambamba na Uzinduzi wa Kitabu cha Kumbukumbu za Sauti za Walengwa wa Mradi wa USAID / Lishe  Endelevu na Kukabidhi Mradi Ngazi ya Taifa hafla iliyofanyika leo Septemba 25,2023 jijini Dodoma.

 Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulika Afya Dkt. Charles Mahera,akizungumza wakati wa Mkutano wa Tathmini ya Mradi wa Lishe Endelevu zoezi lililoenda sambamba na Uzinduzi wa Kitabu cha Kumbukumbu za Sauti za Walengwa wa Mradi wa USAID / Lishe  Endelevu na Kukabidhi Mradi Ngazi ya Taifa hafla iliyofanyika leo Septemba 25,2023 jijini Dodoma.

MKURUGENZI wa Mradi wa USAID Lishe Endelevu Dkt.Kaganda Joyceline,akizungumza wakati wa Mkutano wa Tathmini ya Mradi wa Lishe Endelevu zoezi lililoenda sambamba na Uzinduzi wa Kitabu cha Kumbukumbu za Sauti za Walengwa wa Mradi wa USAID / Lishe  Endelevu na Kukabidhi Mradi Ngazi ya Taifa hafla iliyofanyika leo Septemba 25,2023 jijini Dodoma.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi.Rosemary Senyamule,akizungumza wakati wa Mkutano wa Tathmini ya Mradi wa Lishe Endelevu zoezi lililoenda sambamba na Uzinduzi wa Kitabu cha Kumbukumbu za Sauti za Walengwa wa Mradi wa USAID / Lishe  Endelevu na Kukabidhi Mradi Ngazi ya Taifa hafla iliyofanyika leo Septemba 25,2023 jijini Dodoma.

MKURUGENZI Mkuu Save The Children Tanzania Bi.Angela Kauleni,akielezea Tathmini ya Mradi wa Lishe Endelevu zoezi lililoenda sambamba na Uzinduzi wa Kitabu cha Kumbukumbu za Sauti za Walengwa wa Mradi wa USAID / Lishe  Endelevu na Kukabidhi Mradi Ngazi ya Taifa hafla iliyofanyika leo Septemba 25,2023 jijini Dodoma.

MBUNGE  wa Viti Maalum CHADEMA Mhe. Esther Matiko ,akizungumza wakati wa Mkutano wa Tathmini ya Mradi wa Lishe Endelevu zoezi lililoenda sambamba na Uzinduzi wa Kitabu cha Kumbukumbu za Sauti za Walengwa wa Mradi wa USAID / Lishe  Endelevu na Kukabidhi Mradi Ngazi ya Taifa hafla iliyofanyika leo Septemba 25,2023 jijini Dodoma.

SEHEMU ya Washiriki wakimsikiliza Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya  Raisi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Deogratius Ndejembi (hayupo pichani), wakati wa Mkutano wa Tathmini ya Mradi wa Lishe Endelevu zoezi lililoenda sambamba na Uzinduzi wa Kitabu cha Kumbukumbu za Sauti za Walengwa wa Mradi wa USAID / Lishe  Endelevu na Kukabidhi Mradi Ngazi ya Taifa hafla iliyofanyika leo Septemba 25,2023 jijini Dodoma.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Makongoro Nyerere,akizungumza wakati wa Mkutano wa Tathmini ya Mradi wa Lishe Endelevu zoezi lililoenda sambamba na Uzinduzi wa Kitabu cha Kumbukumbu za Sauti za Walengwa wa Mradi wa USAID / Lishe  Endelevu na Kukabidhi Mradi Ngazi ya Taifa hafla iliyofanyika leo Septemba 25,2023 jijini Dodoma.

 

NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya  Raisi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Deogratius Ndejembi,akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Kitabu cha Kumbukumbu za Sauti za Walengwa wa Mradi wa USAID / Lishe  Endelevu na Kukabidhi Mradi Ngazi ya Taifa hafla iliyofanyika leo Septemba 25,2023 jijini Dodoma.

NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya  Raisi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Deogratius Ndejembi,akionyesha Kitabu mara baada ya kuzindua Kitabu cha Kumbukumbu za Sauti za Walengwa wa Mradi wa USAID / Lishe  Endelevu na Kukabidhi Mradi Ngazi ya Taifa hafla iliyofanyika leo Septemba 25,2023 jijini Dodoma.

NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya  Raisi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Deogratius Ndejembi,akimkabidhi Nyaraka Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulika Afya Dkt. Charles Mahera,mara baada ya kuzindua  Kitabu cha Kumbukumbu za Sauti za Walengwa wa Mradi wa USAID / Lishe  Endelevu na Kukabidhi Mradi Ngazi ya Taifa hafla iliyofanyika leo Septemba 25,2023 jijini Dodoma.

NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya  Raisi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Deogratius Ndejembi,akiwakabidhi Nyaraka Wakuu wa Mikoa ya Dodoma na Rukwa mara baada ya kuzindua  Kitabu cha Kumbukumbu za Sauti za Walengwa wa Mradi wa USAID / Lishe  Endelevu na Kukabidhi Mradi Ngazi ya Taifa hafla iliyofanyika leo Septemba 25,2023 jijini Dodoma.

NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya  Raisi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Deogratius Ndejembi,akipokea Nyaraka kutoka kwa Mkurugenzi wa Mradi wa USAID Lishe Endelevu Dkt.Kaganda Joyceline, baada ya kuzindua  Kitabu cha Kumbukumbu za Sauti za Walengwa wa Mradi wa USAID / Lishe  Endelevu na Kukabidhi Mradi Ngazi ya Taifa hafla iliyofanyika leo Septemba 25,2023 jijini Dodoma.

MKUU wa Mkoa wa Morogoro Mhe.Adam Malima,akitoa neno la shukrani Kwa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya  Raisi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Deogratius Ndejembi,(hayupo pichani) wakati wa Mkutano wa Tathmini ya Mradi wa Lishe Endelevu zoezi lililoenda sambamba na Uzinduzi wa Kitabu cha Kumbukumbu za Sauti za Walengwa wa Mradi wa USAID / Lishe  Endelevu na Kukabidhi Mradi Ngazi ya Taifa hafla iliyofanyika leo Septemba 25,2023 jijini Dodoma.

NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya  Raisi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Deogratius Ndejembi,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya  Mkutano wa Tathmini ya Mradi wa Lishe Endelevu zoezi lililoenda sambamba na Uzinduzi wa Kitabu cha Kumbukumbu za Sauti za Walengwa wa Mradi wa USAID / Lishe  Endelevu na Kukabidhi Mradi Ngazi ya Taifa hafla iliyofanyika leo Septemba 25,2023 jijini Dodoma.

About the author

Alex Sonna